Both,WHO and Kirillov.According to WHO or according to Igor Kirillov from Moscow?
nikichokuja kungamua ni kuwa yukrein kihistoria ni eneo la urus na hio nchi inayotwa ukran ni ya kubuni kuaminisha watu kuwa kuna nchi inaitwa hivo.ndio mana mpka leo mrusi anaiona kama sehem yakeUnajua haya mambo bana ukifatilia kiundani utagundua kuwa kama nchi haijiamini kuwa pekeako kwa sasa bora itafute hata mshirika mwenye nguvu ili ipone chokochoko kwa mfano kama Syria, Venezuela, Cuba nk kwa Russia na N.Korea kwa China
Miongoni mwa nchi zilizoko salama na zilizoepuka chokochoko pale ulaya hivi karibuni ni hii Belarus, na imeepuka hivyo kwa sababu ya huyu Mrusi alipoingilia kati, Rais wa Belarus alikasirika sana lile jaribio la juzi la kumuondoa madarakani na sasaivi ndio kawa mkali sana na kuonyesha makucha yake
Urusi kama kawaida yake alikua hataki kuona utawala wa huyu bwana unaangushwa kwa sababu maadui wangelimzunguka sana ndio maana kafanya juu chini huyu mwamba kabaki, ilifikia kipindi kapeleka mpaka jeshi, S-400 na Iskander, na sasaivi Urusi ina mpaka kambi huko Belarus
Alaf mwanangu mm ingelikuja kuchafuka hii Belarus ingeniuma sana maana pale Ulaya miongoni mwa nchi safi na nzuri miji yake ni hii Belarus, jamaa nchi yao iko kama Uswizi au Ikitaka kufanana na Czech Republic miji yake, kuanzia mijengo barabara hata miji
Hapo bado hujaweka mauzo ya gas, makaa ya mawe, mbolea, ngano, madini na silaha, ukija kupiga total export income utakuta ni zaidi ya Tsh100trillions/month.
Halafu anatokea mNATO mmoja anakwambia Russia itakata upepo vita ikiendelea.
Russia siyo Latvia.
I will fight calmly with steady advancements and ensure minimal level of casualties. Kwaiyo ni plani ya Putin.
NATO wanataka haraka na Papara ili Poutine apate hasara kubwa sasa kashtuka hataki mhemko
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
ZELENSKY UCHUMI WAKE, ARDHI YAKE, WATU WAKE NA MIUNDOMBINU YAKE NDIO INAYO CHAKAZWA, MWISHO WA SIKU ATAHITAJIKA KYIJENGA UPYA NCHI YAKE
Kunakitu hakieleweki kwa hii vita ya Ukraine.
Ivi zelensky ameshindwa kujiuliza kwamba kwanini USA,na NATO wanamchochea kuendelea na vita, yani wanamuambia aendelee kupigana na mtu ambae wao wote US na NATO wanaogopa kuingia nae vitani moja kwa moja, sasa Zelensky pekeake ndio atawaweza?.
Akili ndogo sana inahitajika kumaliza hii vita.
Wanajeshi 30,000 wa Russia wamefia vitani mpaka sasa
[/QUOTE
Russia ina wanajeshi zaidi ya 1m
Mkuu jazia nyama hapa ili wale wanaopenda kupokea cha mzungu kama kilivyo wajioneNi kweli mkuu,ila tulipiga kelele,watu wasichanje,lakini hatukueleweka!I can see some light in the tunnel,ila the damage has already been done,it's too late to help those who are jabbed,it's a matter of time.
BBC, VOA, REUTERS, CNN, DW [emoji1787] Wanaidanganya dunia Kwa maslahi ya nani?
Aiseeee hapo umetumia kichwa yako sasa kutema madiniUzalishaji wote (GDP) wa Russia kwa mwaka mzima hauzidi USD1.5Trillions, Huo ni uchumi mdogo kuliko hata jimbo la Texas au California.
wanatest na ugonuwa huku Africa na ma bio-lab yao, mwisho wa siku wanasingizia Africa imeleta ugonjwa. Ndio maana mtu anayesifia hawa watu yaani hana akili timamu kabisa.
Hakuna NATO mwenye silaha za kisasa kama warusi.wenyewe wanaogopa kuingia moja Kwa moja kwenye vita huko Ukraine Kwa sababu hao ni wachumba Tu kwa Warusi.
Kama unaamini hamuwezi kuwa na katiba itakayochochea ukuaji wa democracy nchini mwenu mpaka mtegemee wazungu waje wawafundishe jinsi ya kupractice democracy bado uko na utumwa wa kifikra.
Muulize demokrasia ni kitu gani?
We ni boga lililokosa maji kabisaaa....democrasia ni mavi mavi gani??? Eti africa...africa!! Mfyuu ww n shwain kabisaaa
mfano halisi sababu huna hoja unaendeshwa na mahaba ya mmarekani, sina shaka unafanya kazi kwenye NGO flani bila donor funds watoto hawaendi toi