Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hawa nao wamekuwa kituko...... Wapambane na mfumuko wa bei..... Huo moto ni kichekesho..... Kuna wenzao wanashushughulikiwa na Iskander....
 
Hongera MKUU
Nadhani kaelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukisema sisi weusi kwamba US anapotea tunaonekana waongo
Gooo PUT IN

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So huko uarabuni hamna cha kuficha
 
MOSCOW kila goti litapigwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahio kina Boris wanataka waanze kula washwasha 😂😂😂
Extrovert mimi haya mambo yananiudhi kwa kuwa NWO Elite,morons wao na stooges wamefika mahali sasa wametuona sisi Binadamu ni Zombies,so we can do anything they tell us,hata kula mawashawasha.Lakini sishangai,baada ya kutingisha viberiti huko nyuma tukatii,na worst scenario in C-19 tukatii kufungwa matambara midomoni na kufungiwa ndani kama Ng'ombe,nini kitawazuia sasa kutulisha mawashawasha?Lakini siajabu na watu watatii,na tutaanza kuona stooges na morons wa NWO wakituambie mende wa chooni hawana shida,ni a good source of protein!Ni dharau sana.Shame on them.
 
Agenda namba moja ya kila taifa, EXCEPT Tanzania, ni NWO
 
Mimi sio miongoni mwa watu waliotii na hata chanjo yao siwezi tumia. Labda nife
 
Halafu haka kamama kako kushugurika na masokwe inawezekana akili zimehamia huko
 
Habari njema sana hizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Umemaliza chief, kiburi cha US ni dollar kwasababu ya international transactions na wahuni washasanuka dollar itapigwa chini nadhani mmeshaanza kuona inflation inavyopaa huko kwao afu kuna taarifa nilisoma inasema ile inflation ya 9.2% tunayoambiwa sio kweli ni zaid ya hapo.

US anaprint pesa anawakopesha mnarejesha na faida juu inshort nyie ndo mnakuza uchumi wake[emoji23][emoji23]. Kila jambo lina mwisho na hakuna marefu yasiyo na ncha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…