Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Usiwe na haraka kijana tunakwenda tartiibu tunaharibu uchumi wa watu wa magharibi kwanza....
 
FAZA akili KUBWA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na waliopotea Ukraine ni kiasi gani?Mbona hizo takwimu hazitoki?
Ukraine Kuna idadi ya vifo vya wanajeshi inapunguzwa na kuwekwa kwenye kundi la Civilians!πŸ˜‚
Sisi tunaangalia hasara aliyepata mvamizi sababu ya ujuha wakeπŸ€”
 
Ukijakua utamlaumu MKUU [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Piga hao kenge
 
Mpaka sasa Ukraine imepoteza majimbo ya uzalishaji kwa ukubwa na bandari na wanajeshi wengi sana,Hilo unalisemeaje mkuu?😁
Kyiv,makao makuu ya nchi,pamoja na mji wa pili Kharkiv, adui kafurushwa,askari zaidi ya elfu 27 wa mvamizi wamefariki na vifaa vingi vya kijeshi kuharibiwa.
Mapambano yanaendelea πŸ€”
 
Ukraine alikuwa anawapoteza mateka wa kirusi atabadilishana na nani?
Mbili wale majenerali watabadilishana na nini.
Wale wanapelekwa Arctic kujenga mahandaki
Wale majenerali waliotekwa Maripoul sa ivi wananukia mafuta ya nazi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa hivyo Mr Tyang whatever ,word/ opinion is gospel truth? Putin has miscalculated big the worlds reaction to his unprovoked invasion of Ukraine. Leo yupo Kremlin anajuta uvamizi.
DUNIA ipi hio unayoizungumzia[emoji23][emoji23][emoji23]
Semeni tu wamagharibi na shost zao kadhaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaaa wajinga sana hawa nahawaaminiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…