Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hahaha naomba niibe haka kapicha mkuu.
 

Hehehe!!! Mbona unateseka kwa hasira hivi, aliyemtuma Putin kwenda kujaribu kuparamia nchi ya watu ndiye wa kulaumiwa.
Mpaka siku mtaiteka Kyev ndio nitawaelewa.
 
Ona ulivyopanic hadi unachanganya Urusi na Ukraine najua ulidhamilia kusema; "Hawawez kuingia moja kwa moja maana hawana mkataba na Ukraine"MK254 na siyo Urusi kama ulivyoandika.

Maswali
☆Wakati Urusi anapeleka majeshi yake Venezuela na Syria kwenda kupambana dhidi ya majeshi ya NATO+Waasi kulikuwa na mkataba ulioiruhusu Urusi kuingilia hiyo mission ya USA&NATO+Waasi?

☆Wakati NATO wanaivamia Yugoslavia kulikuwa na mkataba unao usema wewe?

☆Wakati NATO inaingiza vikosi vyake Libya kumung'oa Gaddaf kulikuwa na huo mkataba wako?

☆Je kwenye nchi zote tajwa hapo juu kuna hata ni mwanachama wa NATO hadi NATO wapeleke majeshi yao?

☆kama Urusi alishaingilia operation za NATO zaidi ya mara moja kwanini NATO wanaogopa kuingilia operation ya Urusi nchini Ukraine?

NOTE; kabla hujanijibu jitahidi ufikrie kama binadam na siyo kama mnyama anaeishi, maana huchelewi kuwa na akili za Nyumbu wewe.
 
Pamoja Jomba... amani amani... kila la kheri kwenye shughuli hizo.
Habari za hapa. Tumeshashinda? Maana Nimepitwa na mengi wiki hizi tatu sijui kinachoendelea. Ngoja nitulie taratibu nione updates😀
 

Kwanza sio lazima ujibiwe unavyotaka maana humu huna uwezo wa kushikilia akili za yeyote, unaonyesha uwezoI wako wa kutumia ubongo unatoshana na kuku.
Urusi ni taifa lenye zana za nyuklia hivyo hauwezi ukaanza kumpiga kiholela, ameonyesha udhaifu mkubwa kivita na alichosalia nacho ni hayo manyuklia ndio kajilinda nazo.
Sema akikosea njia ashambulie kataifa kamoja ka NATO, atapigwa tu pamoja na hayo manyuklia yake, ila itabidi awahiwe kabla hajayafyatua.
 
😂
Your browser is not able to display this video.
 
hamna kitu hapo ni jitu moja linabadili id tu. Ingekuwa ni watu tofauti mda mwingine wangekuwa online pamoja. Akili zao Kama za kondoo t

Nilikuwa nacheki makala YouTube DW inamuhusu Putin nilidhani Team Putin na Pro-Russia wapo humu tu kwa wingi ila nimekuta comments nyingi zikimfagilia Putin na kuna watu wamechizika kabisa na Putin
ProRussia hata Marekani wapo kibao!
... watu wenye akili zao wamemtambua adui halisi wa Dunia!
 
Wewe hayo maoni yako hayana umuhimu pale msafara ulishindwa kuiteka Kyev, uligeuzwa chuma chakavu.
Mrusi amewafeli waarabu na dini yao maana walimtegemea sana.
Niliwahi kuta ubishi sehemu fulani,wakishania eti chai nayo ni tunda.,
Hoja kuu ya wanaodai chai ni tunda ni kuwa sifa ya tunda lina MAJI na SUKARI. ''je chai haina maji na sukari?''

Wabishani wale hawatofautiani na wewe na nahisi ulikuwepo pale.
 
Ww unashangaza kweli kwani kuingia jf na kutoka kunahitaji kazi ya namna gani!?
au ww ni msukule?
unaaga aga utafikiri una kazi ya muhimu pekeyako hapa duniani....
ninachojua mm ambae hawezi ku komment kwa wakati ni demu anayeliwa
Uwepo wako ni matokeo ya demu kuliwa, Heshimu hiyo jinsia. Niliaga, nimerudi na ikitokea nikaitwa nilipokuwa nitaaga tena. Hilo ni jambo ambalo huna namna ya kulikwepa, utalishuhudia tu na huna la kufanya.
 
Raha sana mwamba... Hii ya ndani tutaanza kupekuliwa IP address kutafutiana sababu za kupotezana kusiko julikana.

Hizo za nje unazodoa tu na kuzungumza utakalo.
Mwambie habari za Urusi na Marekani zinaihusu Dunia pakubwa sana.ajue op hii imesababisha vitu kupanda Bei huko ulaya nabamerika na hatimae Dunia nzima.bila kuiacha Tanzania.

Mwambie tuliambiwa kuwa,
"Marekani ikipiga chafya Dunia nzima ni lazima tutakohoa".

Kumbe walificha hili pia kuwa,
"Urusi ikanzisha vita na nchi moja maana yake itapigana na Ulaya yote,pamoja na USA na baadhi ya wa Asia na Australia."

Mwambie pia Urusi ikifanya op yake dhidi ya nchi moja basi haitapigwa kijeshi Bali itapigwa kwa vikwazo sio kijeshi na nchi nyingine zinazoichukia zitachangishana silaha ili kuishinda Urusi lakini hakuna kitakachoitingisha."
Matokeo yake uchumi wa Dunia kuyumba na nchi nyingi kuteterka kisiasa."

"Kwa hiyo Urusi ikifanya op yake uchumi wa Dunia unatingishika sana,na Urusi ikipigana vita kamili usalama wa Dunia unakua mashakani"
Sasa kama yeye sio raia wa Dunia hii aseme.
M23 walipigana maisha yeti yanaendelea kama kawaida.
 
Hiyo "kyev" uliyoandika hapo ipo nchi gani? Mbona sijawahi sikia kitu kinaitwa "kyev" hii inaonesha jinsi gani ambavyo akili yako haina akili.

USA kapambana na wataliban miaka 20 mwisho wa siku akaishia kukimbia kama mbwa koko bila kudhibiti kijiji hata kimoja, leo hii unashangaa Urusi iliyo tumia siku100 kuteka 20% ya nchi kubwa ya pili kwa ukubwa barani ulaya?
☆Au hujui kwasasa Ukraine inanunua umeme wake kwa Urusi in ruble?
☆na Hujui kuwa Urusi anasafirisha kila siku malighafi za Chuma kutoka Mariupo?
☆Pia hujui kuwa Ukraine kwasasa hawez kusafirisha chochote kupitia bandari zake bila ruhusa ya Urusi?
☆na nani alikwambia kuwa Mrusi ana shida na Kyiv, kwa faida gani?

Na inaonesha kwa akili zako mgando wakikwambia uchague jiji la kumiliki kati ya DSM na Dodoma, utachagua Dodoma kisa ni makao makuu ya nchi. (wewe@MK254 ni bureee kabisa)

My friend, toa hizo akili zako kiuononi uzihamishie kichwani, ili unapochezesha hicho kiuno chako akili zako zisiyumbe, hiyo itasaidia kuepuka kuandika ugoro wako hapa Jf.
 
Tsh itakua ana id mpya ile hawezi itumia tena😂😂😂alifeli sanaa,kobe huyo naona unamlia timing umle kichwa babu ISTEN 😂😂😂😂.
Tsh itakua ana id mpya ile hawezi itumia tena😂😂😂alifeli sanaa,kobe huyo naona unamlia timing umle kichwa babu ISTEN 😂😂😂😂.
Nilifeli wapi? huamini kuwa mtu anaweza kuwa na jukumu na likamuondoa kwenye access za kijamii kwa muda fulani?
 
Kwa nchi yoyote kwa jinsi op hii ilipofikia kujiingiza kijeshi kinyume na Russia ni kujitoa "mhanga".
USA amalijua hilo,Uk amalijua hilo,Poland amalijua hilo na hata Ufaransa analijua hilo.

Uko hivi,
Nchi kama USA ikiingia kijeshi dhidi ya Urusi,vita itabadilika na haitakua kama hivi.
Silaha zitabadilika.
USA ana makombora ya kuweza kupiga moja kwa moja Hadi Moscow Hali kadharika Urusi Ina makombora ya kuweza kupiga moja kwa moja Hadi New York.
Kwa hiyo,kwa hiyo,kwa hiyo hakuna nchi itakayotaka kuremba hapa.
Kila nchi itataka kumaliza vita haraka ili isije kuwahiwa na mwenzake.
Na ndio maana tunasema vita ya miamba hii miwili ni vita ya nyukilia TU. Kwa sababu ya kuepuka kuwahiwa.

Poa hakuna nchi ktk Europe Iko tayari miji yake kubakia magofu kama Syria hakuna.
Ndio maana nakuambia kuingia vitani na Urusi ni kujitoa muhanga.
Kwa Nini Urusi haibahatishi Urusi inajua maeneo yote muhimu ya kupiga kwa nchi zote za NATO.
Na inauwezo wa kufikisha makombora yake ya maangamizi mahala popote Duniani Tena bila kikwazo. Aaaaahaa.!!!
 

Akili ziko kiunoni[emoji3][emoji3]
 
Who care about global foreign reserves)???

Tunachojaribu kukiangaza hapa ni namna Russia alivyoshinda vita ya kushusha thaman ya pesa yake (ruble) dhidi ya vikwazo vya USA na EU. (Kitu ambacho USA&EU kinawatia hasira sana)

Hao mabwana zako walifikiri walivyoweza kushusha thamani ya pesa ya Zimbabwe via vikwazo basi wakaamini hata Ruble ya Mrusi wangeishusha thaman kwa njia hiyo hiyo, matokeo yake ndo wameifanya izidi kuwa strong kabla hata ya vikwazo.

Na kutokana ushindi wa Russia wa vita hiyo ya kiuchumi ndo ukazaliwa huu msemo wa "RUSSIA SIYO ZIMBABWE"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…