Acha uongo.Hizo ulizozitaja ni military operations na sio vita USA kapigana vita moja na alishiriki vita ya pili ya dunia kwa kiasi kidogo sanaa
Hili ni swali kutoka kwa mtu mwenye upeo mdogo Sana wa masuala haya...duh...10% ya zana zake ulishazihesabu?
Vita ya Korea mwaka 1950-1953Amerika wanavamia Urusi ni operation.
Nitajie vita ambayo Marekani kapigana baada ya WW2. Zaidi anavizia tu kama Iraq
Hizo nchi zaidi ya 40 anapigana nazo wapi ?....acheni kutunga uongoYani MTU apigane na zaidi ya Nchi 40 halafu ategemee mambo yawe rahisi,nadhani hiyo kauli umejitungia mwenyewe.
Kwa ushahidi upi?, Nitajie Vita aliyopigana marekani akiwa pekee yake bila ya washirika na akashindaHakuna nchi imepigana Vita nyingi Kama America acha pumba
Una makengeza?Huo muonekano wa "he looks like a child" uko wapi?
Thanx for your video gameJameni vifaru sio zana za kutegemea tena kwenye vita vya ulimwengu wa leo, kinaliwa shaba kwa kombora moja tu na kuwa chuma chakavu, ukizingatia gharama ya kutengeneza na kusafirisha vifaru.....kha!!!
Mkuu hizi alipigana pekee yake au na washirika?Vita ya Korea mwaka 1950-1953
Vita ya Vietnam
Vita ya kwanza ya Ghuba mwaka 1991
Vita vya Kosovo
Vita vya Afghanistan
Vita vya Iraq
.......
.......
. zipo nyingi sana
pia wa rusi hawataki ushoga wa wa marekani kwa hiyo wafanyaje?Warusi wengi hawataki vita hii, ila utawala wa Putin ni wa kidikteta - wengi wamefungwa na wengine vizuizini kwa kupinga vita hii.
Mkuu ni kweli wengine wamepewa vichwa ilimradi wapate haki ya kuishi duniani, maana bila kichwa tusingewatambua uwepo waoNikajua labda ulipotokwa tu kwenye post yako niliyo kuquote kumbe hizi ndo akili zako halisi, basi sina muda wa kuendelea kuhangaika na akili nyeupe kiasi hiki.
Kama mtu unaamini (japo hakuna yeyote Russia or westerners aliesema hivo) kuwa operation ya Urusi ingechukua wiki moja na kumpindua rais zelensky basi wewe ni bure kabisa katika haya mambo.
Kama Operation ya jeshi lako la askari polisi kupambana na panya roads wa chanika ilichukua zaidi ya wiki mbili, ndo operation ya jeshi la wanajeshi lak1 dhidi ya jeshi la nchi nzima ya ulaya limalize mission yake ndani ya wiki moja kweli?
Kwanza hayo maneno umeyatoa wapi na nani alisema na kwa ushahidi upi?
Sehemu nyingine unayoonesha weupe wako nipale unapoiita hii operation kuwa ni Vita, kama Pentagon na EU wanatumua neno Russia-Ukraine conflict na siyo Russia-Ukraine War, wewe hiyo vita umeitoa wapi na umeipima kwa criteria zipi?
Uliona wapi vita inapiganwa huku ukimsaidia adui chakula na matibabu kwa raia na wapiganaji wake?
Ama kweli siyo kila mwenye kichwa ana akili za kung'amua mambo wengine wanavitumia kuhifadhia meno na kufugia nywele tu wakijitahidi sana basi wanavitumia kuvukia barabara.