Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kuna boss wangu mmoja alikuwa ni mchambuzi kama hivi. Anaamini anajua kuliko wenye tukio. Hii personality huwa inazalilisha sana watu wakishakuzoea kuwa wewe ni mr I know more.
Huenda akawa ni Askari jeshi mstaafu alie somea scinece ya kijeshi, anafanya analysis kutokana na uzoefu wake
 
Reactions: Tsh
Kumbe mtu kuamua kuchagua ama. Kujikuta uko upande Gani Ni suala la kitabia na kimaumbile zaidi.
Of course mdau 🤗
USA na west ni nchi zenye majivuno,dharau,kiburi,jeuri,matumiazi ya nguvu na mengineyo.
Hivyo hata Mashabiki wake wengi wanapenda tabia hizo.
Sana 😂
Kupenda aonekane ana nguvu ama za kijeshi na kiuchumi,maamuzi yake mengi ni jeshi ama vikwazo,yeye mazungumzo kwake hua ni kidogo sana,ukimshinda kwa hoja jiandae kwa kipigo. Huku wa JF kipigo hawawezi wanafura tu kwa mihasira na matusi.
Mdau Wino mwekundu nimeongezea kukaza uzi 😂
Mashariki mdau kumestaarabika zaidi... 😌
Nataka kusema nini Sasa.
Kumbe mtu anajikuta Yuko kundi au upande Fulani kutokana na tabia za Upande huo kumvutia kulingana na tabia zake.
Point muhim mdau... 👊
West - nguvu,ubabe,majivuno,kiburi,dharau,kujiona wanajua Kila kitu.

East - heshima,usikivu,majadiliano,upole,uungwana,kumshirikisha,ubabe,nguvu.
😂😂😂

Kumbe ku'qoute namna hii raaaha 🤣 Galip Vrl usiseme nimekuiga 😂
 
Ndugu zenu russsia wameomba poo azov wote wataachiwa huru

 
Wacha we, na unajua kutafsiri kweli kweli, Enhe vipi tafsri yako ni ISO number ngapi 🤣😂...
Hapa sasa ndipo unaponifurahisha Galip. Umenogewa mwenyewe, vicheko vya style tofauti, vimoji vinageuka juu na chini vya njano njano. Unapendeza mwenyewe na tumachozi twako.
 
Hao Mateka asilimia 80 ni Wa kutoka nchi za magharibi ndio maana mlisikia mlio mkubwa sana mpaka kutumia UN...HALAFU HAWA wajinga bbc, cnn wanasema eti wanahamishwa hawa wamejisalimisha baada ya kula kichapo cha mbwa koko wamenyanduliwa balaa....
Jamaa yako kasanda soon azov fighters watakuwa huru
 
Sisi Nato tunapigwa hatari ila sisi ni wazee wa propaganda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…