Hizo taarifa zote za loss umezipata toka kwa media za mabwana zenu, as if huwa wanareport ukweli. Special operation gani ya kuondoa serikali na jeshi lake pasipo small scale war.
Na unategemea fair journal from their enemies.
Sikiliza mzee, wababe wote wa duniani huwa na muda wao wa kutamba na ku expire. Hakuna aliewahi kudumu forever. let that sink in your dull brain.
Na Ukraine je? Ni sawa na Nini ?
We hujitambui mbona unaleta udini na ukabila sanaKwa sasa tunakomalia tuliyedhani ni supapawa, hamna chochote pale sijui nini mnakiona kwa huyo nyie waarabu wa Bongo.
Umekiri ni miji ya RussiaS-400 zipo kuanzia Crimea uko haziko kwenye battlefront na bado miji ya Russia inashambuliwa. Unalenga kusema Russia imeleta S-300 zenye madhaifu ikaacha zenye ubora kwake kule, kwanza sio dhaifu ila ni somehow outdated
Mji Gani ya kirusi inashambulia ukiacha matukio madogomadogo ya Moto ambayo hayajasababisha uharibifu mkubwa Team NATO mmechanganyikiwa.S-400 zipo kuanzia Crimea uko haziko kwenye battlefront na bado miji ya Russia inashambuliwa. Unalenga kusema Russia imeleta S-300 zenye madhaifu ikaacha zenye ubora kwake kule, kwanza sio dhaifu ila ni somehow outdated
Bado ni 50 kwa 50Nani kaibuka mshindi hapo kehrson??
Tutaona mengi humuMbona tulikubaliana kwamba Mrusi anaibua misamiati mipya kabisa--UNKNOWN & UNPRECEDENTED--kutokana na vita vya Ukraine?
Tunakupiga 👊alafu tunakupaka MakeupBado ni 50 kwa 50
Muda siyo mrefu ujao...wale wenye kiherehere Cha ku-advance bila plan watazungukwa muda siyo mrefu...Nani kaibuka mshindi hapo kehrson??
Sasa s 300 mbona zimesha choke japo hakuna air defense yoyote ya USA inayoweza kuifikia s 300Kuna S-300 yenu uko imewaka. Air defence systems ni poor
Wakati warusi wanampaka S 450 hukoSasa s 300 mbona zimesha choke japo hakuna air defense yoyote ya USA inayoweza kuifikia s 300
USA air defense zake zote hamna kitu angalia pale saudia waasi WA yemen wanavyo jipigia kila wakijisikiaWakati warusi wanampaka S 450 huko
Wewe ulidhani Ukraine ni kama Kenya yenye ukubwa kama choo cha uani.Miezi miine sasa, licha ya hasara zote alizoingia Urusi, imeshindikana kufumua haka kainchi na imeambulia tumiji twa huko mpakani..... Ukraine, saizi ya mkoa mmoja hapo Urusi, tena jirani kabisa.
Jamaa ni full wa tacticsTACTICAL SELF-KIDNAPPING. Pale unapozidiwa vitani au unapoona bosi wako ni hard-headed, comedian asiyeshaurika, japo ni mbabe, so mnaamua kujitegesha na kujikamatisha kwa adui.
Sometimes, tactical self-kidnapping inaweza isihusishe askari kama askari, bali kusalimisha silaha kwa adui na hata kumpa intelligence za harakati zenu na maeneo muhimu ya kutungua such as depots, etc.
LiquidatedJeshini vocabulary ni za kukera tu. ^Eliminated^ ^Neutralized^ ^Destroyed^ ^Crushed^