passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,881
- 13,096
Nafikiri huijui Russia vizuri.hao hawaogopi Vita yaani wamepigana Vita vingi Dana nyie team NATO mnaaibisha aisee msome historia vizuri.Duh vita so lelemama aisee ,kifo unakiona kabisa ,Russia akimaliza huu mgogoro hatokaa arudie tena hii kitu
Vikao vya taarabuHabari zilizotufikia hivi Punde ni kwamba kikao kimemalizika cha viongozi wa mataifa zaidi ya 50 na kuja na kauli moja ya kuisaidia Ukraine kwa makombola bora zaidi.
Denmark nayo haiko nyuma na imeamua kuipatia Ukraine kitu kinaitwa Harpoon Anti-Ship Missiles na Launchers zake, hii itasaidia kuifungua Bahari nyeusi ambayo Meli za Kirusi zimeifunga hivyo kuzuia kupita kwa meli za mizigo kwenda bandari za Ukraine.
Canada na Australia nazo zimeahidi kupeleka kitu kinaitwa M-777 howitzers kuhakikisha anga la Ukraine inakuwa salama.
Sasa ni hivi, watu wakishaanza kukukalia vikao regardless una ubora ama akili namna gani ndugu yaani ujue - UMEKWISHA.
Harpoon Anti-Ship Missiles
View attachment 2236916
M-777 howitzers - Kitu hicho ndugu.
View attachment 2236927
@UPOPONATO will not be a party to the conflict in Ukraine, will not send troops there, as it intends to avoid war with the Russian Federation, Stoltenberg said.View attachment 2236864
Yani MTU apigane na zaidi ya Nchi 40 halafu ategemee mambo yawe rahisi,nadhani hiyo kauli umejitungia mwenyewe.Hakuna anayebisha kwamba Ukraine hatembezi bakuli, tunasema Mrusi alifikiri mambo ni laini, kakutana na kisiki kiasi hata yeye mwenyewe anashangaa.
Mwanzoni alisema atakayetoa usaidizi wowote kwa Ukraine atakiona cha moto sasa mbona wanatoa tu na hana la kufanya afu anaishia kulalamika.
Ndio kikao chakwanza hiki !!!??Habari zilizotufikia hivi Punde ni kwamba kikao kimemalizika cha viongozi wa mataifa zaidi ya 50 na kuja na kauli moja ya kuisaidia Ukraine kwa makombola bora zaidi.
Denmark nayo haiko nyuma na imeamua kuipatia Ukraine kitu kinaitwa Harpoon Anti-Ship Missiles na Launchers zake, hii itasaidia kuifungua Bahari nyeusi ambayo Meli za Kirusi zimeifunga hivyo kuzuia kupita kwa meli za mizigo kwenda bandari za Ukraine.
Canada na Australia nazo zimeahidi kupeleka kitu kinaitwa M-777 howitzers kuhakikisha anga la Ukraine inakuwa salama.
Sasa ni hivi, watu wakishaanza kukukalia vikao regardless una ubora ama akili namna gani ndugu yaani ujue - UMEKWISHA.
Harpoon Anti-Ship Missiles
View attachment 2236916
M-777 howitzers - Kitu hicho ndugu.
View attachment 2236927
Dunia inamshangaa Urusi anawezaje kukabiliana na Nchi 40 tena Nchi tajiri zaidi zenye uwezo wa kila namna,na akaziyumbisha na mateka wao kila siku sana surrender!.Mpaka dakika hii dunia inamshangaa Putin, kwa namna tunavyoijua Urusi ukicompare na ka Ukraine - miezi 3 kweli....aisee hii ni failure kwa mzee Mzima.
Tatizo la underestimations.
Ile ni operation,iliwahi kuona wapi Vita ambayo anayepigana naye anakutangazia Leo nitafanya hiki mahala fulani,kisha anawapa mateka na Wananchi chakula.Warusi wengi hawataki vita hii, ila utawala wa Putin ni wa kidikteta - wengi wamefungwa na wengine vizuizini kwa kupinga vita hii.
Anza Kwanza wewe kuacha utoto na ujenge hoja kama mtu mzima.Urusi aache utoto, ajikite kujenga nchi yake
Hakuna nchi imepigana Vita nyingi Kama America acha pumbaNafikiri huijui Russia vizuri.hao hawaogopi Vita yaani wamepigana Vita vingi Dana nyie team NATO mnaaibisha aisee msome historia vizuri.
Af issue nyepesi ka hiyo shangazi ngaboru anaielewa ajabu wanaojiita vichwa vya familia kama dash dash na dash dash wanajitia upofu.Kesema kweli huyu Shangazi kama alovyojitambulisha ana upeo mkubwa sana.
Huu mjadala kweli unahitaji upeo mkubwa sana kumuelewa.
Watu wengi kiukweli Wana upeo mdogo sana kuhusu masuala ya Ulinzi na Usalama wa taifa.
Hebu fikiria kwa Nini USA alie mbali Sana na Europe analazimisha Utanizi wa NATO.
Na kwa Nini huyohuyu USA hayuko tayari Urusi kuweka urafiki wa kijeshi unaofanana na NATO huko america.
Mfano Cuban missile crisis.
Urusi alimwaga vifaru vingi Sana, ndo maana vifaru vyote vilivyokanyaga Kiev vililiwa kichwa, Ila Ukrein hasingepewa Javellin angekomahivi kwa nini hivyo vifaru vya Urusi havikulipuliwa hapo mji muhimu kabisa Ukraine,Mauripal na badala yake zaidi ya wanajeshi 1000 wa Ukraine wakaenda kujificha kwenye mashimo na kula panya & mende kwa siku kadhaa
Ficha ujinga mkuu hakuna nchi inaitwa "america" na hata hiyo unayomaanisha imepigana vita moja tuu ya American war of independence 1776Hakuna nchi imepigana Vita nyingi Kama America acha pumba
Ajabu ule ujinga wao wa kudai adui zao ni wakristo na wayahudi vipi tena au Putin kasilimu?kweli ibilisi na unafiki damu damu.Nilikua nusra nikate tamaa pale niliona picha ya limsafara la Urusi kilomita 60, nikajua Kiev kwisha, nyuzi zikarindima humu za wafia dini ambao ghafla mna mahaba na Putin, ila mambo yakaja kubadilika kabisa, limsafara likaliwa shaba hadi raha...Warusi wakageuza na kwenda kuparamia kamji ka mbali huko Mariupol.
Nafikiri huijui Russia vizuri.hao hawaogopi Vita yaani wamepigana Vita vingi Dana nyie team NATO mnaaibisha aisee msome historia vizuri.