Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,940
- 15,665
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮Madai yako ni batili, Ndani ya nchi hamuwezi kukubaliana asilimia 100. Kutofautiana kupo, Si viongozi wote wanakubaliana na Zelensky au viongozi wote wanakubaliana na Dikteta Putin. Hao subotage wanaofanya matukio urusi wanaweza wasiwe spies wa Ukraine, wakawa ni wale ambao hawakubaliani na maamuzi ya Putin. Pia hawa wanaoenda kinyume dhidi ya Zelensky, inawezekana wasiwe ma-spies, wakawa wale wasiokubaliana maamuzi ya Zelensky.
Ni Nani aliyeshindwa vita?!Mmeshindwa vita mnachoma vitabu
[emoji845]All books from the library of the Church of Petra Mohyly in Mariupol were burned by the invaders
Unique copies of Ukrainian-language publications were kept there and now they are lost forever.
Tuendeleee kula matobolwa , michembe, numbu na matoke ..hayo mambo ni magumu hata ukiyaloweka hayalainiki Kwa elimu yetu ya hiiii ndio aaaaaaa aaaaa aaaaaaa IPO kamaaaaa ......hii ndio eeeeee eeeee eeeeee .....hii ndiooo iiiiii iiiiii iiiiii inakofia juuuuu iiiiii iiiiii iiiiii.....🤣🤣🤣🤣Uyo jamaa kwenye satellite kazi yake ni nini
Hili nililijua mapema,Shikamoo Putin...kumbe Urusi ina ma-spies ('ma TISS') kibao ndani ya serikali ya Zelensky hadi miongoni mwa wabunge wa Zelensky.
Ukraine imeshtukia huyu mmoja baada ya kufanikisha majukumu yake kibao ya michakato ya kuteka mikoa/miji ya Ukraine, lakini bado kuna mamia nyuma yake wanaendelea kukamilisha kazi wanazoagizwa. Usikute hata wale Pro-NATO wanaojitia kutokwa povu humu jukwaani wapo kwenye payroll ya Putin (ma spies wake)
View attachment 2273976View attachment 2273977
Msiba mkubwa Sana Huu kwa mashoga[emoji28]Belarus na Urusi kuanza kutumia Sarafu ya Aina moja.
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Tunza hata heshima yako iliyobaki we mzeee unazidi kujiaibisha tu .... ukkasirika kunya nanasi.Mrekebishe nini kwenye systems. Hakuna cha kurekebisha bali mnunue counter drone mechanism, air defence system hazikutengenezwa kuzuia hizo small and cheap drones.
Unasema halijurudii wakati ni mara ya pili Ukraine inashambulia ndani ya Urusi. Mara nyingine ilituma helikopta mbili kabisa zikaingia deep in Russia na kushambulia kituo cha kuhifadhi mafuta. Air defence hapo ndio tuulize zilikuwa wapi.
Meanwhile, kule Sauti Arabia mara nyingi tu inazuia hizo attacks baada ya kuwa na counter drone mechanism View attachment 2273826
Bricas or BricsaRais wa Argentina, aomba nchi yake iunganishwe kwenye jumuiya ya BRICS. https://t.co/WgQ28w7hSmView attachment 2271476
Achana nae kafungua akaunti mpya juzi tu huyo mwehu ..... Ni wale wale wamepigwa spana wanahaha....Alafu ww ni Shoga kweli🤣🤣
Rudia akaunti yakonya zamani ndio tujue kama hauna hasira mama....Sina hasira na mtu, kwenye Lugha safi utanikuta mstaarabu kinyume na hapo NO
Mkuu hii imekaa poa sana, ulipaswa pia uifungulie uzi wake unaojitegemea...Pro-NATO wawe wanapitia comments kimya kimya wakiugulia maumivuAise, Ukisoma kwa utulivu speach ya huyu Lut-general utagundua kuwa kumbe Putin kwa vichwa vya Urusi ni pastor wa jimbo kuu kabisa[emoji23][emoji23],
Just imagine vita hata haijaanza wala kunukia lakini mwamba huko bungeni kashuka phase zote za vita itakavyoanza na itakavyoisha, kasema hivi;
Phase I: “We’ll destroy the entire group of enemy’s space satellites during the first air operation,”
Phase II: "Second, we’ll mitigate the entire system of anti-missile defense, everywhere and 100 per cent"
Phase III: "We certainly won’t start from Warsaw, Paris or Berlin.The first to be hit will be London. As part of the operation to destroy critically important sites, Western Europe will be cut off from power supplies and immobilized. “All power supply sites will be destroyed"
Finally: "I shall see what the USA will tell Western Europe on continuing their fight in the cold, without food and electricity". Lut.General/MP.
Yani warusi huwa wananifurahisha sana, kabla hawajakupiga wanakupatia kwanza plan ya kipigo, sehemu watakapo piga, bomu watalo tumia na siku ya kipigo na hakuna kitu hata kimoja utaweza zuia. Kwangu mimi huyo ndo ana deserve kuitwa SUPER POWER siyo Super power wa kuvizia watu wametulia ndo anawapiga nukes (USA kwa Hiroshima na Nagasaki)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni Nani aliyeshindwa vita?!
Usinipachike jinsia ambayo sina, Account kua mpya au kongwe is none of your business, get your shit together jadili mada sio account ya mtu msewRudia akaunti yakonya zamani ndio tujue kama hauna hasira mama....
🤭🤭🤭🤭
Wengine duuh kaka hata hauko comfortable ila Kuna wengine huwa wako comfortable kumuheshimu mtu aliyemzid maarifa flani. Usikatae cheo bro kwa mchango unaotoa binafsi likubali jina tuNakuelewa sana Faisal, Halafu ha ha ha nikutonye kitu mdau wangu... Hilo jina la Mkuu mnalitumia sana hapa ila binafs siko comfortable nalo kabisa 😌😌😌
Kama hutojali tuitane kama brothers nitafurah zaidi. Lel say kaka Faisal, o Kaka Qibsyl/Ask-Q fresh au sio mdau?
Kwa hiyo Chechen ni wa dini yako?? They are muslims.Kupata kibali cha kueneza dini China hakuna.
Urusi hakuna kuwa na dini nyingine zaidi ya kanisa la othodox, wengine hapana
This is called Force Majeure, not a default.