Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Hakika jamaa wamepanic mnooooKitendo ambacho amefanyiwa na Russia, then Saudi Arabia, then BRICS, then nchi za Afrika, kimemtoa utimamu. Nashauri Marekani apelekwe Mirembe kupimwa kumkichwa.
Shukran MKUU BuguchaLevel zipo hivi
Free Trade area
Custom Union
Economic community
Political Union in form of a federation or higher level total Union Unitary with one and only national gvt
Safi saana[emoji633][emoji1212][emoji1141]Spanish Prime Minister Pedro Sanchez:
"We support Serbia when it comes to Kosovo. Spain has been, is and will always be on Serbia's side"
But Pedro saying that because he has same problems with Catalonia not because he cares about the teritorial integrity of Serbia
Vitu vinaenda FUJIAN........ Jamani Kuni zimepungua moto utazima....sanyaaaaa sanyaaaaaa Kuni mazee.....Nilikuwa nimeanza kuandaa VISA ya China; by jioni ntakuwa nimejua niifanye nini. 🙂
Mkuu huyu hana wisdom anatukana na kubeza tu. Ukimufuatilia unaweza ruhusu Satan 2 ipige kazi [emoji16][emoji16][emoji16]Tutajie zilaha za US mpya hata 5 tu
Mzee wa according to who? Vipi hapa ni according to who? Mapenzi ya NATO yanakutesa.Vikosi vyake vilikuwa hatarini maana hana mifumo mizuri ya ulinzi, ata hayo madude ma s400 au s500 hayana uwezo tunaoaminishwa, otherwise yangewalinda
Mkuu huyu hana wisdom anatukana na kubeza tu. Ukimufuatilia unaweza ruhusu Satan 2 ipige kazi [emoji16][emoji16][emoji16]
Ni kweliAircraft carrier, Ni meli ya mizigo.
Kama Russia haina sera ya kuwa na base za kijeshi Africa, au hawana mizigo kiasi cha kuhitaji carrier from point A to B, then carrier za nini?
Russia ndio nchi pekee ina bomber kubwa duniani, je tuseme USA hana uwezo kuitengeneza? au China?
Carrier na escort za warship sio salama ukiwa kwenye mgogoro na nchi zinazojielewa, lile ni kama ferry la kigamboni.
Hapo sasaSasa MKUU kama unajua kwamba carrier yaweza kukaa 1000 km away naikafanya mashambulizi unahisi kuna ulazima wakufanya hvyo wakat pia waweza ukatumia missile kupiga pia 1000km away
Hapo nahisi nisuala la kukubali kujiendeleza upande upi zaidi
Juu huko kuna jamaa kauliza swali cjui kama nikweli ama laa ila anasema RUSSIA ina bomber yenye sifa gani cjui kuliko zote ulimwenguni
Akaambatanisha na swali je US kashindwa kufanya same na RUSSIA
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweliNgoja niwape ufafanuzi kidogo kuhusu Aircraft carriers.
1. Yatupasa tuelewa kwamba, kila nchi inatofautiana kwenye "Military Doctrine".
2. Kazi ya Aircraft carriers Ni " kubeba zana za Vita" (hasa hizo ndege au helicopter au drones). Aircraft carriers hairushi makombora.
Sasa, Military Doctrine ya US Ni kuwa na base nyingi za jeshi na kupigana Vita nyingi mbali huko na America continent.
Russia yeye miaka yote hana mpango wa kuwa na base za jeshi nyingi na kupigana Vita nyingi mbali huko na mipaka yake.
Hadi hapo mtakuwa mmeshaona utofauti.
Pia, Kama Ni wafuatiliaji vizuri wa speech za Putin, miaka ya nyuma kidogo wakati kwa Mara ya kwanza anazindua prototype ya hypersonic missile alisema kwamba, hili kombora linafika popote duniana kwa hiyo hakuna haja ya kuwa na aircraft carrier (Kama 3 yrs ago).
China yeye amefata nyayo za US za kuwa na bases nyingi za jeshi. Ndio maana aircraft carrier zinakuwa za muhimu.
Mkuu, bila shaka unajadili ndege ya Tupolev TU-160. Nimekuta utathmini ufuatao kuhusu uwezo wake, ambao si mzuri sana. Je una data za kinyume ? Je faida ya kuwa kubwa ni nini kama huwezi kwenda mbali?Aircraft carrier, Ni meli ya mizigo.
Kama Russia haina sera ya kuwa na base za kijeshi Africa, au hawana mizigo kiasi cha kuhitaji carrier from point A to B, then carrier za nini?
Russia ndio nchi pekee ina bomber kubwa duniani, je tuseme USA hana uwezo kuitengeneza? au China?
Carrier na escort za warship sio salama ukiwa kwenye mgogoro na nchi zinazojielewa, lile ni kama ferry la kigamboni.
Akishindwa ulupigeTutajie zilaha za US mpya hata 5 tu
Ni kweliHaya maelezo mengi hayana maana, ungesema tu Russia ni defensive na USA ni offensive.
Ndio maana Urusi ana best mifumo ya kulinda anga kama S300, S400, S500, S550 na huku Wazee wa ugasho Wana Aircraft carrier aka Kambi katoto
Muache atue tumbutue. We are heading to ww3Kufika Taiwan anafika leo hii na hakuna lolote litafanywa na China.
Umejuaje North Korea hana kombora hilo?
All this drama, all this money wasted, for something no doubt they could have achieved with a simple video call.Awiiiiiiiiiiii.......