Final Boss
JF-Expert Member
- May 5, 2022
- 1,296
- 15,984
Russia hawazitumii hizi, wakizidaka wanazisafirisha Moscow, Russia anazo zake kidogo nyembamba zaidi ya hizi ila moto wake balaaa, nyingi sana wanazitumia wale Jamhuri ya watu wa Chechnya ndio wanapigana sana vita ya mitaani, Jeshi la Moscow mara nyingi anatumi magari maalum jamii ya vifaru vyenye matairi ya pira magari hayo yana risasi kama kidole cha mamba mpevu, ndio anayoingia nayo street, risasi ikipiga ukutani lazima ichane na effects zitaonekanaHivi hizi Javelins zinatumikaje?
Inawezekana kweli Russians nao wakazitumia au zinaprogram ya tofauti.
Wajuzi tafadhari msaada.
Oyaaaaa mwanangu Iskander imewatesa sana [emoji23][emoji23][emoji1787], si mchezoNext is Donbas the last kiev with special tactical [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila Afghanistan,Libya n.k n ruksa kuchukua.Wanatamani kuiba lakini wanaogopa π
πΊπΈ It turns out that American laws prohibit stealing.
The head of the US Treasury Department said that the country's legislation does not allow to confiscate Russian property seized in the States and direct the proceeds to support Ukraine.
Tunatuma mengine tenaTumedaka mzigo huoView attachment 2229495
Watu wabaya sana hawa!Belgium used the war in Ukraine as an excuse to dump 280.000 expired medication to Ukraine, camouflaged as a β¬3 million donation.
This is your βethicalβ European country ladies and gentlemen. https://t.co/xkBFuLd1nK
Si ndo izo habari bila picha.kila siku wanasema wanalipua afu tuna zikuta fronlineNawakubali sana hawa wanyama hawana propaganda
Kila siku wanasema wamelipua afu vitu tuna vikuta frontWizara ya Ulinzi ya Urusi iliharibu maghala ya vifaa vya kijeshi vya Marekani na Ulaya kwa kutumia makombora ya majini ya "Kaliber", na kuripoti kujisalimisha kwa wanamgambo 265 wa Kiukreni kwenye mtambo wa "Azovstal".
Urusi imetangaza leo, Jumanne, kulengwa kwa shehena za silaha za Marekani na Ulaya, karibu na mji wa Lvov, magharibi mwa Ukraine.
Wizara ya Ulinzi ya Urusi ilisema katika taarifa yake: "zimekuwa zikilengwa na kuharibu shehena za silaha za Amerika na Ulaya karibu na jiji la Lvov kwa makombora.
Kulingana na taarifa hiyo, makombora ya Jeshi la Wanaanga ya Urusi yaligonga base mbili za command na kituo cha mawasiliano, pamoja na kikosi cha 30 cha mechanized katika mkoa wa Bakhmut, maeneo 28 ya mkutano wa kijeshi, na bohari mbili za Kikosi cha Wanajeshi wa Ukraine.
Marekani hutoa idadi kubwa ya siraha za kijeshi katika nchi za Ulaya zikiongozwa na Ujerumani na Uingereza silaha hizo za kisasa upelekwa Kyiv.
Taarifa hiyo ilieleza kuwa wanamgambo 265 wa Ukraine, wakiwemo 51 waliojeruhiwa vibaya, walijisalimisha na kuweka chini silaha zao, baada ya kunaswa katika kiwanda cha Azovstal huko Mariupol.
Urusi ilitangaza jana, kufikia makubaliano na jeshi la Kiukreni katika eneo la kiwanda "Azovstal" ili kuwahamisha waliojeruhiwa kwa taasisi za matibabu katika Jamhuri ya Watu wa Donetsk.
Pia, Wizara ya Ulinzi ya Urusi ilionyesha kwamba vikosi vyake viliua, wakati wa saa 24 zilizopita, "zaidi ya wanamgambo wa itikadi kali 470, na kuharibu vitengo 68 vya vifaa vya kijeshi."
Nakukosoa kidogo mkuu hapo kwenye speed of light ni 300,000,000 m/s au kama tulivyokuwa tunaandika school 3Γ10^8 au 3E8.Rafiki zetu tunawakumbusha mahaba yakizidi yanawafanya mnakuwa wapumbafu.
Unaelewa maana ya Sonic kweli? Sonic ni Sound sio mwanga kijana, sehem ya kwanza hiyo ushafail. Ila ngoja tukuelimishe, Hypersonic Missile ni Kombora lenye speed kubwa kuliko speed ya sauti.
Hilo mosi, Pili Em tueleze Sound ina speed kuliko mwanga? Unaijua speed ya light' wewe? Ukubwa wa Speed ya mwanga uizidishe mara 5 kweli? Mna akili gani nyie wenzetu [emoji23]
Speed ya mwanga ni 300,000KM per Second, ukisema Mara 5 zaidi ya hiyo speed maana ake ni 1,500,000KM per second, Umesoma Physics wewe?
Boy Hakuna known object hadi leo hii inaeza safiri kwa speed ya mwanga ya 300,000KM per second seuze mara 5 yake [emoji23]... ile ukisikia ati "Faster than light" elewa kua ni msemo kama misemo mingine.
Unajua the longest distance between two point kwenye hii dunia ni kiasi gani? Bila shaka ungeijua usingetuletea hizi pumba ulizozileta.
Ngoja nikupe mfano, kutoka Moscow to Washington ni 7,816KM... kwa hiyo speed unayotudanganya kwayo maana ake hilo kombora likipigwa linaweza tembea toka point of detonation umbali wa Washington hadi Moscow Mara 192 ndani ya sekunde 1. Ata chizi fresh ukimwambia hakubali.
Eeeeh huyo ndio Pro NATO kama Pro NATO...
Kudanganya danganyeni lakini walau muongope karibu kiasi kwenye uhalisia. Mnaboa sana m@7ae...
Ukraine wanamateka mmoja tu dogo wa miaka 21 ndio wanazurura naye mahakamani.... Ukraine angekuwa na mateka wa Urusi vyombo vya habari vya magharibi wangekuwa wanashindia hiyo habari.Warusi waliodakwa vitani wako kibaoo sana.hili pia Ni tatizo
Wacha weeeeeeh!Jeshi la Ukraine Mariupol uzalendo mtupu, wamegoma kusalimu amri pamoja na kuzungukwa na adui. No retreat no surrender ,we shall fight to the last man standing.
Labda kama mvivu kusoma na kusikiliza habari.zaid wanajeshi wa Ukraini elfu35k wameshakufa.ila kikubwa kinacho shangaza Ukrain kuwa imara na rudisha nyuma Russia.So Western media ndio wanaongea ukweli. Hii vita IPO siku itashangaza wengi, maana si kwa majigambo ya western media. Unataka uniambie wa-Ukraine hawafi maana ndio western media propaganda muda wote
Ahahahah...kwenye hili sakata cdm wamejitenga wao kwa wao...ccm wamejitenga wao kwa wao...af finally ccm na cdm wameungana πππππPale Salary Slip wanapoungana na johnthebaptist
Amegundua nini Cha maana katika kuendeleza maisha hapa duniani, au katika sayansi na Teknolojia mpaka aseme yeye ana akili kuliko huyo mkuu.Kama humjui wewe umejuaje unamzidi akili?
Mmarekani lazima ajamber jamber hapa
Jasusi la Kremlin hilo NATO lazima wajambe tuWaambie Vijana NATO watuletee picha ya biden [emoji28][emoji28]
Ramani ya lini hiyo khakviy Isha kombolew bado ruhaski na donesk na mariopolKwamba [emoji23][emoji23] View attachment 2229324