political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,951
- 6,399
Kwa watu wenye akili tumesha jua USAkafanya kosa juu yake mwenyewe sasa anakwenda kusababisha nchi wapinzani wake kuungana kumpiga kiuchumi na njia mbali mbali ....sasa mambo yatanogaMoscow considers Pelosi's visit to Taiwan as a clear provocation in the spirit of the US aggressive line to comprehensively contain China and calls on Washington to refrain from actions that undermine stability in the region and the world - Russian Foreign Ministry.
PATRON - Subscribe
Backup channel - Subscribe
West si watu wa kudili nao kidiplomasia. Penye faida kwao hawajali utu, sheria za kimataifa, uhuru wa nchi nyengine n.kDuh Xi Jinping ameanza maneno ya motivational speakers Sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23]china wameshaliona kuwa ni kanyaboya kwenye maghala yao ya silaha wamejaza matecno na infinix tu awana kitu kenge wale
anawaita business partner akiona midola inavyomiminika nchini kwake anakenua meno ajui wenzake wanamtamani sana walijaribu kufanya ivyo kwa putin kilichotokea wao wenyewe wameomba yaishe warusi wana slogan yao kuwa wao hawana cha kupoteza kama ni vita tupigana mpka tuhakikshe wote tumekufa sasa west wanavyopenda raha na kuishi vizuri uwaambie leo wapigane na russia unafikiri watakuelewa lWest si watu wa kudili nao kidiplomasia. Penye faida kwao hawajali utu, sheria za kimataifa, uhuru wa nchi nyengine n.k
Marekani imevunja mikataba mingi na Russia kipindi ambacho Russia ilikuwa ni dhaifu. Ripoti za FSB zinaonesha Marekani iliwafadhili Chenchen kwa kutumia mkondo wa dini ili wapate uhuru wao lengo kuu likiwa ni kuigawanya Russia vipandepande, maadamu ni kubwa ni ngumu kuihimili yote kwa pamoja.
Nchini Ukraine imeijenga maabara za silaha za kibaiolojia, ime train jeshi lao na kuipatia silaha nyingi. Mshauri wa Zelenski na Zelenski mwenyewe wakatangaza hadharani wana mpango wa kuwa na silaha za nuclear. Jinsi Ukraine inavyo-behave kwenye hii OP ingelikuwa na nuclear ingeli-behave vipi?
Hata kama China imetizama mbali lakini bado wapo pagumu. Marekani Wapo kwenye mchakato wa kuunda NATO ya 3 (US,UK+Australia) dhidi ya China. Ikifanikiwa atajaribu kuwashawishi S.Korea, Japan kama chambo wake. Vipi kama akifanikiwa zaidi akaiingiza Taiwan kwenye huo umoja wa kujihami? Usalama wake China utakuwa wapi? Usalama wa watu bilioni 1+ utakuwa wapi? Akubali madhara mafupi na mbeleni ayajenge upya! Au akubali madhara ya muda mrefu yatakayomgharimu (kwa sababu China inaonekana inalinda Uchumi wake) na Marekani haitolala itaendelea kuwepo!
Hii hesabu inatatuliwa kijeshi tu!
Lakini mkuu, siyo Taiwan iko taifa huru tayari tangu miaka mingi (angalau tangu 1949)? Isipokuwa China Bara inadai mamlaka juu yake lakini wenyewe hawakubali hata kidogo. Wananchi wanataka kuendelea kama nchi huru.#HUENDA CHINA IKAPORWA TONGE MDOMONI HUKU INAJIONA
Ila kama hataivamia Taiwan maana yake amekubali kuipoteza na kama ataipoteza Kwa kuiacha taiwan iwe huru, basi tutamuona marekani akipeleka Kambi za kijeshi na kumwaga silaha Kali Kali na hivyo kuwa mwiba Kwa usalama wa china
Wewe jamaa unafaa uwe mshauri wa rais Putin au X Jinping hasa kwenye maswala ya kuwashikisha mashoga adabuTo some point bado niko na view tofauti na wenzangu hapa. Most katika mnaoiponda China naona mko too emotional 😄...
Me nahifadhi ulimi wangu nasubiri end result nitakuwa na la kuongea, huwa sipendelei kuzungumza kitu later nikirudishe kinywani.
Kuna maswali mkitulizana mnaweza kukaa kuyatafakari kama mkiweza.
1. Sote twajua kua US hegemony is collapsing, Je US akipoteana nani will come next? Probably ni China ambae ndie second in term of economy.
Sasa hapo em tujiulize kwanini US akaamua kama mbwai na iwe mbwai kwenda mazima kumchokoza wazi China huku dunia yote ikiwatizama?
Kwa upande wenu wadau hamuoni ni kama US anatafuta wa kudondoka nae kwenye korongo alilopo?
2. We all knows part wanayo play China na Taiwan kwa pa1 kwenye Global economy. Kama hali kwa Russia mmeiona ilivyokua hadi uku tunaisoma number. Hapo ni kwenye energy pekee vipi China na Taiwan nao?
Hii mbona nayo pia kama yafanana vile na kile ambacho tunaweza kukitafsiri US anatafuta wa kushuka nao kwenye korongo alipo. Hapo tusisahau Quarter zote hizi 1 na 2 za mwaka huu uchumi wa US unasoma negative growth.
Tukiacha zile mbwembwe alizofanya China kuna kitu me naweza kukisema kwa udadisi wangu mdogo huu nilio nao. Kuna ule msemo unasema usimpe adui kile anachohitaji.
Hicho nahisi ndicho China kaamua kukifanya, hapa nifahamike vizuri. Sio kwamba namtetea China ila najaribu kuwaza nje ya box.
Inaonekana kama US alikuwa anataka direct war with China akiwa na sababu zake na akitaka kuitumia hiyo Chance ya uchokozi akiamini wazi China atareact kwa shambulizi dhidi yao hivyo yeye kupata justification ya kuwazoa nduguze wote waingie hapo kuibomoa China. Ambae of course ndie back up in term of economy ya taasisi nyingine ambazo US na team yake hawamo.
Kwa tukio la leo kama ambavyo Russia aliondoka Kiev kimkakati. Naamini kuna jambo anakuja nalo China dunia haitaamini. Simtetei China ila daima huwa na mashaka sana na maamuzi ya watu wakimya wasio penda kuongea ongea sana kama Putin na Xi.
Let us not forget nenda kote duniani aliye fanikiwa kusimama kidete against US kiuchumi toka kuvunjika kwa USSR ni China pekee, na hawakufika hapo bahati mbaya. So tusiwa overestimate wala kuwa underestimate. Tukae zetu kati tu.
Sie tuwe observers tu inatosha!
Mda una majibu mazuri tuupe nafasi yake. Tusiwe wepesi w kuhukum.
Nyongeza ya maelezo, Kwa wale wapenzi wa Multipolar inabidi tushangilie hizi ***** ***** za US na China. Why?, Ni hivi wadau, mvurugano zaidi wa US na China utazidi kumsogeza China karibu na Russia.
Mvurugano zaidi wa Russia na US utazidi kumsukuma zaidi na zaidi Russia kwa China. Hii combo ya Superior Military (Russia) na Superior Economy (China) ndio tunayo ihtaji wapenda multipolar.
Hii visit ya huyu bibi inazidi kukoleza speed kwenye mteremko katika kuharibika kwa Unipolar world inayoisumbua dunia.
Mawazo yangu hayo mwenye mtazamo tofauti anakaribishwa.
Ukraine , Syria unataka wapi tenaSio china tu hata huyo mkubwa wenu.. ajichanganye aguse ambapo hapatakiwi kuguswa aone
Hii mnajifurahisha... china hii ambayo raia wake wanauza sufuria kariakoo?#HUENDA CHINA IKAPORWA TONGE MDOMONI HUKU INAJIONA
Tayari Nancy pelosi kashatua Taiwan na hatuajaona china akiivamia Taiwan
Sasa kituo kinachofata ni Taiwan kujitangazia uhuru wake,
Bado mchina hajakwepa mtego wa marekani
BEHIND THE SCENE
ukiangalia china ndo taifa la pili Kwa uchumi duniani baada ya marekani, na ndio linaleta challenge ya kiuchumi Kwa marekani, hilo marekani anaitafuta china Kwa Kila namna iingie kwenye mgogoro ili iwekewe vikwazo na pia kuifanya ukuaji wake wa kiuchumi udumae
Kwa mujibu wa ripot ya shirika fedha Duniani IMF, inakadiliwa ifikapo mwishoni mwa mwaka huu 2022, uchumi wa marekani utafikia GDP 24 trillion us dollar wakati uchumi wa china utafikia GDP 18 trillion us dollar [emoji385]
Lakini hilo sio kubwa sana, kikubwa ni Kasi ya ukuwaji wa uchumi wa mataifa hayo, ripot ya IMF inaonesha Kwa mwaka huu 2022 ukuaji wa uchumi wa marekani ni WA kiwango Cha asilimia 3.5% wakati china ni 5.57% hii inaonesha picha nzuri Kwa upande wa china
Lakini pia wataalamu wa uchumi wa IMF wanakadilia ifikapo mwaka 2026 uchumi wa marekani utakuwa ni GDP 27 trillion us dollar[emoji385][emoji383] wakati china itakuwa na uchumi wa GDP 24 trillion us dollar [emoji385][emoji383]
Hapo utaona Kuna utofauti wa gap, kati ya mwaka 2022 na 2026 ambapo Kwa mwaka 2022 china imepigwa gap la kiasi Cha 6 us dollar trillion
Ila Kwa mwaka 2026, gap hilo limepungua na kuwa 3 us dollar trillion
Lakini hilo issue sana
Issue ni Kasi ya ukuwaji wa uchumi, IMF inakadiliwa ifikapo mwaka 2026 Kasi ya ukuaji wa uchumi wa marekani itaporomoka na kufikia 1.6% kutoka kwenye 3.5%
Wakati upande wa china Kasi ya ukuaji wa uchumi itashuka na kufikia 4.8% kutoka 5.57%
Sasa Kwa mwaka 2022 marekani imepigwa gap la Kasi ya ukuaji Kwa kiwango Cha 2.07% wakati Kwa mwaka 2026 marekani itakuwa imepigwa gap la ukuaji wa uchumi Kwa kiwango Cha 3.2%
Hii inaonesha kuwa kadri miaka inavyokwenda Kasi ya ukuaji wa uchumi wa marekani inasinyaa wakati Kwa upande wa china inaonekana kuchanua hivyo unaweza ukakadilia Kwa takwimu hizo ifikapo 2030 huenda china ikaizidi marekani kiuchumi
Na ukishakuwa mbabe upande wa uchumi ushawishi wako unaongezeka hivyo unakuwa na nafsi kubwa ya kuwa super power wa Dunia kama alivyo marekani sasaivi
Sasa kupitia hilo marekani haitaki kukubali kuja kuwa chini ya yoyote na haipo tayari itafanya Kila lowezekanalo kuhakikisha hilo halitokei, na ndio maana binafsi naona china Bado haijakwepa mtego wa marekani
Lazima marekani ifanye juu chini kuhakikisha china inaingia kwenye mgogoro ili ukuaji wake kiuchumi ushuke, kwahiyo ili china iingie kwenye mgogoro marekani ataishawishi Taiwan ijitangazie uhuru wake alafu tuone kama china ataivamia Taiwan
Kama china ataivamia Taiwan maana yake malengo ya marekani yametiki
Ila kama hataivamia Taiwan maana yake amekubali kuipoteza na kama ataipoteza Kwa kuiacha taiwan iwe huru, basi tutamuona marekani akipeleka Kambi za kijeshi na kumwaga silaha Kali Kali na hivyo kuwa mwiba Kwa usalama wa china
Kwahiyo china inawakati mgumu sana wa kimaamuzi ngoja tuone itaamuaje
Nini maoni yako?
C$p kutoka fb Archimedes justine
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini China walipaswa kuyajua hayo yote na kukaa kimya tu kuliko kutoa vitisho vya kitoto....Kilichoshangaza ulimwengu ni namna walivojiandaa halafu ghafla wakanywea...Hakuna kukurupuka, xi na wengine sizan kama wajinga kias hiko na kuwa hawajaona kama wanachokozwa. Nazan hapa kuna mengi ya kujifunza kabla ya kulaum kwann china haija react kwa upesi hiko.
1. Kwanza tujiulize kwanin marekan kaamua kufanya vile huku akijuw wazi ni makosa na china hawataki, hapa unaweza kuona kuwa marekan kuna namna alishajipanga kufanya hiv na hatujui alijiandaa kwa kias gan kwa namna yyte ile kama china ataamua kuitungua ndege ya yule mama.
2. Jambo la pili ni funzo lilitokana na uvumilivu wa china kwa siku ya jana mama akishuka Taiwan kibabe bila ya hofu huku akijuw china hawataki. Hata kama uwezo wa kumdungua walikuw nao ila lazima wajiulize mara 2 2 kwamba ni kwanin huyu kibib kajiamin kuja na nin anakitaka.
Note: bora usipigane kabisa kuliko ukapigana na ukapigwa kila mtu atakuona mandonga na utadhalaulika miaka mingi. China ni taifa kubwa na kila mtu analitazama sasa hawawez fanya maamuzi yatakayo wagharimu au kushusha heshima yao waliotengeneza kwa kipindi kirefu. Markan saiz anatapatapa anatafuta wa kufa nae kajua hakuna wanakomtaka na wameshajuw kuwa yeye ndie chanzo cha mavurugu dunian sio Afrika, Arabun hata Asia kote huko hawamtaki na anamahasira maana kinachoendelea Ukraine kinafanya aonekane kubwa jinga saa kamshindwa russia anatafuta mnyonge ili ajidundie kama vile alifanya Libya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa China bora direct War kuliko vikwazo kama US atatafuta ushindi dhidi yake. Ndio maana kila mda najaribu kusema tusubiri end results tutakuwa na mengi ya kuzungumza.#HUENDA CHINA IKAPORWA TONGE MDOMONI HUKU INAJIONA
Tayari Nancy pelosi kashatua Taiwan na hatuajaona china akiivamia Taiwan
Sasa kituo kinachofata ni Taiwan kujitangazia uhuru wake,
Bado mchina hajakwepa mtego wa marekani
BEHIND THE SCENE
ukiangalia china ndo taifa la pili Kwa uchumi duniani baada ya marekani, na ndio linaleta challenge ya kiuchumi Kwa marekani, hilo marekani anaitafuta china Kwa Kila namna iingie kwenye mgogoro ili iwekewe vikwazo na pia kuifanya ukuaji wake wa kiuchumi udumae
Kwa mujibu wa ripot ya shirika fedha Duniani IMF, inakadiliwa ifikapo mwishoni mwa mwaka huu 2022, uchumi wa marekani utafikia GDP 24 trillion us dollar wakati uchumi wa china utafikia GDP 18 trillion us dollar [emoji385]
Lakini hilo sio kubwa sana, kikubwa ni Kasi ya ukuwaji wa uchumi wa mataifa hayo, ripot ya IMF inaonesha Kwa mwaka huu 2022 ukuaji wa uchumi wa marekani ni WA kiwango Cha asilimia 3.5% wakati china ni 5.57% hii inaonesha picha nzuri Kwa upande wa china
Lakini pia wataalamu wa uchumi wa IMF wanakadilia ifikapo mwaka 2026 uchumi wa marekani utakuwa ni GDP 27 trillion us dollar[emoji385][emoji383] wakati china itakuwa na uchumi wa GDP 24 trillion us dollar [emoji385][emoji383]
Hapo utaona Kuna utofauti wa gap, kati ya mwaka 2022 na 2026 ambapo Kwa mwaka 2022 china imepigwa gap la kiasi Cha 6 us dollar trillion
Ila Kwa mwaka 2026, gap hilo limepungua na kuwa 3 us dollar trillion
Lakini hilo issue sana
Issue ni Kasi ya ukuwaji wa uchumi, IMF inakadiliwa ifikapo mwaka 2026 Kasi ya ukuaji wa uchumi wa marekani itaporomoka na kufikia 1.6% kutoka kwenye 3.5%
Wakati upande wa china Kasi ya ukuaji wa uchumi itashuka na kufikia 4.8% kutoka 5.57%
Sasa Kwa mwaka 2022 marekani imepigwa gap la Kasi ya ukuaji Kwa kiwango Cha 2.07% wakati Kwa mwaka 2026 marekani itakuwa imepigwa gap la ukuaji wa uchumi Kwa kiwango Cha 3.2%
Hii inaonesha kuwa kadri miaka inavyokwenda Kasi ya ukuaji wa uchumi wa marekani inasinyaa wakati Kwa upande wa china inaonekana kuchanua hivyo unaweza ukakadilia Kwa takwimu hizo ifikapo 2030 huenda china ikaizidi marekani kiuchumi
Na ukishakuwa mbabe upande wa uchumi ushawishi wako unaongezeka hivyo unakuwa na nafsi kubwa ya kuwa super power wa Dunia kama alivyo marekani sasaivi
Sasa kupitia hilo marekani haitaki kukubali kuja kuwa chini ya yoyote na haipo tayari itafanya Kila lowezekanalo kuhakikisha hilo halitokei, na ndio maana binafsi naona china Bado haijakwepa mtego wa marekani
Lazima marekani ifanye juu chini kuhakikisha china inaingia kwenye mgogoro ili ukuaji wake kiuchumi ushuke, kwahiyo ili china iingie kwenye mgogoro marekani ataishawishi Taiwan ijitangazie uhuru wake alafu tuone kama china ataivamia Taiwan
Kama china ataivamia Taiwan maana yake malengo ya marekani yametiki
Ila kama hataivamia Taiwan maana yake amekubali kuipoteza na kama ataipoteza Kwa kuiacha taiwan iwe huru, basi tutamuona marekani akipeleka Kambi za kijeshi na kumwaga silaha Kali Kali na hivyo kuwa mwiba Kwa usalama wa china
Kwahiyo china inawakati mgumu sana wa kimaamuzi ngoja tuone itaamuaje
Nini maoni yako?
C$p kutoka fb Archimedes justine
Sent using Jamii Forums mobile app
^Hii hesabu inatatuliwa kijeshi tu^West si watu wa kudili nao kidiplomasia. Penye faida kwao hawajali utu, sheria za kimataifa, uhuru wa nchi nyengine n.k
Marekani imevunja mikataba mingi na Russia kipindi ambacho Russia ilikuwa ni dhaifu. Ripoti za FSB zinaonesha Marekani iliwafadhili Chenchen kwa kutumia mkondo wa dini ili wapate uhuru wao lengo kuu likiwa ni kuigawanya Russia vipandepande, maadamu ni kubwa ni ngumu kuihimili yote kwa pamoja.
Nchini Ukraine imeijenga maabara za silaha za kibaiolojia, ime train jeshi lao na kuipatia silaha nyingi. Mshauri wa Zelenski na Zelenski mwenyewe wakatangaza hadharani wana mpango wa kuwa na silaha za nuclear. Jinsi Ukraine inavyo-behave kwenye hii OP ingelikuwa na nuclear ingeli-behave vipi?
Hata kama China imetizama mbali lakini bado wapo pagumu. Marekani Wapo kwenye mchakato wa kuunda NATO ya 3 (US,UK+Australia) dhidi ya China. Ikifanikiwa atajaribu kuwashawishi S.Korea, Japan kama chambo wake. Vipi kama akifanikiwa zaidi akaiingiza Taiwan kwenye huo umoja wa kujihami? Usalama wake China utakuwa wapi? Usalama wa watu bilioni 1+ utakuwa wapi? Akubali madhara mafupi na mbeleni ayajenge upya! Au akubali madhara ya muda mrefu yatakayomgharimu (kwa sababu China inaonekana inalinda Uchumi wake) na Marekani haitolala itaendelea kuwepo!
Hii hesabu inatatuliwa kijeshi tu!
Nilikuwa mavisiwani huko mtandao chenga ...daah .... Mxina Jau kweli katuvua nguo mshenzi yule..... Hamna Kila kitu.....Unatetea upopoma mdogo wangu, zile mbwembwe zote zilikuwa za nini sasa? Ana tofauti gani na NATO wazee wa No Actions just Talks Only.
Mara oo don't play with fire my foot ushubwada tu. China hamna kitu hapo, mara 10k ka mwamba kiduku anaishi maneno yake.
Mkuu Kipala (sijui unacho kweli?), ukijibiwa naomba unitag na mimiLakini mkuu, siyo Taiwan iko taifa huru tayari tangu miaka mingi (angalau tangu 1949)? Isipokuwa China Bara inadai mamlaka juu yake lakini wenyewe hawakubali hata kidogo. Wananchi wanataka kuendelea kama nchi huru.
Je hawana haki kujiamulia? Maana serikali ya Wakomunisti huko Beijing hawawahi kuwa na mamlaka yoyote juu ya Taiwan katika historia.
Je si ukoloni mtupu wakidai sasa lazima watawale Taiwan?
Stage ya kwanza na ya lazima ni POWER DEMONSTRATION . China amemaliza hiyo stage na kaifanya muda mrefu na wiki hii hasa siku mbilitatu hizi. Kupigana vita unahitaji sababu yenye mashiko na juhudi kubwa ya kukwepa vita kwani adui atataka kukugeuza sababu ya vita. Marekani wivu umemjaa Pamoja na manguvu yake always US anakutengenezea mazingira asionekane yeye mgomvi mbele ya wamarekani na jumuoya ya kimataifa. Anaficha ubepari na ubeberu wakeLakini China walipaswa kuyajua hayo yote na kukaa kimya tu kuliko kutoa vitisho vya kitoto....Kilichoshangaza ulimwengu ni namna walivojiandaa halafu ghafla wakanywea...
Unajua China asingetisha, wengi tusingeona kama ni ishu kubwa. Second, hii imemfanya Mmarekani kuonesha 100% ubabe & udhalimu wake.Lakini China walipaswa kuyajua hayo yote na kukaa kimya tu kuliko kutoa vitisho vya kitoto....Kilichoshangaza ulimwengu ni namna walivojiandaa halafu ghafla wakanywea...