Reuters hawa hapa [emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2233223View attachment 2233224View attachment 2233226
Daadeki show kali... wapambane tu na hali zao... Kama una namba zao nigei huku "tanks" tunazo pia kubwa za kutoshaRelations between Germany and Poland have escalated due to "stuck" negotiations on the supply of weapons to Ukraine, writes Der Spiegel.
According to the publication, Warsaw handed over almost all of its 240 Russian-made tanks to Kyiv and therefore asked to be replaced with the latest German Leopards, but Berlin still has not done this.
As the author of the article notes, in Germany they cannot agree to such a deal, since the Bundestag itself does not have new tanks in stock.
View attachment 2233404
wasanii hawaPutin kweli kadhamiria kuwarubuni wanajeshi wake, yaani wanauawa kishamba sana....
The Russian army has suffered heavy losses, including the destruction of around three dozen tanks, after the Ukrainian army blew up a pontoon bridge over the Siverskyi Donets river in the Luhansk region, according to reports.
Satellite images collected by geospatial intelligence firm BlackSky show
Russian army ‘lose entire battalion’ trying to cross Ukraine bridge
British intelligence says Russian forces are likely to redeploy to eastern bank of Siverskyi Donets riverwww.independent.co.uk
Unadhani wanakwama wapi?Hiyo nzuri sana, sijui wanakwama wapi kufanya kweli [emoji23][emoji23][emoji23]
Majarubani kule matope mengi mno... [emoji23][emoji23][emoji23]Unadhani wanakwama wapi?
Sasa Urusi anavyoteseka na lioperation lake kwenye nchi ya watu mm nalemewaje? Well labda upo sahihi kwa sababu binafsi nimepaki ingine kubwa natumia injini ndogo na gari ya ofisi baada ya mafuta kupanda, otherwise hakuna kulemewa kokote, ukilifanya hili ni too personal litakutengenezea imotions then hasira.Lazima sababu umeelemewa mno
Sasa kauli ya reharsal hapa inatokea wapi, kama unakiri watu wanakufa! tuwe siriaz mkuu!Wana pesaza kutengeneza silaha zingine,alafu,mwanajeshi kufa vitani sio jambo la kuzungumzia,maana ndio kazi yenyewe bali,vita yoyote,ni lengo litimie,na sio vifaa wala mwanajeshi kufa. Na ndio maana,huwezi kukuta bendera inapepea nusu mlingoti eti wanajeshi wamefariki zaidi ya elfu 20 vitani. La maana ni lengo,na sio vifaa,au mwanajeshi kufa vitani. Tumia. Akili.
Unadhani Putin atasema ukweli kuwa kapata loss! za kuambiwa ongeza na zako!Kuna hasara zaidi ya hii hapa anayoizungumzia Zelensky?!
Pamoja na drama zake zote, Zelensky anakiri kuwa Ukraine haitoweza kushinda vita hivyo na Russia...
Pili anaomboleza misiba ya mamia ya marubani wake walidunguliwa wakiwa kwenye ndegevita za Ukraine. Wengi wa marubani hao walikuwa wakijaribu kupeleka chakula, maji na madawa kwa maelfu ya wanajeshi wa Ukraine waliozingirwa Azovstal pamoja na kuwachukua majeruhi. Marubani wote wakaishia kufa kwa nyakati na siku tofauti...na mwisho hao wanajeshi waliozingirwa wapo mikononi mwa majeshi ya Russia
Sasa ole wake mUkraine yeyote apige nyimbo za Diamond zile zinaanza tu ''''eyooo lesor🎶 duluduu ndunduu, duluduu ndundu''''...... atakatwa kidevu😏ukweli ni kwamba Russia,anasilaha za Vita ambazo hakuna nchi imewahi kuzifikilia ,Ila zimefichwa kwa code's nzito Sana.marekani amejitahd kutoa misaada mingi ya silaha lengo alitaka kuona Russia anasilaha gani mpya !?, mwanzo Russia aliamua kutumia silaha za kawaida tu ,wamalekani walipo mwaga mi drone ya kutosha ,Russia akaona isiwe tabu akatoa silaha yake mpya Lazer,ambayo inaunguza drone kabla hazipiga shabaha, na hiyo ni moja ,je zingine ambazo bado zimefichwa !!!!?
hii Vita Ukraine na NATO,wakubali masharti ya Russia ndo ,suluhisho vinginevyo nchi ile itakuwa magofu yote!!
Twende na mood yako tu. Hapa ni maoni, furaha na kupata elimu mbili tatu ambayo sio kwamba itakupeleka popote au itaongeza kipato. Kama upo kiutani we leta utani mm ntakujibu na kuuliza swali.Majarubani kule matope mengi mno... [emoji23][emoji23][emoji23]
Leo sipo serious mzee, unauliza kiutani au upo serious tujadiliane [emoji41][emoji41][emoji41]
🤣🤣🤣🤣👇Fake news
Hahahahah kwa sasa Pro Nato wamejivicha huko Mbagarapoul huko!Wanasubiri kifaru kimaoja Cha Urusi kilipuliwe watatoka kwa Kasi huko Azovstanzania
Dunia ni WAO mzee... huwa huwasikii wakijiita viongozi wa dunia [emoji41], kwamba dunia ipo na Ukraine [emoji847]Mikutano na ngonjera za vikwazo wameishiwa saizi wamehamia kuionea huruma dunia kukumbwa na njaa, sijui ndo kusema raia wa Russia siyo sehemu ya dunia na vikwazo vile
Duh ase!Sasa Urusi anavyoteseka na lioperation lake kwenye nchi ya watu mm nalemewaje? Well labda upo sahihi kwa sababu binafsi nimepaki ingine kubwa natumia injini ndogo na gari ya ofisi baada ya mafuta kupanda, otherwise hakuna kulemewa kokote, ukilifanya hili ni too personal litakutengenezea imotions then hasira.
Wanajeshi kufa haimaanishi kwamba hawatafanya recruitment nyingine,elewa kuwa,wao wanapima ubora wa silaha za NATO,na sio wanajeshi kufa, mwanajeshi kufa vitani sio jambo la kuzungumzia wala kujali,elewa. Raia akiwawa vitani kesi,na sio mwanajeshi.Sasa kauli ya reharsal hapa inatokea wapi, kama unakiri watu wanakufa! tuwe siriaz mkuu!
Nachoona ni drama, ni hiyo kauli ya reharsa wakati takriban wanajeshi 1000+ wa ussr wameshapotea
Ila huyu mwamba kuna mda anatia huruma basi tu.Zelensky akata tamaa, asema Ukraine haiwezi kutoboa/kushinda vita mbele ya majeshi ya Russia...
Asema diplomacy ndio pekee itawaokoa waUkraine toka kwenye kichapo cha majeshi Russia....
Akiri Ukraine kupoteza marubani wengi mno (idadi yao asema hatoweza kuitaja hadharani, itakuwa ni fedheha kwa jeshi la Ukraine) na ndegevita nyingi sana huko Mariupol ktk jitihada za kupeleka chakula, maji, madawa kwa wanajeshi wa Ukraine waliokuwa wamejificha kama panya huko Azovstal ambao wote wameishia kutekwa na majeshi ya Russia