Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kuna hasara zaidi ya hii hapa anayoizungumzia Zelensky?!

Pamoja na drama zake zote, Zelensky anakiri kuwa Ukraine haitoweza kushinda vita hivyo na Russia...

Pili anaomboleza misiba ya mamia ya marubani wake walidunguliwa wakiwa kwenye ndegevita za Ukraine. Wengi wa marubani hao walikuwa wakijaribu kupeleka chakula, maji na madawa kwa maelfu ya wanajeshi wa Ukraine waliozingirwa Azovstal pamoja na kuwachukua majeruhi. Marubani wote wakaishia kufa kwa nyakati na siku tofauti...na mwisho hao wanajeshi waliozingirwa wapo mikononi mwa majeshi ya Russia

 
Kusema Urusi alikuwa anapigana na mataifa 39 wakati hayo mataifa hayajapeleka majeshi yao sio sahihi.

NATO hawawezi kupeleka majeshi huko maana Ukraine sio mwanachama wa huo umoja, hilo naamini unalifahamu vyema.

Urusi anapigana na Ukraine tu inayosaidiwa kisilaha na mataifa ya NATO (tena silaha nyingi wanazopewa ni za enzi ya Ussr wanazozimudu vyema kutumia).

Kama Ukraine wangepewa zana za kisasa na hao wa magharibi kama wanazopewa Israel, naamini Putin angekua na wakati mgumu mno kuliko huu alioupata alipojaribu kuiteka Kyiv.

Hii Vita imeonyesha udhaifu wa jeshi la Urusi (japo ina nguvu) ila inaweza kupingwa tu (Although it is strong but it can be challenged).
Tsh dudus Jackal T14 Armata Coco Master Root
Nyamizi Frank Wanjiru Yoda
 
Relations between Germany and Poland have escalated due to "stuck" negotiations on the supply of weapons to Ukraine, writes Der Spiegel.

According to the publication, Warsaw handed over almost all of its 240 Russian-made tanks to Kyiv and therefore asked to be replaced with the latest German Leopards, but Berlin still has not done this.

As the author of the article notes, in Germany they cannot agree to such a deal, since the Bundestag itself does not have new tanks in stock.

 
Kuna msemo "kama anavuja damu basi anaweza kufa"
 
Na anchofanya US anatengeneza market circle ya hao wanaotuma siraha zitakaribia kwisha halafu yeye ndo atawauzia tena kwa sababu military consultants ambao off course ni Ex-US Marines/Private military service contractors like Black Water
wataziambia hizo nchi zilizompa Ukraine siraha kuwa wanatakiwa wajilinde incase of Russian invasion...so hapo wataongeza physical and softwares military expenditure kwa US.

Na hapa nahisi US atauza hadi prohibited program Kama F16, modernized Black hawk F22 na probably F35 ili azidi kuwapiga wajinga hahaaaaa

Ujinga ni gharama saaana
 
Kipigo kikizidi anakumbuka diplomasia ila walivyo pewa javelin akajisahau kuwa bado yeye ni shwaini tu mbele ya putin
Kuna kitu hapo kinanichekesha ujue, sasa wakati huku Dementia Biden anasign B40 za kununulia silaha zaidi, huyo Gasho analilia Diplomasia.... Si akipige tu hadi mwisho wakiishia silaha tena kuna mishale ya wamasai kule haina kazi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hizo silaha hazitawasaidia lolote sababu ni za mchongo. Lengo la Biden kumtia deni tu 🤣🤣🤣
 
Kazi iendelee.
 
Inasikitisha sana... Europe na huko US kuna watu smart zaidi ya haya matukio ila nashangaa kwanini siku zote nafasi nyeti za maamuzi huwa zinakaliwa na akili fupi.

Em kaangalie hyo EU, unajiuliza hizo nchi zooote zinaburuzwa vipi namna hyo [emoji28][emoji28][emoji28]. Wanasiasa ni Makonyo sana.
 
Mtoa mada sijui km anaelewa maana ya Battalion au kaamua tu kulitumia ilimradi uzi teyari.
 
Wana pesaza kutengeneza silaha zingine,alafu,mwanajeshi kufa vitani sio jambo la kuzungumzia,maana ndio kazi yenyewe bali,vita yoyote,ni lengo litimie,na sio vifaa wala mwanajeshi kufa. Na ndio maana,huwezi kukuta bendera inapepea nusu mlingoti eti wanajeshi wamefariki zaidi ya elfu 20 vitani. La maana ni lengo,na sio vifaa,au mwanajeshi kufa vitani. Tumia. Akili.
 
Sasa mwamba, hapo SOMALIA walipotangaza kurejesha majeshi yao, kwani SOMALIA ni member wa NATO?

Tuweni real basi hata kidogo tu yani kiduuuuchu tu usiku wa leo [emoji23]
 
Hakuna kitu kinanichekesha kama kusikia Russia ana silaha inachoma silaha za wenzie.
Aisee hii kitu Inanichekesha sana.
Kuchoma maana yake kuunguza.
Kuna clip moja ilikua inazunguka mitandaoni ilikua inaonesha drone zinavyoyayuka angani na kudondoka kama fataki kwenye kile kiwanda cha chuma.
Tumewauliza saana humu kwa nini NATO hawaingii kijeshi tukapewa majibu mepesimepesi.
Tukawaeleza kiteknolojia duniani wanaiba toka Urusi,wakatuzomea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…