Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,940
- 15,665
Wapi s-300 s-400 s-500. S-600 s-700Tazama Secret warehouse imetunguliwa na Himars.Kipigo heavy
Watu humu,nimekua nikiwaambia mda mrefu,hakuna msafara wa Urusi ulioshambuliwa,zile ni video game TU na picha za kutengeneza.Mkuu sijui uelewa wako wa masuala haya ni wa kiwango gani-samani lakini.
Ni hivi mkuu,uwezi kuteketeza msafara wote huo kwa kutumia askari mmoja mmoja wa miguu aliye beba Javelin na anti tank nyingine zilizo undwa Urusi ambazo Waukraine bado wanazitumia - itakacho fanikiwa ni lucky shot ya kulipuwa kifaru/APC moja au mbili hivi basi, infantry wanavizia tu wakiwahiwa wanauwawa na wanajeshi wengi wa kukodi kutoka Ulaya na Merikani wamesema hawakuwahi kukutana na wanajeshi wa Urusi wanao tembea kwa miguu, wengi wa wanajeshi wa Urusi wanatumia magari ya vita na vifaru kusafiria mpaka robot zinatumiwa na Warusi kuondoa mines etc.
Narudia kuwakumbusheni kwamba uwezi kuteketeza msafara wote huo kwa kutumia askari watembeao kwa miguu wala artillery - uwezi, sana sana utaharibu viwili vitatu basi hata drone ina uwezo wa kulipua kifaru kimoja tu, hata hivyo kumbukeni Russia ilikuwa inatembea na Pantsir air defense system 24X7 ya ku-deal na drones zinazo undwa Utruki - ndio maana tulikuwa tunaona kifaru kimoja au viwili vikilipuliwa vikiwa barabarani wala havikuwa kwenye msafara.
Having said that, je, unaweza kutumia mbinu gani kuangamiza misafara mirefu ya magari,APC na vifaru - jibu ni: mbinu za ku-kuteketeza convoy ni kutumia Air Force specifically Chopper gunships (American Apache or Russian Mil-24) au tank busters kama(American A-10 tank buster equipped with Gantling machine gun or Russian SU-24 flying tank) ni nyenzo hizo peke yake zenye uwezo mkubwa wa kufyeka misafara ya kijeshi, mara nyingi katika operations kama hizo helicopter/ndege hizo uanza kuteketeza kifaru/gari la mwanzo kwenye msafara ili msafara usimame, wanateketeza kifaru/gari la mwisho ili msafara husirudi nyuma, wanateketeza kifaru/gari la katikati ya msafara kuwachanganya akili askari wanao endesha msafara, na mara nyingi askari hao ufungua milango na kujaribu kukimbia kwa miguu ili wajinusuru sasa hapo ndipo umalizwa na machine gun za helicopter gun ships au machine gun za A-10 au SU-24. katika hilo msafara mzima ulazimika kusimama hawana jinsi - hapo ndipo helicopters gunship uteketeza vifaru/magari moja baada ya nyingine hakuna kinacho salimika si vifaru/magari wala askari vyote vinafyekelewa mbali - Ukraine hawakuwa na uwezo kama huo kutokana na Airforce yao kuteketezwa na jeshi la Urusi mwanzoni mwa vita hii, picha nyingi na video clips zinazo onyeshwa na jeshi la Ukraine na watu wengine kwenye mitandao ni fake tu na nyingine actually ni vifaru vilivyo teketezwa na jeshi la Urusi na kwa kuwa zana nyingi za kivita Nchni Ukraine ni vya enzi za Kisoviet hivyo ni rahisi kudagayika, sisemi Warusi hawapati hasara na kupoteza maisha lakini habari nyingi zinazo tolewa na Jeshi la Ukraine niza kugushi tu ili kuonyesha Dunia kwamba wana uwezo wa ku-tame jeshi la Urusi ili waendelee kupatiwa misaada ya hali na mali.
Maangamizi,sio dalili nzuri.Najiuliza Puttin kuongeza wanajeshi 137,000 ni ishara gani?
Nimemuonea huruma saanakumbe Zelensky hua anadanganywa kwamba anapewa silaha alafu hapewi maskini,Hadi huruma,hili alimwambia Erdogan [emoji1787][emoji635]
Dah Hili daraja niliwai kupiga picha nikiwa hapoMilipuko mingine imetokea leo kwenye Daraja la Antonovsky limepigwa na Himars na kukatika vipande viwili.Wanaita Key Supply bridge ya kherson.Tazama Source 3 tofauti nimewawekea mbili ni youtube video game[emoji38][emoji38][emoji38]
View attachment 2331532View attachment 2331533
Ni mjinga pia namjua vizuri nilisoma naeYule jamaa ni mweupe mno,Mimi nilishamshitukia mapema TU.
Ukisikia uchambuzi ndio huu wa bwana Scott.
T 14 Amatta anatambaa,hata chekechea hajaanza.
Sasa alivyo mbishi atambishia hata huyu Scott.
Mwaka 2017 nilishiriki hii siku nikiwa huko jijini MoscowLeo ni siku ya State Flag of the Russian FederationView attachment 2331615
Ndio unajua leo ?Inawezekana hata Israel navy na China navy ni bora kivifaa na teknolojia ya kisasa kuliko Russia navy .
Mtaje usimuogopeKUPITIA UZI HUU NAPENDA KUWAAMBIA VIJANA MUACHE PUNYETO INALEMAZA AKILI
.
KUNA MPIGA PUL HUMU MWANZO ALIKUA VIZURI ILA KADRI SIKU ZINAVYOENDA AKILI ZINAMWAGIKA NA MABAO YA BAFUNI NARUDIA TENA
VIJANA ACHENI PULI
.ACHENI PULI
.ACHENI PULI
.ACHENI PULI
.ACHENI PULI
.
USIKU MWEMA NDUGU ZANGU
Kawaida yake huyo hata shuke alikuwa upande wa kushindwa alwaysI'la mwanangu una Moyo Sana kubaki huko kwenye Upro_ US..
Wahuni huko wanazidi kutandika fimbo nzito ardhi inazidi kutemwa na ndivyo ardhi hiyo inavyozidi kukaribia kuitwa Russian Federation.
Slava Ukraine.
Mbona hajafurahishwa mkuuAtafurahishwa kwelikweli.
Source?Inawezekana hata Israel navy na China navy ni bora kivifaa na teknolojia ya kisasa kuliko Russia navy .
ThubutuHeeeeeeeheee!
Kumekucha.
Wameshajua na alipofichwa,
Kuna Raid itapigwa Estonia.
Ushangae na weweWakati vita inaanza hawa walisema Urusi inakqbiliwa na uhaba wa chakula na wamebakiza reserve ya siju tatu tu huko vitani. Cha ajabu leo ni mwezi wa sita na vidume bado vinasonga mbele next stop maykolaiv.
Wanajeshi wa urusi waliovitani (deployed) Ukraine hata 300k hawafiki alaf ss hv uje useme wana uhaba wa wanajeshi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama ottoman empire walivyokuwa wanafanyaNachojua hii vita imejaa propaganda nying sana ,siyo kwa Russia wala Ukraine ,vita vya nowdays vya kimama sana ,vita ni vile vya majambia na mashoka yaan ingekua ni zaman ungekuta ndani ya wiki vita vimeisha ,na mbabe keshaonekana.
Nowadays yaan had inaboa ,mkono unatakiwa upigwe fasta ,mambo mengine yaendelee,tunachoshana tuu ,mara tumetungua helkopta,mara tumelipua Himas ,mara tumelipua ghala la silaha ,upuuz mtupu