Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

👏👏👏👏Kwako Richard
👏👏👏👏Kwa🇷🇺
👏👏👏👏Kwa🇹🇿
 
Zipo tisa lakin Russia na pro Russia naona msha zikubal.MLRS za U.S zina ongozwa za GPS tofauti za Russia ambazo ni unguided.kwa maada hiyo U.S ndo ana amua HIMARS zipige wap na zisipige wap.nataka nikuleke bishe t
 
Hivi kwenye issue kama hii wanae mkomoa ni nani?

🇵🇱 The Polish Prime Minister acknowledged the difficulties with the supply of coal.

There will be problems with the availability of coal in the country in the coming weeks and months, Moravetsky said.

Until recently, Warsaw bought coal from Russia. Now Polish state-owned companies want to order it in Colombia, Indonesia, countries around the world, the prime minister said.


Indonesia na Colombia zilipo kutoka Poland 🙄(Rounded kwa blue ni Indonesia na Colombia while red ni Poland)



Hapo wanae mkomoa nani sasa? Of course cost za usafirishaji zitakuwa added to last consumers. Je, Wana watakia mema raia wao hawa?
 
Kama ndio hivyo Kwanini Ukrain mpaka leo anashindwa kurudisha Lugansky na donestic mikononi mwake?
Jibu ni kwamba Russia ni superpower ukilinganisha na Ukraine.anapo parform vibaya lazima tuji ulize.alingia hafi mji mkuu lakin saiv anaipigan kama vietkong
 
Russia anatoa kipondo kikali muda huu . Haijawahi kutokea toka Op imeanza huenda OP imeisha SASA ni real war. Kipigo ni Ukraine yote yaani huku gas imezimwa huku kipondo cha jehanam
Hahaha kama Russia alishindwa Huku[emoji116][emoji116]basi bro na anavyo zadi kuchelew ndivyo Ukraine inazidi kuwa na nguvu
 
Bila shaka hayo ni maamuz ya pupa.

Akil zikikaa sawa watajadil na mjeruman ni kwa namna gani nordstream2 itaanza kupiga mzigo
 
Hao acha viumane tu hakuna namna!
 

Hawajapata tanks na missiles wazopewa ni zilezile tunaita siraha za kawaida na si tegemezi kwa Marekani
Anti Tank missiles si ndo hivi vijuvelline, na antiship missiles sio tegemezi, ukitaja siraha tegemezi za Marekani huwez taja zozote apo,
 

Af kwanza hujui maana ya Air defence missile, aya em zitaje
Ndo kitu nachoongea kuwa mashabiki wengi mnaopayuka hamjui vita wala hamjui mliongealo, mnapayuka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…