Urusi wawe makini tu in surveillance ,ila technology hiyo ipo.Kumbuka ni fleet ya Black Sea tu iliyozungumziwa..Mzee kuzamisha fleet ya Russia inatakiwa iwe ambush siyo kama hivi. Sidhani kama ni kweli. Nahisi ni hoax ya kuwapa moyo wa Ukraine kudhani US ataingia vitani kumbe wao Ukraine wanaendelea kufa tuu
Leta source sio unaoongea kama upo kijiweni.Una habari hiyo pesa yote ya msaada kwa Ukraine, US anaikopa China?
The fact that you know my ID name speaks for itself who is who.Daa, akili zetu watu wengi walikula mbuluga zenye madawa ya kuzoofisha ubongo, kama wewe championship,
We kima sikia hiiKataifa kadogo kama Ukraine kamemsumbua Urusi sembuse NATO, hata haitahitajika NATO yote, kwa udhaifu ambao tumeshuhudia, taifa moja tu la NATO linatosha kumliza Mrusi.
Ogopa sana kuanza kumuelimisha mtu kua kuweka DP fedha/Pesa ni ushamba na utoto kiwango cha kulamba kamasi... Aanze kuelimika kwenye issue kama hiyo ndipo umueleze mazito kuhusu History and Geopolitics sio leo wala kesho.Tuwaombeee
Viswaswadu vinakomaza vidole, Nasubir Smart one like you nipanguse tu... Yanini kujitesa akt maisha mafupi hivi.Usipoangalia unachizika maana aiseee🙌🙌🙌🙌🙌😂😂😂ila usikate tamaa n ndg zetu sasa tufanyaje.
Ni viswaswadu in your voice 🤣🤣🤣🤣🤣
Dah mam@@@@@@e pro Russia mnakera kwa maneno so poa...Ogopa sana kuanza kumuelimisha mtu kua kuweka DP fedha/Pesa ni ushamba na utoto kiwango cha kulamba kamasi... Aanze kuelimika kwenye issue kama hiyo ndipo umueleze mazito kuhusu History and Geopolitics sio leo wala kesho.
Tatizo lenu akili hamna kuweza kujua udhaifu wa USA ...sasa nini kitatokea kama naye mrusi akiamua kumpatia kiduku makombora ya nuclear kama 1000 ....ujui kuwa hapo USA itaomba pooo mchana kweupe na kuikubalia urussi kuichukua ukrein na kuwa taifa lake kabisa na kupiga marufuku nchi zingine kujiunga natoPigo kubwa sana. Maana hata hayo maeneo aliyoyachukua yatarejeshwa.
🙌🙌🙌🤣🤣🤣🤣🤣Unajitahidi kumuonyesha njia ila bado anarudi kulekule labda kwa maombi kingine sizani.Ogopa sana kuanza kumuelimisha mtu kua kuweka DP fedha/Pesa ni ushamba na utoto kiwango cha kulamba kamasi... Aanze kuelimika kwenye issue kama hiyo ndipo umueleze mazito kuhusu History and Geopolitics sio leo wala kesho.
Akili za kuku hizi ....ukweli ni kwamba USA yenyewe inajua lazima taiwani itarudi china one daymchina ni muoga wa vita - hawezi kuthubutu tena kuivamia Taiwan kwani tayari ipo kwenye kwapa la US.
Conflict just misunderstanding ikifika kwenye armed conflict inakua war . Kama ni Watu wa nchi moja wanapigana sababu ya ukanda ukabila dini vyama basi inakua civil war otherwise inakua interstate war na ikisambaa sana World war take time to readHii siyo war ni. Conflict
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Viswaswadu vinakomaza vidole, Nasubir Smart one like you nipanguse tu... Yanini kujitesa akt maisha mafupi hivi.
Kuna mda hapa nilikua nimeanza ku-qoute text za wadau kureply, nikajipiga pause kwanza nikajiuliza.... Hiviiii kwani huyu unayetaka kumwambia kadha wa kadha akibaki na ujinga wake unapungukiwa nini 😂? Jibu ni hapana nikakausha tu.
Hao ni Pro west wakisema Russia kasonga mbele kidogo basi mi najua kasonga pakubwa sana. Wakikuambia hawana uhakika mi najua uhakika ni mkubwaHizi institute zisije kuwa kama zilizo mpa Msukuma u Dokta
Mandela aliyefungwa jela sio Mandela aliyetoka baada ya miaka 27We unatumia vingapi kutoka kwao..
[emoji419]Syllabus ni yako? Tena unatumia rugha yao kabisa, kwanini hukujifunza kirus[emoji3]
[emoji419]Madawa ya ukimwi?
[emoji419]Condoms?
[emoji419]Chanjo ulipewa za kigoma?
Niendelee!
Hata walioumizwa dhidi ya hao wazungu akina Mandela na baba wa taifa walisamehe na wakaendelea kushirikiana nao sasa wewe unashangaa nini hapo masta[emoji16]
Toa sababu zingne utaeleweka
Tuliwaambia ...na sasa hadi chakula cha ukrain tunataka walipie kwa pesa ya kirusi [emoji1787]Marekani yasema kuwa nchi za Ulaya zimesalimu amri kwa matakwa ya Putin juu ya namna mpya ya kufanya malipo ya gas kupitia sarafu ya Ruble ili kuepuka nchi nyingi zaidi za Umoja wa Ulaya zisikatiwe gesi na Russia.
Aisee...Kweli kwa kila 'wababe' kuna mbabe wao zaidi.
View attachment 2237361
Napitapita huko Russia anampiga sana Ukraine. Anapiga command points Hii ina maana ananasa mawasiliano. Akishapiga command point walioko frontline hawatakuwa na mwongozoNight strike with MLRS by Russian Federation Armed Forces at Armed Forces of Ukraine at Stavki
Petrodollar is shrinking.....Ogopa sana kuanza kumuelimisha mtu kua kuweka DP fedha/Pesa ni ushamba na utoto kiwango cha kulamba kamasi... Aanze kuelimika kwenye issue kama hiyo ndipo umueleze mazito kuhusu History and Geopolitics sio leo wala kesho.
Hayo makombora aliyonayo huyo unayemuita Kiduku kayatumia dhidi ya nani mpaka sasa!?Tatizo lenu akili hamna kuweza kujua udhaifu wa USA ...sasa nini kitatokea kama naye mrusi akiamua kumpatia kiduku makombora ya nuclear kama 1000 ....ujui kuwa hapo USA hitaomba pooo mchana kweupe na kuikubalia urussi kuichukua ukrein na kuwa taifa lake kabisa na kupiga marufuku nchi zingine kujiunga nato