Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sahih.

Nazungumzia nchi km taasis kukopa,kwa mfano supa pawa wetu anamilik uchum mkubwa unaohodh matilion ya dola+rasilimal lkn bado anakopa.

Kwa upande wa china sijawah sikia kuwa nchi imekopa mahal au labda kias cha deni anachodaiwa kwenye mashirika ya kimataifa.

Najiuliza ni ufinyu wa taarifa nilizonazo kuhusu deni la china au jamaa hawadaiw kwel???
 
Mecheka sana hahahah🙂
 
Kama ni hv basi habari njema sana hizi kwaRUSSIA
Kama anaona inamfaa na ina maslahi kwake kuvamia aendelee kuvamia popote pale sababu yeye sio wakwanza nawala hatakua wamwisho
RUSSIA kamatia hapo hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamata kitu Cha leoleo

❗🇷🇺🇺🇦 Highlights of Russian Military Operation in Ukraine on August 13, 2022

▪️In the morning, Ukrainian artillery shelled the village of Sverdlikovo in Kursk Region. No casualties.

▪️North of Kharkiv Region, soldiers of Russian Armed Forces' 200th Mechanized Rifle Brigade entered the village of Udy. Before that, Russian sabotage and reconnaissance groups destroyed several positions of AFU's 92nd Mechanized Brigade in the settlement.

▪️Russian missile troops and artillery hit targets in the Kholodnohirskyi and Industrialnyi districts of Kharkiv.

▪️In the morning, Russian Armed Forces struck the concentration of manpower in Kramatorsk. In the afternoon, explosions rocked Slovyansk.

▪️In the evening, a Ukrainian Su-25 flying from the direction of Druzhkivka was shot down near Kramatorsk.

▪️Fighting is taking place on the eastern outskirts of Soledar. Allied Force's units are advancing towards Refractory Plant from the previously liberated KNAUF Gips Plant.

▪️Clashes continue near Yakovlivka.

▪️In Bakhmut, Wagner's PMC units entrenched on the eastern outskirts of the city identify and suppress AFU strongholds for further advancement towards the city center.

▪️Allied Forces continue their advancement in Pisky. Artillery burns out AFU positions on the northwestern outskirts of the settlement.

▪️In Mar'inka, clashes take place along Druzhba Street. Artillery is constantly pounding Ukrainian army firing positions.

▪️Ukrainian artillery shelled Donetsk and Stirol Plant in Horlivka.

▪️Russian Armed Forces struck the positions of Ukrainian formations in Nikopol' and Marhanets’, from where they are shelling Zaporizhzhia Nuclear Power Plant.

▪️AFU struck Nova Kakhovka once again. Air defence operated in the city.

▪️Russian artillery and missile troops hit targets in Mykolaiv and the settlement of Domanivka, where a strong explosion was reported.

#digest #Russia #Ukraine #video
@rybar

*Support us: 0x4739352b67Da6F4064757627D92A08EaDd3fb6b6 (ETH) | 33i1BwMuzeYTAUNtiLa6CjvaHtTVYNJfnp (BTC)
 
Thanks for the updates
 
Shambulizi kubwa la Kherson laota mbawa
💢 There is no Ukrainian offensive mounting in Kherson.

The Armed Forces of Ukraine are not able to conduct operations in the Kherson region.

The Washington Post correspondent visited the positions of the Ukrainian army in Nikolaev and learned interesting details about the situation at the front.

The Armed Forces of Ukraine complain about the lack of Western weapons and notice the arrival of reinforcements of the Armed Forces of the Russian Federation.

▪️The AFU servicemen cannot raise their heads because of the work of the Russian artillery.

The Russian drones search for Ukrainian positions at night, and in the morning the discovered fortifications are destroyed.

"There is nowhere to hide," says the AFU soldier.

Back on July 15, Reznikov admitted that his words about the counteroffensive were "misunderstood because of poor English."

@NewResistance
 
Kwakua umenitaja hapo juu acha tu nikujibu kitu
Kuna utofauti mkubwa wamie nahuyo unae taka kujaribu kumtetea
Binafsi sijawahi kumuongelea kwenye hio tabia yake ila maranyingi hua anarejelea hilo swala
Mie hua naeka kujibu hoja baada ya mtu kueka hoja hilo neno huja mwisho kama kibwagizo
Ama hua nawajibu hvyo watu wanaotaka kuharibu mijadala kama ishara yakuwapuuza ili kuwakumbusha kama hapa tunajadili nini
Unakuta mtu kama yule anaejiita mkenya mjadala sio wadini analeta koment ya udini nitamjibu kipi zaidi yakumrejesha kwenye lengo kuu la uzi
Nahisi umenielewa MKUU ila pia niki tayar kuachana na hilo swala ikiwa haliwapendezi na linawakwaza
Ila tafadhali usinifananishe na huyo bwana unanikosea haswaaa
Niko tayari kukosolewa na kurekebishwa MKUU
(RUSSIA TAIFA TEULE )

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Check hapa:-

 
Tutaona mazoezi ya kivita na Afghanistan, Bhutan, India, Kazakhstan, Kyrgyzstan, Laos, Myanmar, Mongolia, Nepal, North Korea, Pakistan, Russia, Tajikistan and Vietnam. Lazima USA m4vi yagonge chùpï.
Mpaka sasa hivi USA amebadili chupi 770 kila akivaa mavi yanagonga chupi anabadili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Your browser is not able to display this video.


Suvorov onslaught competitions in China, at the Korla training ground of the Xinjiang Uygur Autonomous Region.

Russian Federation, the Republic of Belarus, the Bolivarian Republic of Venezuela, the Islamic Republic of Iran, the People's Republic of China.
 




‼️🇻🇪🤝🇷🇺🇨🇳🇮🇷Tommorow exercises under the command of Russia in Venezuela will begin,will last 2 weeks(August 13-27)

Joint exercises by Tehran, Moscow and Beijing in Barquisimto, located in the north-west of Venezuela

Maduro welcomed the joint exercises of 🇻🇪🇷🇺🇨🇳🇮🇷‼️
 
🙃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…