Kaka Drones zinazunguka CRIMEA kama inzi wa kwenye Pilau la msimbani... Yaani ni balaaa !!Kweli kabisa mkuu,Haina haja kupoteza mda kumtetea super pawer aliyeziwa mbinu na ukraine,
Yahani jasusi wa ukraine anaingia kwenye mipaka ya Russia Tena karibu na Moscow na kufanya mauaji [emoji2][emoji2]
Hii ni aibu kubwa kwa super pawer wa mchongo
😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀Wala usipoteze mda mkuu ma'ana kumtetea super pawer wa mchongo ni kazi kubwa mno[emoji2][emoji2]
Miezi 7 Sasa anahenyeshwa na kataifa kadogo Tena jirani yake [emoji12][emoji12]
Hiyo ni pledge pili watatoa "next year".Warusi wa Bongo mnaosema hela haipigani vita - haya sasa !! malizeni vita.
Germany pledges 500m euros more in military aid to Ukraine
Germany will supply Ukraine with a further 500 million euros ($500m) in military aid, most of it earmarked for delivery next year, a government spokesman has said.
The equipment will include three IRIS-T anti-aircraft systems, “around a dozen armed recovery vehicles, 20 rocket-launchers mounted on pick-ups … precision munition and anti-drone equipment,” the spokesman told AFP news agency.
View attachment 2333299
Bulgaria yaipigia magoti Urusi iwaunganishe tena kwenye mgao wa gesi ili kuokoa maisha ya raia kipindi cha winter pia kuokoa viwanda vya Bulgaria. Waziri wa nishati wa mpito ailaumu serikali iliyovunjika ya waziri mkuu Kiril Petkov kuharibu mahusiano ya Bulgaria na Urusi kwa sababu tu ya Ukraine!
View attachment 2333320
View attachment 2333321View attachment 2333322
Hizo mnazoleta nyinyi hamwongezi view?mbona pilipili usioila inakuwasha sana?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani bado hamchoki kutupia video zenu izo za kuongeza views.kwenye uwanja wa vita URUSI 4- UKRAINE 0
Mkuu, usikate tamaa waelimishe waelewe.Hivi ni Nini maana ya udikteta? Tuanzie hapo Kwanza...naona Wengi wetu hatujui maana halisi ya neno au concept ya dictatorship....ukishajua maana ya udikteta ndipo Sasa uje kwenye demokrasia...Wengi wanadhani demokrasia imejikita kwenye uchaguzi tu...democracy is more than elections...je, huko USA, UK na wapiga kelele wengine Kuna demokrasia ya kweli....
Kuhusu Malkia wa Uingereza eti ni cheo tu!!!?? Is this true??? Ninavyofahamu Mimi na wengine Wengi Malkia wa Uingereza ni Head of State ...na huu ni mjadala mwingine kuhusu maana na majukumu ya Head of State...
Binafsi huwa nafadhaika Sana kuona Wengi tunajiingiza kwenye mijadala huku tukiwa hatuna uelewa wa kutosha kuhusu masuala mbalimbali globally...
Na ndio maana baadhi ya vijana humu wanaamua kuchukua video za YouTube na kuzileta humu huku nyingi zikiwa fake...
Kazi kwelikweli...Wengi tunadhani liberal democracy ndio muarobaini wa matatizo yetu....That is very wrong....politics za Uingereza, Marekani na kwingineko ni za 'ubabe' na haziwezi kuwa kioo Cha nchi zetu kwa Kila kitu...We have to take into consideration of our values and culture...
Daah,wakati mwingine weka ushabiki maandazi pembeni na Tumia akili Yako!Ukraine bila msaada wa US+NATO Unadhani angekuwa anasurvive mpaka Leo?Wala usipoteze mda mkuu ma'ana kumtetea super pawer wa mchongo ni kazi kubwa mno[emoji2][emoji2]
Miezi 7 Sasa anahenyeshwa na kataifa kadogo Tena jirani yake [emoji12][emoji12]
Nasubiria kwa hamu riport ya utafiti wa mauzo ya silaha, inayotolewa na (SPRI) kama sijakosea, kwa haha madudu yanayofanywa na Russia katika vita hii soko lake la siraha litashuka sanaKaka Drones zinazunguka CRIMEA kama inzi wa kwenye Pilau la msimbani... Yaani ni balaaa !!
ACHA KUITUSI GANJA NAOMBA UWE NA ADABU NAYO KIJANAkumsikiliza mvuta ganja ni ujinga...
Wasikilize mabosi wako wanavozungumzia kipigo kitakatifu kwa NATO .kama geresha kwa nini Putin asimalize vita sheikh? Ukraine ni wa kupigana na Mrusi kwa miezi 6 kweli ? Warusi wenzako wa Dar wanasema anavuta vuta muda ili asionekane ni Madonga aka mtu kazi... je ya kweli hayo ?
Russia alishambulia Ukraine kutokea Belarus,huo sio msaada??Daah,wakati mwingine weka ushabiki maandazi pembeni na Tumia akili Yako!Ukraine bila msaada wa US+NATO Unadhani angekuwa anasurvive mpaka Leo?
Russia sio mchezo,au Unadhani NATO iliundwa Kwa ajili ya nani?
Muulize US,kwanini ameshindwa kumuangusha Assad huko Syria?Russia mchukulie poa wewe Pro NATO wa matumbi,ila NATO halisi wanajua,hasa mjerumani!
Daaah,how can u stand this low?Kweli tunatofautiana namna ya kufikiri!Aibu nimeona Mimi Kwa comment hii!Russia alishambulia Ukraine kutokea Belarus,huo sio msaada??
Uoni north kolea wakituma wapiganaji huko urusi??
Wapiganaji wa Syria wapo uko Ukraine wakimpigani Putin,huo sio msaada??
Lakini bado chuma kimenasa[emoji2][emoji2]
Ndio hoja hizo na kuita watu wapumbavu kisa mtu hakubaliani na maandishi yako/yenu.
Ushahidi kuwa hao ni warusi uko wapi?Mtaliwa sana mb kutafuta video za michongo!Tazama video game ikionesha maheruhi wa russia wakiwa na hali mbaya baada ya kupigwa na mabomu ya mabox[emoji1787][emoji1787]
Urusi hataki kuumiza askari wake anakutungua kwa mbali kuharibu silaha zako na mifumo yako. Ndio maana askari wa Ukraine wanapuputika bila hata kumuona askari mmoja wa Russia. Wanaosalimika wanakimbia hapo ndio Russia anaenda kuftyagia na kuitangaza serekali mpyaHebu weka kumbukumbu sawa kwanza.., hiyo Odessa ni muda gani tangu imeanza kushambuliwa na urusi
Bado mlikuwa hamjaiteka tu[emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787]
Jamaa wanapelekewa moto si mchezo [emoji2][emoji2]Tazama video game ikionesha maheruhi wa russia wakiwa na hali mbaya baada ya kupigwa na mabomu ya mabox[emoji1787][emoji1787]