Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Putin angekuwa na nguvu angeendelea na mashambulizi ya kama siku 5 za mwanzo , kasoma upepo kaona hawezi kuendelea imebidi kushambulia kidogo kuficha aibu ya kufeli
 
Usipoteze muda wako siku nyingine kuandika upupu kama huu JF.

Upupu utaendelea kukupupua!! Zelensky alijifanya kukataa mazungumzo kwa kurubuniwa na nchi za magharibi leo anayalilia!! Bahati mbaya kwake nchi za magharibi hazitakubali mazungumzo maana zimeshawekeza tayari kwa gharama kubwa kupigana na urusi kwa kutumia mikono na damu ya waukraine!! Kwa hiyo lazima Zelensky aonekane adui mkubwa sana kwao!! Anawaangusha!!
 
Aljazeera ni Pro Russia wanaojulikana.
Hata BBC wameripoti, pia CNN wameripoti. Ingia google ujionee!!

BBC HAWA HAPA:
  • President Zelensky has said the war can only be fully resolved through diplomacy and negotiations, despite his confidence that Ukraine can prove victorious on the battlefield.
CNN HAWA HAPA:

After bloody battles, Ukraine war will end with diplomacy, Zelensky vows in anniversary interview​

From CNN's Maria Kostenko in Chernivtsi

Ukraine will battle to a bloody victory but the Russian invasion will end with diplomacy, Ukrainian's Volodymyr Zelensky said in an hour-long TV interview to mark his third anniversary as President.
"We did not start this war. But we have to finish it," Zelensky said in an interview that was recorded Friday and broadcast Saturday.
"Victory will be bloody in battle. But the end will be in diplomacy. We want everything back. Russia does not want to give anything away," Zelensky said.
The broadcast also included an interview with Zelensky’s wife Olena Zelenska, who said the war had not changed her husband.
"I can't say that he has changed. As he was a reliable husband and man, so he is," she said.
But she lamented not being able to see him for months.
"Our family, like all Ukrainian families, is now torn. We didn't see each other for two and a half months, we only talked on the phone. Thank you for this opportunity [this interview], because we are spending time together now -- dating on TV," she said.




9 hr 11 min ago
 
We jamaa kichwa Sana..
Jf. Ina culture zake na ndio hizo unazochallenge . Humu kuna watia pilipili, wayeyushaji na hakuna rules kila mtu yupo huru Alimradi sheria za pori anazifuata .Kwaiyo Jf haina judge na usipokuwa makini kuna wazoefu watakufrustrate. Usipotaka challenge komaa na FB ingawa nako wanaamka.

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Urusi alianza kwa mzuka sana, akawa na limsafara la kilomita 60, tukajua Ukraine kwisha habari yake, nyuzi humu zikarindima kila uzi ukituahidi namna show itaisha kwa siku chache, ila Mrusi akasahau hamna kitu kigumu duniani kama kujaribu kupiga watu kwao hususan wenye uzalendo na nchi yao, utaanza kwa nguvu ya soda ila mwishoye utasubiriwa uanze kuhema na ndio kimemkuta Mrusi, leo hii anahemeshwa na kutafuta pakutokea.....

Hii ramani hapa inaonesha alivyokuwa amekaba maeneo, ila yanavyomtokea puani.....




In recent weeks, Russia has lost substantial ground that it initially captured after the start of its invasion in Ukraine.

When Russian President Vladimir Putin ordered the invasion in February, the Kremlin anticipated a quick takeover of Ukraine. However, Russia was met with surprisingly strong resistance from the Ukrainian people, who have put up an intense fight to protect their country.

As the invasion has continued, Russian military forces have largely been confined to the eastern part of Ukraine, including the Donbas region, with a report released Sunday by the British Ministry of Defence stating, "Russia's Donbas offensive has lost momentum and fallen significantly behind schedule."

 
Mkuu baada ya kupata muda kidogo nimepitia hoja za Galip Vrl na naweza sema nisahihi alichokiongea kutokana na alivyoelewa nilichokiandika ila haikuwa maana yangu niliyo kusudia.

Kwa anaefuatalia mgogoro huu sidhani kama yupo ambae hajui kama kuna Operation mbili ambazo Putin anapambana nazo kwa wakati mmoja.
1. Operation ya kijeshi, hapa nikati ya Russia Vs Ukraine+USA&NATO
2. Operation ya kiuchumi, hapa nikati ya Russia Vs EU&USA
Na Operation zote hizo Urusi alijua kabisa kabla ya kuanza Operation yake uwezekano wa hizo operations kuwepo ni mkubwa na naamini aliweka alternatives na mikakati mapema kabla ya kuanza Operation na ndo maana tunaona namna anavyowapiga EU kwa jiwe moja la uchumi baada ya wao kurusha 100.

na kila anae shiriki mgogoro huu kuna uwezakano mkubwa wa kujua weak points za opponent(s) wake na ndo maana tumeona maeneo mhimu nchini Ukraine ndo moto ukiwaka na mengine kuthibitiwa kwaajili yakuja kutumika kama bargaining matters wakati na baada ya mgogoro kuisha. Mfano; Juzi Urusi imewambia UN&EU bila kuondolewa vikwazo Bandari ya Ukraine hatuifungui kuwasambazieni chakula lasivyo mtakula vikwazo vyenu (Hiyo kwa EU ni weak point)


Kuhusu sababu za Urusi kuivamia Ukraine siyo kwamba nikusudi la Urusi kama Galip Vrl alivyonielewa au kufikiri ndo maana yangu. Bali nilijaribu tu kuonesha Urus ilivyotumia Upenyo wa Ukraine kuleta kelele za NATO kuanza kupambana na adui wake walio nyuma ya Ukraine na kuyatenganisha/kuyakomboa majimbo ya mashariki mwa Ukraine kwa sera ya kuyatambua kama majimbo/nchi huru, ambapo ni reality baada ya kupata huo uhuru lazima yatakuwa loyal kwa Urusi.

Sema nafurahi sana kubadilishana na kueleweshana mawili matatu na wakuu wa Jf hasa Pro-Russia kwenye Uzi huu na Pro-NATO wanaopenda kujadili hoja na siyo propaganda za BiBiSi, naamini hata Putin angekuwa anatumia JF basi angedhani Tanzania kuna jimbo la Urusi lenye warusi wazawa wanaoijua vizuri Russia.
Hongeren sana kwenu Pro-Russia[emoji120]
 
Hawa miamba nimewakubali sana, yaani wame-frustrate Urusi na Putin kwa siku 82, amewashambulia kwa kila aina ya silaha mpaka zile za thermo ila muda wote walimtunishia misuli, wataandikwa na kusomwa kwenye vitabu vya kihistoria miaka 1,000 ijayo.
Niswala la muda tu mwamba ataidhibiti nchi yote.
 
Ni wapi walipoandika watamgeuka Zelensk. Zelensk kila anachofanya na kuongea kwa sasa kina Baraka za USA n NATO
 
Leo ndio imekufikia habarai hii? Mbona ya muda mrefu sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…