Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sio lazima kuwepo wakati wa Nyerere kufahamu ujamaa na matokeo yake kwa Taifa hili.

Ujamaa wa Nyerere ulishindwa vibaya sana ndio maana ulizikwa kwenye kaburi la Historia mwisho wa utawala wake na Mwinyi akaja na sera mpya za soko huria.
Inaonekana unaipenda hiyo nchi mpaka basi . Vipi umeshawahi fika ukaona ilivyo na maisha ya watu. Wewe nahisi upo compromised ila kuna wenzako yafaa warudi kwenye historia wakasome.
 
Au sio, huwa yanatoka hata ukipuliza kwa upepo mdau kazi kwako tu unaeza ungana na mwenzio mkayaweka kwenye mkate yanaongeza ladha na afya pia... so huo utopolo tuachie wenyewe tu sio size yako we 'akili nyingi'...
 
Kamwe hatutoi majeshi Ukraine, mpaka tutapochukua 75% ya ardhi yao.
 
Acha ifike wauane sirikali zao zakipuuzi ndio zinayataka yote haya!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1.Uongo wa kwanza; Taasisi ya Bill Gate hapo mwanzo haijawahi kuitwa Bill and Melinda Gates Institute of Population Control, hawajawahi kubadilisha jina. Huo ni uongo mtupu.

2.Uongo wa Pili; Mfadhili mkubwa WHO sio Bill Gates, ni serikali ya Marekani. Hata angekuwa Bill Gates ndiye donor mkubwa wa WHO umaskini wako unaofikiri watoto ndio utajiri ndio unaokufanye uhangaike na michango ya Bill Gates kwenye sekta ya Afya.
Kama vile wazungu wengine matajiri ambavyo wameamua kutoa michango yao kusaidia Mbwa au paka yeye Bill Gates ameamua kusaidia kutatua changamoto za Afya kwa binadamu. Hakuna jambo la ajabu hapo kama ubongo wako hauko tenge.


3. Flouride ni madini muhimu kwa binadamu, yanasaidia kuimarisha meno. Acha kulisha watu matangopori ya uganga wa kienyeji, unawapoteza wengi kama huyo anayetamani kitabu chako wakati huna hata basics za sayansi.
 
Kwa sababu hakuna hup ushahidi au ni mdogo kiasi cha kupuuzwa "negligible".
Izi ishu za urusi kuisadia africa kwenye ukombozi wa uhuru nazisikia sana huku ila hakuna ushahidi wowote.
 
Nenda ubalozi wa US ukaone foleni ya kuomba visa za kuingia Marekani. Hata hawa Pro Russia wenzako mnaodanganya nao hapa wengine wanasubiria majibu yao ya visa za US na wengine wana bet kila siku kwenye Green Card lottery.
Huku wakichoka kuuwana kwaupuuzi wasirikali yao wataungana kuwaangusha sisi hatuna lakuwasaidia
Hili linchi la US la hovyo sana bora ukaishi SOMALIA utakua na AMANI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Umeamua kuteseka zaidi kwa huo "utopolo" sio...

Mbona nimekupa hint simple tu, I told you huo "utopolo" tuachie sie wenyewe sawa toto zuri? Just Hivo tu.
 
Kweli jamaa ni mganga wa kienyeji, masikini hajielewi. Em muache tunaomwelewa tuendelee naye So wewe unajua kuliko Scientist waliotueleza haya?

Ask-Q Em achana na hivi vitoto mkuu. Naona ombi la babu na mjukuu limewachoma wana wivu wa kike kama Coco Master aliyelalama Galip mie kupewa like [emoji23][emoji23][emoji23]

Pro NATO shida sana wallah
 
Russia is ready to supply grain to all countries in need, but this is prevented by the sanctions of the West - Zakharov.

View attachment 2249373
Kuna kete hapa naiona RUSSIA kaikamatia hem acha tuone kama atakuja kufanya kama nnavyowaza mie
Ila akifanya kama nnavyowaza basi mawili US inabidi aingie mzigoni na RUSSIA ama akubali kua RUSSIA kamzidi ujanja tena hamuwezi !!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Putini ni ndugu zaidi na mtu mweusi toka bara lingine kuliko waziri wake Mrusi wa Ulinzi au wakuu wake majeshi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Are you high?
Huku tunaongea na vijana wanaobisha ili wajifunze twende nao taratibu . Hao ndio wanaoamini Makonda ni bonge la kiongozi na alipaswa kuwa raisi wa Tz. Kijana km huyo ni petroli inahitaji kwenda nae slow
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…