Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wenzake wanatafuta jinsi ya kutoka yeye anaingia 😃😃😃 subiri vikwazo vimnyooshe
 
Mkuu hiyo Sarmat tukisema inachukua chini ya dkk 7 kufika Uingereza tunakuwa tumerefusha sana muda. Bomu hilo (Sarmat au Satan II) linachukua DAKIKA TATU tu kusafiri toka Urusi hadi Uingereza

View attachment 2272071
Naam shukran kwa Taarifa mdau wa nguvu!

Ingawa kiukweli dk 3 ni lugha ya kiuandishi sio realistic. Kwanini nasema hivyo?

Tufanye hivi kihesabu zaidi.

Umbali uliopo kutoka Moscow hadi London ni mile kama 1800 hivi, huu sio umbali wa barabara ambao tunaweza sema una kona za hapa na pale. Hii ni flight distance. Yani point to point.

Sasa tuje kwenye Speed, Distance and time calculation.

Kwa muda wa dk 3 ku-cover speed ya umbali wa kama mile 1,800. Itakulazimu utembee kwa speed ya 36,000 Miles per Hour, hii ni kama mach 48.5 hivi.

Swali sasa, je ni kweli samart 2 ina speed hiyo? Jibu ni hapana. So utaona zile dakika tatu zimetamkwa kiuandishi tu sio realistic.

Samart 2 ina maximum speed kati ya mach 20 hadi 27... Kwa hii speed kutembea umbali huo wa mile 1,800 itachukua mda range kati ya dk 5 for (speed ya 27 mach) up to dk 7 for (speed ya 20 mach).

So nadhani Umenipata sasa mdau sababu zilizonifanya nikasema chini ya dk 7 au sio?
 
Waziri wa Ulinzi wa Ukraine anasema majeshi ya Urusi yanamimina hadi makombora/mizinga 1000 kwa lisaa (kila saa moja) ili kuwavunja moyo wanajeshi wa Ukraine wakate tamaa na mapigano. Waziri huyo akaongezea kuwa kwa bahati mbaya Urusi haina uhaba kabisa wa silaha...yenyewe imamimina tu makombora.

Mwambieni ndugu Waziri wa Ulinzi atulie tuu...hiyo ndiyo raha ya kuingia vitani na mtu ambaye hanunui silaha hata moja, yeye anatengeneza silaha zake na anauza duniani tena kwa bei cheee. Wakati wewe unategemea silaha za kuuziwa na mabeberu kwa bei ghali zaidi lakini zenye ubora hafifu

 
China will provide humanitarian assistance to Afghanistan in the amount of $7.5 million, the first batch will be sent on June 27, the Chinese Foreign Ministry said.

View attachment 2272106

Taliban kwa ustawi na usawa wa Afghanistan.

Tuone sasa US walizoea vya kunyonga vya kuchinja watatoboa?

Kila walipopita US wanaume na wenyewe wanaenda kusafisha haogopwi mtu tenaa nyambafuuu.
 
Wenzake wanatafuta jinsi ya kutoka yeye anaingia [emoji2][emoji2][emoji2] subiri vikwazo vimnyooshe
Kibaya kajitia kimbele mbele kujoin Sanction kwa kupewa u-Candidate tu, EU nzima ipo katika nchi zinazotambuliwa na Russia kama Unfriendly Countries.

Moldova hakuepo kwenye hiyo List awali, lakini sasa tunaona kaongeza speed kwenye mteremko kuelekea shimoni walipo wenzie.
 
Wameachia Siyo Kwa kupenda mrusi kawafanyia kitu mbaya viongozi wa NATO waliokuwa kwenye mkutano Lithuania 😃😃😃😃😃 kuna video nimeona jamaa wanakimbizana
 
Ha ha prove Zero equal to Sifuri... Tumekupata mjomba!
 
Umeandika kiufasaha kabisa chief[emoji4][emoji106]
 
Mistari ile ile 72 hrs meaning different I'd same person
 
Commander of Ukrainian Elite Special Operations unit in Severodonetsk:

SKY NEWS UK reporter asks: “How many men have you lost?”

Ukrop Commander: “My unit was made up of 100% professional, trained soldiers with lots of war experience. 80% of those are now dead/injured. They are replaced by new recruits who aren’t trained.”

SKY NEWS UK reporter: “You can’t sustain those losses, can you?”

Ukrop commander: “I don’t even know how to answer that question. It’s hard.”

Ukrop combat medic says: “I see the soldiers that come here now. They are really not professional. They don’t know what to do. They are really scared. Many of Ukraine’s best soldiers are now dead. Now I treat the inexperienced replacements.”
 
Ukrop Commander: “My unit was made up of 100% professional, trained soldiers with lots of war experience. 80% of those are now dead/injured. They are replaced by new recruits who aren’t trained.

Sio mchezo naona wameanza kua wakweli.
 
[emoji1054] [emoji635] [emoji1128] [emoji630] [emoji1221] BRICS Group calls for reform of World Bank, IMF and UN

Brazilian President Jair Bolsonaro stressed the need for reform of international organizations, especially the UN Security Council, the World Bank (WB) and the International Monetary Fund (IMF).

Bolsonaro recalled that the BRICS bloc appeared in difficult financial conditions and developing countries played a key role in the recovery of the global economy after the 2008 crisis.

In this regard, in his opinion, reform of international institutions is necessary. "The growing role of developing countries should have due and deserved representation in international institutions,"Bolsonaro said

He added that for[emoji1054],BRICS is a system of cooperation based on "benefits for all parties involved and for the international community as a whole."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…