Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

we tunakujengea sanamu huku urusi umesema ukweli. Ila hao wengine wanakaza fuvu tu lilijaa akili za ubwabwa na chips yai.
 
Tuvienzi kwa nguvu zote vilivyo vyetu kabla ya kuviona bora vya kwao. Inasikitisha sana kuwaona wanajiita wasomi/watoto wa mjini kutokujua kuimba nyimbo na kucheza ngoma zao za asili ila anajua kuimba nyimbo nyingi za kwaya/kaswida na nyimbo kibao za Celine Dion !
Nalog off Z
 
Technology yoyote atakayoianzisha sisi BRICS tutaokopy na kuipaste tu
Nalog off Z
 
Nguvu nyingi itumike ili kuwapa somo waafrika wenzetu wabadilike
Nalog off Z
 
Mfano wako uliotolea haundani kabisa na hii operation, tangu lini Urusi na Ukraine ikawa kama Tanzania bara na Zanzibar? Ungetolea mfano huo kwa Urusi na republic of chechinya people angalau ungeonekana una akili kidogo.

Kuhusu kutaka Russia tusiipe credit, huo ni wivu wa kike kabisa angali wewe ni mwanaume,

Je unataka tuipatie Credit USA iliyopigana na wataliban miaka 20 ikaishia kukimbia?

Je unataka tuipe credit USA na NATO iliyo kimbizwa na Urusi syria na Venezuela.

Je unataka tuipatie Credit USA iliyo wakimbia wana mgambo wavuta bangi wa somalia?

Mkuu Ngoke Acha wivu na Nongwa, Russia ni dubwasha ambalo hata USA na washirika wake 30+ wanaogopa kukutana nalo ana kwa ana.
 
Russia-Ukraine war: June 24 updates [emoji3593]

A Washington-based think-tank believes Ukraine is preparing for the ultimate loss of Severodonetsk and Lysychansk, but says this would not be a decisive victory for Russia.

[emoji837] Follow our LIVE coverage: Ukraine troops to retreat from Severodonetsk, governor says https://t.co/BxiOuGqtNC

Vyombo vya wa-NATO vinapata tabu Sana. Hivi bado Pro-NATO wapo?
 
Kuna bondia mmoja wa Tanzania alienda kupigana Urusi alivyorudi wakati anahojiwa na wandishi wa habari akasema "Nawashauri watanzania wasiende kupigana na mabondia wa Urusi ngumi zao ni nzito kama umepigwa na jiwe"

Nasema hivi hapo bado Urusi hajaonesha hata nusu ya uwezo wake kijeshi, ila siku mkimvuruga akaamua kuibadilisha hii operation kuwa Vita mpaka shetani ataihurumia Ukraine.
 
Ndo umeongea utumbo gani embu rudi ukamalize usingizi vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…