Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Marekani ataingia atachukua kipande cha juu akifuatilia madeni yake kwa Zelensky .Watakaa na Russia kufufua miundombinu ya uchumi na wataanza kuinyonya Ukraine kwa maelewano vikwazo vitatolewa. Muogope sana USA

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Angalia chanzo chako[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1313][emoji1313][emoji1313]
 
Wanajeshi wa Ukraine waliotekwa na majeshi ya Russia huko Azovstal, Mariupol, waelezea hali ilivyo kwenye camp walimoshikiliwa na majeshi ya Russia...wawasifia majeshi ya Russia kwa kuwapigisha mateka hao misosi ya nguvu ikiwemo supu ya nyama asubuhi na mchana😂😂😂😇😇😇

Pia wameshukuru kupewa vitanda safi kila mmoja na sendoz za ukweli...bila kusahau huduma nzuri za matibabu.

Wana mshipa wa kula ile mbaya...maana walipigishwa kwata ya njaa kwa miezi kama miwili hivi walipozingirwa na majeshi ya Russia kwenye kiwanda cha chuma Azovstal, Mariupol.


 
Erdogan: Turkey expects concrete Swedish steps on ‘terrorism’
Turkish President Tayyip Erdogan says he told Sweden’s Prime Minister Magdalena Andersson that Ankara expects concrete steps regarding its concerns about “terrorist organisations”, the state-owned Anadolu news agency reported.

Waafrika tukijifunza kwa wazungu tutafika mbali...

Kuna mpuuzi mmoja wa Pro Russia anakwambia Turkey ni team Putin...

Turkey wanataka kuwa EU leo kesho
 
Nimekusoma ......
Mimi n shangazi 😂😂😂😂😂natokea makao makuu ya kaskazini hivyo hakunaga lugha ya kike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…