lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Balance of power inakuja kwa haraka ya Kasi ya radi‼️🇮🇷🤝🇷🇺🇨🇳🇮🇳🇿🇦🇧🇷TEHRAN (Tasnim) – Iran has applied for joining the BRICS‼️
The spokesperson for the Iranian Foreign Ministry announced at a press conference on Monday that the Islamic Republic has submitted its application for membership in the BRICS.
🤣🤣🤣😂😂[emoji23][emoji23]ndio mkuu maana naona wenzake kama wamempuuza alichoandika hata kumpatia like tu hawataki, ili kumfanya asiwe frustrated ikabidi nimfariji kwa kuigeuza Urusi kuwa Ukraine.
Acha kufananisha wanaume hao mabinti waoga wanaoliwa vibogaWanaume wa shoka...!! Wanakula bata kama wanavyo jisikia si kama yule kikizee wenu amejifungia ndani kinaogopaa hata kwenda uani...!!View attachment 2277015
Huyo jamaa Yoda anatumia kichwa Chake vibaya. ...anakitumia kama "mfuniko" wa shingo tu hakitumii kufikiria.Yondo sista on the beat😃😃😃
Turudi kwenye mjadala.
Dunia haijatoka kwenye mfumo wa gold kwamba ni kitu cha kushangaza.
Huko nyuma kabisa ilikua bidhaa kwa bidhaa tukaona tunapunjana nakupa kuku unachukua gunia la mahindi.
Tukahama tukaja chumvi ilikua adimu sanaa zama izo mfano wa dhahabu.Sasa baadae zilipokuja kugundilika njia mbalimbali za kupata chumvi tofauti na ya kugema baharini iyo nayo ikafa.
Tukaja sarafu za shaba,fedha,dhahabu kila taifa na yake iyo nayo ikafa.
Ukaja mfumo wa gold nao hukutoa jibu kutokana na hiyo unequal exchange.
Ukaja huu mfumo wa makaratasi na sarafu kwa mbalii nao hautoi majibu ya uwiano wa kufanya biashara bado manung'uniko ni mengi.
Sasa mataifa yenye uthubutu wanataka kusimamisha fedha zao kwa ajili ya kufanya biashara.
Kwa hiyo ukiangalia huo mtiririko ni wazi dollar inaenda kutumika New York tuu maana inaenda kukosa nguvu na ushawishi wake.
Hivyo dunia tunaenda kuingia kwenye mfumo wa mseto wa sarafu kutoka mataifa au mabara yenge nguvu.
If you want to reject them, ascribe to them a bad name, so they say.Ukipenda unaweza kuniweka pote, Itakuwa vizuri zaidi, As you wish, kwetu hakuna shida.
Anayejifanya ^mtemi^ mbona ajulikana kwamba ni US? Kibaya zaidi, hataki wengine washindane naye on a fair ground. Shame!Kaka vita ina gharama kubwa mno kwa siku, sisi tulipigana vita miaka ya 70 lakini toka hapo uchumi ukayumba hadi leo.
Tena hii vita haiishii kwenye Uchumi, Mrusi aanze kujiandaa kufanya yafuatayo:-
- Kuanzisha mashindano yake maana FIFA hatutaki kumwona sura yake
- Kuanzisha UEFA yake maana hatutaki kumwona sura yake
- Kuanzisha Olympic yake maaha hatutaki kumwona sura yake.
- Michezo yote inayohusisha Umoja wa Ulaya na NATO hatutaki sura yake.
Yaani ni hivi ndugu zangu Dunia ya leo usijifanye mtemi utaumia - huwezi kujitenga na wenye nguvu wenzako, atapata madhara mengi mno huyu anayejiapiza kwamba ni mtemi wa Dunia subirini anguko lake.
sawa, sasa ya nini yote hayo ujitenge na Dunia ndugu!! hilo kombe nani ataliangalia. Nchi za Africa si za kuamini eti zitajiunga na shirikisho la Urusi.
Kwanza africa nani anaangalia ligi ya URUSI by the way !! South America hawawezi kukubali ujinga wa kujitenga na wanaojua kandanda sahau.
Wachezaji mahili wa Urusi wanaocheza Ulaya watapewa uraia ili kuendelea kucheza soka kwa viwango vya Dunia. Mrusi kayakanyaga sheikh.
Hii inaitwa: Kimbia na mboga, niondoke na ugali.Hii inawaumiza sana EU wanaonunua Gas kwa Ruble [emoji23].
Mfumo wa dhahabu ulikuwa hakika ukishika noti ya pesa, benki kuu itaibadilisha kuwa dhahabu. Mfumo huu ulianza kukubalika mnamno 1880 katika nchi ya viwanda. Nchi nyingi ziliachana nao mnamo 1914 wakati Vita Kuu ilianza. 1944 walijaribu kurudisha katika mapatano ya Bretton Woods lakini waliacha kabisa mnamo 1973 wakati wa vurugugo wa bei ya mafuta.
Mfumo huu haukurudi hautarudi.
I believe the Russian plan over them is already on the table, and in kind. Inaweza isiwe kivita kama Ukraine. Maana angalau wao wana neutral stance kuliko Ukraine ilivyokuwa.1.Kwa hiyo Tutegemee Putin akimaliza uvamizi wake Ukraine ataenda kuivamia Finland pia?
Pls read your history well.Kwa hiyo unafikiri kwa sababu Putin amesema tu uvamizi wake ni kuwaondoa wanazi pia hiyo inakuwa fact?
Sababu zozote, ikiwemo ile ya mapenzi mema na kuisambaratisha Marekani. At least hakuna mkataba wowote unaowazuia.3.Majirani wa Urusi kama China, Korea Kaskazini, Belarus, Kazakhstan wangejiunga na Urusi kwa sababu zipi?
Baada ya vita, Ukraine haitakuwepo tena, kwa sababu Russian MO lazima ikamilike. As one once said: ^We only do it once for all!^4.Baada ya vita kuisha ni sababu gani zitakazoizuia Ukraine kutaka kujiunga NATO tena?
Mnatuchosha! Ama vipi mzichange na kuzichapa. Ila hakuna kuomba silaha wala usaidizi AMERIKANATO!Tutie kwenye ignore list alafu unasema unachanganywa ivii unajisikiliza kabla ya kuandika.
Hayo mashudu aliemleta machuma machumaa ni nani ?katika huu mvurugano mimi na ugomvi nae kivyangu ila Patna wako kamchanganya kutafuta huruma niache kumuongelea ntalisemea wap wakati partner wako kalianzisha.
Msivyojitambua mipaka yenu mnakusanya kila kitu.
😂😂😂😂😂😂 Mambo ya chumbani mmeleta sebleni na kuhusu T14Armata nilizungumzia hapahapa nani wa kupimwa IQ.
Ndio Maana nawaita mashudu sio bahati mbaya.
Sheria za JF haziruhusu kutoa mambo binafsi kuyaleta kwenye uwazi ndio Maana ya Private massage (PM)
Sasa kama mmejulia social network uzeeni sio kosa langu am sorry mjombaaaa.
Putin ana akili nyingi sanaPutin [emoji302] In international relations we increasingly see the desire to resolve a given question according to so-called issues of political expediency, based on the current political climate.
And of course this is extremely dangerous. It results in the fact that no one feels safe. I want to emphasise this – no one feels safe! Because no one can feel that international law is like a stone wall that will protect them. Of course such a policy stimulates an arms race.
The force’s dominance inevitably encourages a number of countries to acquire weapons of mass destruction.
Moreover, significantly new threats – though they were also well-known before – have appeared, and today threats such as terrorism have taken on a global character.
Another way of saying: ^New World Order^ No wonder Putin is heavily barked at by all these repulsive nations.the concept of a unipolar world
Kwa Sasa USA ana organize Ulaya waweke Kambi Poland na nchi jirani na Russia, this is joke.Anayejifanya ^mtemi^ mbona ajulikana kwamba ni US? Kibaya zaidi, hataki wengine washindane naye on a fair ground. Shame!
Ataangushwa asipoangalia, Kwa Sasa wenzie Wana plan na mioangoya mapigano kimiundimbinu Hadi next year yeye Putin asijeina kesho vita iishe arekebishe uchumi wake.Putin ana akili nyingi sana
Kwa msisitizo