Galip Veryl
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 2,147
- 13,463
Ahsante, π€©π€©π€©Da Pro Russia Kuna kitu nimejifunza.
Kwa mijadala kama hii,kwa nondo hizi mnazozitoa,aisee Kuna jambo la kitabiabama sijui niseme kisaikolojia nimejifunza .
Sijui kama ntaeleza vizuri.
Kumbe mtu kuamua kuchagua ama. Kujikuta uko upande Gani Ni suala la kitabia na kimaumbile zaidi.
Kwa jinsi ulivyo hangia hapa,kwa kuchangia ama kujibu hoja ya mdau najinsi Pro Russia wengi wanavyochangia na jinsi Pro USA wengi wanavyochangia nimegundua kwamba.
USA na west ni nchi zenye majivuno,dharau,kiburi,jeuri,matumiazi ya nguvu na mengineyo.
Hivyo hata Mashabiki wake wengi wanapenda tabia hizo.
Ndo mana utaona USA hata maamuzi yake mengi ni kama nilivoorodhesha.
Kupenda aonekane ana nguvu ama za kijeshi na kiuchumi,maamuzi yake mengi ni jeshi ama vikwazo,yeye mazungumzo kwake hua ni kidogo sana,ukimshinda kwa hoja jiandae kwa kipigo.
Njoo upande wa Urusi hata china na wenzao.wao ni hoja zaidi,kutokupoenda kutumia nguvu wala vikwazo,kupenda maridhiano na mijadala.
Angalia mgogoro huu,Urusi alianza kuisihi mda mrefu mno USA isizidi kuitanua NATO kuelekea kwake USA ikawa mbishi ,kiburi na dharau.
Mizozo mingi Urusi na china na wenzake wametaka.kuimaliza kwa mazungumzo.
Nataka kusema nini Sasa.
Kumbe mtu anajikuta Yuko kundi au upande Fulani kutokana na tabia za Upande huo kumvutia kulingana na tabia zake.
West - nguvu,ubabe,majivuno,kiburi,dharau,kujiona wanajua Kila kitu.
East - heshima,usikivu,majadiliano,upole,uungwana,kumshirikisha,ubabe,nguvu.
Aje, asijifiche kama mwali ndani. Hayo majudo tuyaone isje ikawa ana mchezo wa huyu jamaa:Unataka kumuua zele , hujui Putin ni mpiga judo hatari Sasa umpambanishe na msanii Zele π€£π€£π€£βΌοΈ
wenzetu wanajiongeza halafu kuna yule februray marope na washenzi wenzie ambao wanajifanya hawaoni la kufanya dhidi ya mafuta kupanda wakati rubble moja ni sawa shillingi 34.BREAKING NEWS here in Moscow
After buying discounted oil from Russia, Indian government reduces petrol price by 9.5 rupees per litre
Diesel price has been reduced by 7 rupees per litre
Indian citizens are happy [emoji1635][emoji898] https://t.co/1Gif76ZpGc
π€ππ,basi sawa!Ila lazima tuweke kumbukumbu sawa hasa pale penye harufu ya kupindishapindisha!
Fix TU,hizo Hela wala haziletwagi ni kumtisha TU Mrusi ambae wala hatishiki.yeye kazi yake Sasa hivi ni moja TU.nayo ni kuzichoma na kuziunguza kama moto wa Foundry silaha za USA kamaHahahah wacha tuone wataletewa nn kwenye hio usd40 billion
Huwa hayawi mpaka yanakapokuwa, hayatokei mpaka yanakapotokea. Akiikalia Ukraine nitakubali kuwa dua langu limekuwa ni dua la kuku kwa mwewe but until then, tutavuka daraja tukilifikia. Kwa sasa maombi ni PUTIN ASHINDWE ARUDI KWAKE.Ongeza maombi mzee baba, wakupe maji na mafuta ya upako hapo Church vitaeza kusaidia πππ
Then, Ufunge 40 ukeshe ukisali labda unaweza kukurupuka usingizin kwanza ushuhudie namna Anavyorudi URuSi...
Aloo nyie Pro Russia mma vijineno vya kuudhi na kukera,Uzuri wa mrusi anawabinya kende na plaizi taratibu tu wala hana papara. Kila wanalopanga wanakuta jamaa ana mbadala wakeπ π π wanaitana tena vikao kama ndugu na mshenga ukweni!
Ha ha haa aloo watuna vituko.Mkuu ni muda umepita sasa, kwa dakika chache una lolote la kusema kuhusu huyo "lijendi"
Pamoja sana legendaryAhsante, π€©π€©π€©
Reply nzuri sana katika zote nilizokutana nazo asbuh hii...
Umeeleza kiufundi zaidi mweeh.
Maana yake Kiev ni damp hahaaaaWanaanza kuvurugana huku wadau [emoji23]
Songa nayo...
[emoji1200][emoji629]Poland and Germany quarreled over the supply of tanks to Ukraine.
Warsaw demands that Berlin send tanks as soon as possible, in return for those given to Kiev.
However, the Germans are in no hurry to supply their Leopard to the Poles, since the Bundestag itself does not have enough equipment, Der Spiegel reports.
Not so long ago, Poland handed over to Ukraine about 200 old T-72M1 and T-72M1R tanks.
By the way, many of them were not quite in good condition, which they complained about in the APU.
It is possible that this explains Warsaw's eagerness to give them to Kiev as soon as possible and get new ones from Berlin, so also for free.
πππHuwa hayawi mpaka yanakapokuwa, hayatokei mpaka yanakapotokea. Akiikalia Ukraine nitakubali kuwa dua langu limekuwa ni dua la kuku kwa mwewe but until then, tutavuka daraja tukilifikia. Kwa sasa maombi ni PUTIN ASHINDWE ARUDI KWAKE.
Zelensky anaingamiza Ukraine anatengeneza madeni makubwa. Hivo vifaru havitamsaidia sanaMaana yake Kiev ni damp hahaaaa
This is what I over saw...hapo Berlin isipowapa US atawakopesha ....deni litalipwa with dearly interest hahaaaa
Ujinga ni gharama kubwa saaana
Yeye ataiita anavyoiita ila ninavyomtafsiri mm ni anaitaka ile ardhi hakuna lingine. Utaona atajaribu kujimegea kwa kadri atakavyoweza.πππ
Vipi kwenye draft uliyoipokea kuna maelezo yanasema lengo la Putin ni kuikalia Ukraine π€π€
Propaganda...
Picha ikowapi!!??Haya warusi wa buza ndugu zenu wamechapwa tena wakivuka mto
Putin aliwahi kuingia!? Anayajuaje? Aliingia kufanya nn?Najiuliza sana ilikuwaje idadi kubwa hivo kujibanza mashimoni. Mashimo ambayo Putin aliwahi kuingia anayajua vema.
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app