Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,590
- 6,957
Kabisa MKUU tuwaachie tu BIIBIISII waendeleze porojoo zao[emoji35][emoji35][emoji35]Tunoelewa kinoendelea pale Ukraine hatuandiki sana ila twaangalia tu.
Pia je, wafahamu hao wanojisalimisha na kukamatwa wengine ni makomandoo wa kutoka ....... na Russia imesema haitowaachia kwa sasa hadi watapopata taarifa zote wanozihitaji.
Ila ukirudi kwenye mada yangu ya kuhusu Raisi Putin kutia saini majeshi kuingia Ukraine Soma hapa: Rais Putin kutangaza usiku huu Russia kutambua rasmi majimbo huru yaliyojitenga ya Donetski na Luhansk jambo ambalo Russia waliota tu bali walilipanga tangu 2014 walipochukua Crimea.
Tushuhudie sasa wanomsaidia Zelenskyy watachukua hatua gani maana wameanza kuona hali halisi.
πππPro-NATO kwavile hawana akili ya kuelewa madini yanayotoka kwenye vichwa vyenye akili hawakumuelewa putin juu ya hii kauli na walimudhihaki na kumusodoa kama mtu muoga anae waogopa Azov battalion ila sasa muda wa wao kuelewa kauli hiyo ya kimukakati umefika baada ya kauli hiyo waliyoibeza kuwafukua panya zaidi ya 2400 ndani siku 3.
Siku Putin anatoa hiyo order nilisema "Putin ni mtu smart sana analijua vizuri eneo hilo na anajua kabisa hakuna shujaa wa njaa wala majeraha hivo nisuala tu la muda hao panya wataanza kujitoa wenyewe na watakuwa na faida kubwa kwa putin hapo baadae kuliko ambavyo wangegeuzwa kuwa majivu"
Hatimae muda umefika na lengo kukamilika kwa 100% kama kichwa cha Kremlin kilivyoplan. PUTIN is genius and strategy leader na ndo maana ukiwa na akili ndogo isiyo ona mbali utachelewa sana kuwa unaelewa mipango ya PUTIN.
PUTIN siyo Ramadhan Kingai anaedili na ugaidi wa laki5 ni Rais wa nchi kubwa zaidi kuliko zote Duniani inayoitwa THE GREAT RUSSIA FEDERATION [emoji635]
Halaf kuna raia wanahisi RUSSIA alikurupuka eti[emoji4][emoji23][emoji16]View attachment 2232599
Vladimir Putin: It can already be said today that the cyber aggression against us, as well as the sanctions attack on Russia in general, have failed. In general, we were ready for this attack, and this is the result of the systematic work that has been carried out over the past years.
[emoji38][emoji38]Hayo madeni atayodaiwa Ukraine ni balaa. Marekani anataka ampe Ukraine silaha ambazo hazitamsaidia kuishinda ili aendelee kuomba nyingine.
Russia anakamata maeneo muhimu kiuchumi anajua atafidia hasara ya vita na kumzuia Marekani kupata mianya ya kunufaika labda akalime
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Haieleweki? Si mara ya kwanza kwamba sehemu za jeshi zinakataa kuua wananchi wao wakati amri ya aina hii inatolewa. Hivyo ndivyo ilivyokuwa Lybia ikawa vita ya wenyewe kwa wenyewe ilhali sehemu za jeshi zilisimama upande wa waandamaji na sehemu nyingine walitumia silaha dhidi ya wapinzani.Mbona hueleweki! Huku aliua mamia kwa nguvu za kijeshi huku vikosi vya jeshi vilikataa kutekeleza!
====
Turudi kwenye mada iliyomezani.
Umetumia akili kubwa sana mdau,ukiwa tayari nitag nisikose huo uzi.Siku nikipata muda nitaanzisha uzi wa malengo makuu ya Russia kwenye hii operation. Najua wengi wanajua ni NATO ila hiyo ilikuwa kama entry gate tu ya putin kuingia na kuanza kukamilisha malengo yake mama kwa masilahi ya nchi na watu wake. Kuhusu kujiunga NATO siyo issue sana kwa Urusi issue ni NATO kuweka millitary bases karibu na mipaka yake, hapo hata uwe Mna NATO kwa miaka 20 Moto utawaka.
Ngoja nigusie tu lengo kubwa la hii operation ya Urusi, lengo kuu lililojificha nyuma ya pazia nikuifanya Ulaya hasa "EU" waendelee kumtegemea Urusi katika kuendesha uchumi na maisha yao ya kila siku, Putin anaamini hiyo ndo njia pekee ya Urusi kubaki imara kiuchumi na kiushawishi.
Je Ukraine anahusika je hapo?; Ukraine ndo nchi pekee huko ulaya inayoelekea kufanana na Urusi kwa suala la Rasilimali na bidhaa za kilimo yani reserve ya mafuta, gas, umeme, mazao na n.k, hivo basi putin alivyoona uhusiano wa Ukraine na watumwa wake wa EU unaelekea kukua hadi kuanza kushirikiana mambo mengi, akastuka ili awa wahi mapema kabla hawajaanza kuweka mitambo yao ya ku utilize oil and gas reserves iliyopo mashariki mwa Ukraine, pili anajua vizuri kabisa "EU" hawana ardhi ya kilimo kama aliyo nayo na Ukraine na anae walisha kila siku ni yeye na Ukraine, kwa hiyo ili abakie kama tegemezi kwao nilazima Ukraine awe underdog kwake.
Sasa basi ili hilo lengo likamilike nilazima yeye au vibaraka wake ndo wawe controller wa hayo maeneo mhimu yanayo windwa na westerners kwa lengo la kujiondoa kwenye utegemezi wa Urusi. na njia pekee iliyokuwepo kufanikisha hilo lengo nikuyachukua hayo maeneo kijeshi maana kisiasa tayari Zelensky alikuwa ashaoelewa na westerners, so Urusi iliona kuendelea kutumia siasa nikuendelea kujimaliza wenyewe. Na ndo maana Tangazo la kwanza kabla ya kuingiza vikosi Ukraine, Putin alitangaza kuyatambua majimbo ya DRP na LRP kama states huru maana ndo target yake na ndo kuna rasilimali nyingi mfanano na za Urusi zinazotegemewa sana na Westerners. Unganisha na Dot za kuyathibit maeneo ya Crimea, Zaporizhzhya nuclear power plant, Mariupol, snake island na Odesa(still on fire)
Naomba niishie hapa, details zaidi zitakuwa kwenye Uzi (nikipata muda mzuri one day) ila Russia yupo tayari kutumia hata nukes ili tu Ukraine mashariki iwe chini yake. Inahitajika akili ya utulivu sana kuelewa plans za Kremlin chini ya Putin maana hata EU, G7,NATO na UN wazielewi kabisa ndo maana kila siku wanaishia kuingizwa choo cha kike tu.
Nawasilisha.
Dah wee jamaa wewe ila SHUKRANSiku nikipata muda nitaanzisha uzi wa malengo makuu ya Russia kwenye hii operation. Najua wengi wanajua ni NATO ila hiyo ilikuwa kama entry gate tu ya putin kuingia na kuanza kukamilisha malengo yake mama kwa masilahi ya nchi na watu wake. Kuhusu kujiunga NATO siyo issue sana kwa Urusi issue ni NATO kuweka millitary bases karibu na mipaka yake, hapo hata uwe Mna NATO kwa miaka 20 Moto utawaka.
Ngoja nigusie tu lengo kubwa la hii operation ya Urusi, lengo kuu lililojificha nyuma ya pazia nikuifanya Ulaya hasa "EU" waendelee kumtegemea Urusi katika kuendesha uchumi na maisha yao ya kila siku, Putin anaamini hiyo ndo njia pekee ya Urusi kubaki imara kiuchumi na kiushawishi.
Je Ukraine anahusika je hapo?; Ukraine ndo nchi pekee huko ulaya inayoelekea kufanana na Urusi kwa suala la Rasilimali na bidhaa za kilimo yani reserve ya mafuta, gas, umeme, mazao na n.k, hivo basi putin alivyoona uhusiano wa Ukraine na watumwa wake wa EU unaelekea kukua hadi kuanza kushirikiana mambo mengi, akastuka ili awa wahi mapema kabla hawajaanza kuweka mitambo yao ya ku utilize oil and gas reserves iliyopo mashariki mwa Ukraine, pili anajua vizuri kabisa "EU" hawana ardhi ya kilimo kama aliyo nayo na Ukraine na anae walisha kila siku ni yeye na Ukraine, kwa hiyo ili abakie kama tegemezi kwao nilazima Ukraine awe underdog kwake.
Sasa basi ili hilo lengo likamilike nilazima yeye au vibaraka wake ndo wawe controller wa hayo maeneo mhimu yanayo windwa na westerners kwa lengo la kujiondoa kwenye utegemezi wa Urusi. na njia pekee iliyokuwepo kufanikisha hilo lengo nikuyachukua hayo maeneo kijeshi maana kisiasa tayari Zelensky alikuwa ashaoelewa na westerners, so Urusi iliona kuendelea kutumia siasa nikuendelea kujimaliza wenyewe. Na ndo maana Tangazo la kwanza kabla ya kuingiza vikosi Ukraine, Putin alitangaza kuyatambua majimbo ya DRP na LRP kama states huru maana ndo target yake na ndo kuna rasilimali nyingi mfanano na za Urusi zinazotegemewa sana na Westerners. Unganisha na Dot za kuyathibit maeneo ya Crimea, Zaporizhzhya nuclear power plant, Mariupol, snake island na Odesa(still on fire)
Naomba niishie hapa, details zaidi zitakuwa kwenye Uzi (nikipata muda mzuri one day) ila Russia yupo tayari kutumia hata nukes ili tu Ukraine mashariki iwe chini yake. Inahitajika akili ya utulivu sana kuelewa plans za Kremlin chini ya Putin maana hata EU, G7,NATO na UN wazielewi kabisa ndo maana kila siku wanaishia kuingizwa choo cha kike tu.
Nawasilisha.
Na wakitaka kulifahamu hilo vizuri wakamsome Adolf Hitler, hakuwa mjinga kuivamia USSR alijua ukitaka kuitawala dunia lazima uitawale Urusi.Tuliwaambia Russia is the father of this planet. Wamekuwa dogo kama mbegu ya mchicha
Mwendo wa single file tu.
Sisi ambao hatujawahi kuona vita hii clip imenitetemesha kama movie aisee, Hii vita iishe jamani, wakutane tu kwenye meza ya mazungumzo.Alisikika akiongea kwa huzuni m-Ukraine mmoja wa 'Mabwepande' baada ya kuumizwa na taarifa ya wanajeshi zaidi ya 900 wa Ukraine waliojisalimisha kwa majeshi ya Russia....
View attachment 2229964
Mkuu hongera kwa kuwa na akili kuwazidi G7, NATO, EU na UN. Kweli Tanzania imebarikiwa kuwa na vichwaSiku nikipata muda nitaanzisha uzi wa malengo makuu ya Russia kwenye hii operation. Najua wengi wanajua ni NATO ila hiyo ilikuwa kama entry gate tu ya putin kuingia na kuanza kukamilisha malengo yake mama kwa masilahi ya nchi na watu wake. Kuhusu kujiunga NATO siyo issue sana kwa Urusi issue ni NATO kuweka millitary bases karibu na mipaka yake, hapo hata uwe Mna NATO kwa miaka 20 Moto utawaka.
Ngoja nigusie tu lengo kubwa la hii operation ya Urusi, lengo kuu lililojificha nyuma ya pazia nikuifanya Ulaya hasa "EU" waendelee kumtegemea Urusi katika kuendesha uchumi na maisha yao ya kila siku, Putin anaamini hiyo ndo njia pekee ya Urusi kubaki imara kiuchumi na kiushawishi.
Je Ukraine anahusika je hapo?; Ukraine ndo nchi pekee huko ulaya inayoelekea kufanana na Urusi kwa suala la Rasilimali na bidhaa za kilimo yani reserve ya mafuta, gas, umeme, mazao na n.k, hivo basi putin alivyoona uhusiano wa Ukraine na watumwa wake wa EU unaelekea kukua hadi kuanza kushirikiana mambo mengi, akastuka ili awa wahi mapema kabla hawajaanza kuweka mitambo yao ya ku utilize oil and gas reserves iliyopo mashariki mwa Ukraine, pili anajua vizuri kabisa "EU" hawana ardhi ya kilimo kama aliyo nayo na Ukraine na anae walisha kila siku ni yeye na Ukraine, kwa hiyo ili abakie kama tegemezi kwao nilazima Ukraine awe underdog kwake.
Sasa basi ili hilo lengo likamilike nilazima yeye au vibaraka wake ndo wawe controller wa hayo maeneo mhimu yanayo windwa na westerners kwa lengo la kujiondoa kwenye utegemezi wa Urusi. na njia pekee iliyokuwepo kufanikisha hilo lengo nikuyachukua hayo maeneo kijeshi maana kisiasa tayari Zelensky alikuwa ashaoelewa na westerners, so Urusi iliona kuendelea kutumia siasa nikuendelea kujimaliza wenyewe. Na ndo maana Tangazo la kwanza kabla ya kuingiza vikosi Ukraine, Putin alitangaza kuyatambua majimbo ya DRP na LRP kama states huru maana ndo target yake na ndo kuna rasilimali nyingi mfanano na za Urusi zinazotegemewa sana na Westerners. Unganisha na Dot za kuyathibit maeneo ya Crimea, Zaporizhzhya nuclear power plant, Mariupol, snake island na Odesa(still on fire)
Naomba niishie hapa, details zaidi zitakuwa kwenye Uzi (nikipata muda mzuri one day) ila Russia yupo tayari kutumia hata nukes ili tu Ukraine mashariki iwe chini yake. Inahitajika akili ya utulivu sana kuelewa plans za Kremlin chini ya Putin maana hata EU, G7,NATO na UN wazielewi kabisa ndo maana kila siku wanaishia kuingizwa choo cha kike tu.
Nawasilisha.
Alisikika Pro-NATO mmoja huko 'Mabwepande' akibwabwaja kwa huzuni (ya kukamatiwa kamanda wake mkuu wa kikosi cha Azov Nazis huko Azovstal, Mariupol) na jazba/hasira (juu ya kwa nini taarifa hiyo iletwe hapa jukwaani)...Hii habari ni ya siku said ya 5 were unaileta leo? Imejadiliwa sana na "sources" tofauti tofauti dunia.
Ukurupukaji, ulikuwa wapi muda wote huo kuileta humu?
Newsless
Mdau Umoja wa Pro-Russia tunakuomba ubadilishe kauli π€£π€£π€£.Hayo madeni atayodaiwa Ukraine ni balaa. Marekani anataka ampe Ukraine silaha ambazo hazitamsaidia kuishinda ili aendelee kuomba nyingine.
Russia anakamata maeneo muhimu kiuchumi anajua atafidia hasara ya vita na kumzuia Marekani kupata mianya ya kunufaika labda akalime
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Rudia kusoma hiyo historia yako.......hakuna mmarekani aliyemkata babu yako mikono......Soma vizuri hiyo history 2.....Sasa hao hao si ndio wametufanya tuwe maskini hivi hadi leo unafikiri wasinge mkata Babu yako mkono au wasinge iba madini na wasingepandikiza ukristo wakinafki kwa maslahi ya matumbo yao leo hii ungewategemea
Basi wangefanya kama ulivyoshauri wasingeweza kutwaa eneo lolote huko Mashariki mwa Ukraine. Of course, kushambulia miji mingi ndani ya Ukraine ilikuwa ni mkakati wa kuwafanya Ukraine wajikite kwenye kulinda Serikali ya Kyiv isiangushwe. Hapo ndipo Russia walipotumia upenyo wa kuyateka maeneo hayo ya mashariki. Ingawa kwa pande zote 2 wamepoteza wanajeshi wengi sana.Kama Urusi ingejikita kuyatwaa hayo maeneo ya Ukraine mashariki toka awali huenda wangeshayatwaa na wasingeangukia kwenye fedhedha waliyonayo hivi sasa hasa baada ya kushindwa kuiteka Kyiv.
lee van cliff idawa
MBONA KAMA PAWA TILA HIZI [emoji23]