Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ukraine wanapata loss kubwa sana hapo Snake island.

Hii ni mara nyingine Ukraine wanaenda kujaribu ila wanafeliView attachment 2274804
 
Aisee mambo yamebadilika haraka sana tulizoea kuona picha za madai eti ni vifaru vya urusi na helicopter vikiwa vimelipuliwa sasa tunaona hawa jamaa wakiwa waanapata tabu namna hii

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Pro NATO ikiwa na Watu Kama wewe
 
Zelensky anasema kuwa Urusi imemimina makombora kwenye shopping centre iliyokuwa na watu zaidi ya 1000 ndani.

Mwambieni Zelensky aache kuficha silaha kwenye maeneo ya shughuli za kijamii.

View attachment 2274594
Ni funzo pia kwa raia,
Waache kwenda sehemu zenye silaha za majesh ya Ukraine[emoji4]
 
Ni aki
Kuna ile ya asubuh kama una kumbuka, hadi nikamuuliza Jomba ulidhamiria kupost hiki ulichoweka hapa? Alivyo jibu ndio ikanibidi nikasakue text zake. Sasa Kuna moja ipo kule kwenye uzi wa Champagnee subiri niifate. Niikiipata nita edit hii reply.
Ni akina Nani hao mapro-NATO waliokula ban humu???
 
Uingereza yaripoti kuwa Ramzan Kadyrov amesema anamimina vikosi vinne zaidi vya Wachechen nchini Ukraine kila kimoja kina wanajeshi 950 (jumla yao itakuwa 3800)

Ramzan Kadyrov ambaye ana cheo cha lieutenant-general ktk jeshi la Russia, wamagharibi wakimwita shujaa na mbabe wa kivita, amesema kuna ongezeko kubwa mno la vijana wa Chechnya wana ari ya kwenda kuipigania nchi yao ya Russia kutokana na uzalendo wao. Anasema jukumu lake ni kuwapa mafunzo stahiki, na pia kuhakikisha wanapatiwa "vichinjio" vya kisasa vya kwenda navyo Ukraine

 
Watulie dawa iingie vizur,
Kwani walivoweka sanctions Kuna mtu alibisha?[emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…