Uchumi wa Urusi uliporomoka baada ya sarafu yake kushuka thamani mwaka 2014 ila kwa sasa sarafu yake imeimarika mno ina maana kwa sasa GDP yake itaimarika.
Usilazimishe mambo,
Narudia ili huo umaandazi unaosema uupigie mstari, linaloendelea ni kuwa Tsh msimamo wake ni huu:
SINA USHABIKI NA USA, SINA USHABIKI NA URUSI. NALAANI AU KUSAPOTI TENDO LINALOFANYWA NA HIZO NCHI MBILI.
Kuna yule mkenya anatetea NATO, aliitetea kwa kuiponda Tz na nikaungana na wapenzi wa Urusi kumshambulia. Kama hukunielewa pale endelea kuchoka.
Utoto.
Kama unakiri kwamba kulikuwa na dola kadhaa zilizotawala na kuanguka,vipi usiamini kwamba huyo USA naye ataanguka!?
Na kwanini asiwe mrusi ndio atakayemuangusha.
Kumfananisha mrusi na Germany au Uingereza ni kumkosea heshima. Kwani hao wote wamegeuka makoloni ya America ili tu awalinde na mrusi
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Jamani Hili swali Kama unafanya UE😂😂😂Kuna Nchi 44 Europe na kati ya hizo 27 ni EU members. Kati ya hao Eu members 21 ni wanachama wa NATO. Sasa tutajie hizo 20 ni zipi kuna kitu nataka kuona.
Sisi watu wa falsafa na mantiki huwa tunaona ukweli wa jambo kwa haraka.Inakuwaje leo Ukraine inatangaza kukimbia kwa jeshi la Urusi na hawajawahi kukubali kuwa mji huo umetekwa na Urusi.
Misaada ya Marekani kwanza ni hewa.Na ikitoka huwa inaliwa na wajanja.Uliza kule Iraq na Afghanistan.
America inafilisika Yuko njiani kukata misaada Kwa Ukraine.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hawa jamaa bana ila wakienda kwenye media wanavimba kuwa wamegomea kununua kwa RublesTen more European gas buyers have opened accounts in Gazprombank JSC, doubling the total number of clients preparing to pay in rubles for Russian gas as President Vladimir Putin demanded.
Unafaa kujiunga kwenye kikundi cha akina Joti.Mkuu acha kujifariji na story zako.
Hii Dunia inahistoria ndefu na ilishakaliwa na wababe wengi kwa nyakati tofauti.
Kjlishakuwa na dola ya kigiriki kkafanya zake kwa kiwango cha ubabe wake ikaanguka na kupita kwa zama zake. Kulikiwa na Dola la Kirumi kwa wakati waka likafanya yake kwa u babe wake na likapita kutokana na zama zake.
Bahati mbaya huyo Mrusi hakuwai kufikia viwango vya wababe hao wa dini yeye akiwa na USSR hakuweza kuiconka hii planet A kwani hakubahatika kuwa na vigezo vya kutosha.
Kwa sasa ukubali ukatae hizi ni zama za USA na hilo halina ubishi na huyu mwamba US hakuwai onyesha kucha zake mkajua Uimara wake. Laiti nakwambia Siku kima mmoja akajichanganya eidha kwa bahati mbaya au makusudi ndio mtajua ni kwanini mnyama US huwa hataki kupigana moja kwa moja.
Kama ulisha wai sikia B2 na siku zikaambiwa ziingie mzigoni, hapo bado hujagusa mizigo mingine toka bahari tofautitofauti.
Binafsi tunapoizungumzia Urusi tunapaswa ukilinganisha na kina UK, France, Germany, Korea na China. Ila huyu Mnyama US tumwache kabisa kwani hapo hatuzungumzi Nuclear power kisha tukaishia hapo na kuanza kutishana.
US ni mambo ya Economy, Tec, Intelligence nk.
Kwa sasa tuendelee kutazama hii filamu na kuinjoi jinsi Mbuzi anavyomtafuna MBWA Polepole kwa raha zake
Pigen block, mbona Ni simple tu.Mimi nimeyapiga block mashoger Kama 70 hivi.
Maabala ni nini?hahahahaha, kumbe na wewe huzijui maabala unazozungumzia?
umesahau umedai hii vita ni sababu ya maabala zilizo ukraine mpakani na rusia, za magonjwa ya congo hahahahaha
Hayo makucha mbona hakuyaonesha kwa Vietnam ambapo alipata kipigo cha mbwa koko akakimbia kwa aibu?
Mkuu acha kujifariji na story zako.
Hii Dunia inahistoria ndefu na ilishakaliwa na wababe wengi kwa nyakati tofauti.
Kjlishakuwa na dola ya kigiriki kkafanya zake kwa kiwango cha ubabe wake ikaanguka na kupita kwa zama zake. Kulikiwa na Dola la Kirumi kwa wakati waka likafanya yake kwa u babe wake na likapita kutokana na zama zake.
Bahati mbaya huyo Mrusi hakuwai kufikia viwango vya wababe hao wa dini yeye akiwa na USSR hakuweza kuiconka hii planet A kwani hakubahatika kuwa na vigezo vya kutosha.
Kwa sasa ukubali ukatae hizi ni zama za USA na hilo halina ubishi na huyu mwamba US hakuwai onyesha kucha zake mkajua Uimara wake. Laiti nakwambia Siku kima mmoja akajichanganya eidha kwa bahati mbaya au makusudi ndio mtajua ni kwanini mnyama US huwa hataki kupigana moja kwa moja.
Kama ulisha wai sikia B2 na siku zikaambiwa ziingie mzigoni, hapo bado hujagusa mizigo mingine toka bahari tofautitofauti.
Binafsi tunapoizungumzia Urusi tunapaswa ukilinganisha na kina UK, France, Germany, Korea na China. Ila huyu Mnyama US tumwache kabisa kwani hapo hatuzungumzi Nuclear power kisha tukaishia hapo na kuanza kutishana.
US ni mambo ya Economy, Tec, Intelligence nk.
Kwa sasa tuendelee kutazama hii filamu na kuinjoi jinsi Mbuzi anavyomtafuna MBWA Polepole kwa raha zake
Ukrop Nazi [emoji41]It's amazing knowing the side that is winning wanashindwa kukomboa au tuseme kusaidia wanajeshi wao to the extent wake wa wanajeshi hao wanawaombea msaada waume zao nje ya nchi yao, oh wait, kwa Nchi rafiki wa adui yao.
View attachment 2225019
Relatives of Ukrainian forces holed-up in Mariupol steel plant ask China for help.
[emoji843]The relatives of the Ukrainian troops, who have holed up inside a sprawling steel plant in the southeastern Ukrainian port city of Mariupol, have pleaded with China to use "its influence on Russia" to let the encircled troops leave the complex.
Open source zingine zinabias tu, ukitaka kupata source nzuri niwahusika wakuu ambao ndio walikuwa engineer wa consipiracyUkipata muda tafuta sababu ya vita ya Iddi Amin kwenye open source. Declassified docs
Halafu uje tena.