Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Halafu kuna watu utawasikia eti oooh Urusi hatumii jeshi huko Ukraine anatumia wafungwa,sasa hawa makamanda wanatoka wapi?! Au walienda Ukraine kuvuna ngano?!
Achana na hizi propaganda uchwara. Kura zishaanza kupigwa huko. Mapema watu na vichinjio vyao wanafanya yao.

"Unakubali jamhuri ya kidemokrasia ya watu wa Donesk kuingia kwenye shurikisho la urusi kama 'subject' wa shirikishi hilo"

Yes
No


Imeisha hiyo... [emoji1787][emoji2957]
 
Operation (SMO) imeisha?[emoji16]
 
Halafu hao wanaoitwa wenye silaha Bora bahati nzuri kwao wamepigana na nchi dhaifu sana,na zisizopata msaada wowowte.
Mfano Iraq,Libya,Afghanistan.
Huwezi kuzilinganisha nchi hizo na Ukraine ambayo hata ki mpaka TU inapakana pua na mdomo na nchi zote za NATO.
Ukraine yenyewe Ina tech na viwanda vya silaha na Jeshi imara kabisa.
 
Katika karne ya 21 nchi hazimegwi kirahisi tu hivyo na madikteta eti kwa sababu nchi zao wanazozikalia zina nuclear, hayo yalikuwa zaidi mambo ya karne ya 19 kurudi nyuma.
Shuhudia kila mwenye akili anavyokataa precedent ambayo Dikteta Putin anata kui set
 
Hi Ni Karne ya 21 na Ukraine tayari inamegwa kutokana na kiburi na ukuwadi wake....Sasa nyie mnasemaje...hiyo ndiyo imetoka na hii ni Karne ya 21...Hii Ni Karne 21 ya Mambo mapya...hii Ni zamu ya multipolar na siyo unipolar ya kiranja USA...siku zote Kuna nyakati za enzi...kulikuwa na enzi za Roman empire, Mara Ottoman, ikaja empire ya Uingereza, Soviet Union ikafurukuta na kutoweka, na Sasa Ni zamu ya USA na makuwadi wake kutokomea gizani...self determination should be the order...The fall of the great empires..
 
Chukua hii Historia hapa kwa kifupi sana
 
Russia ikitumia nuclear hata mwendawazimu mwenzake Belarus atamkimbia. Itakuwa ni phariah zaidi ya Korea ya Kiduku. Kuhusu majibu ya NATO subiria kwanza tuone kama Putin atafikia kiasi hicho cha kuchanganyikiwa huku Siloviki, Oligarchs na inner circle zake wengine wakimuangalia tu akiwapeleka kuzimu au watamtupa nje ya mtumbwi wapone wao.
 
Kura inapigwa akiwa tayari na matokeo yake ya kura mfukoni mwake[emoji16]
 
Bla Bla Bla!!!!

Punguza mihemko Kaka,mbona unahamisha magoli.
Kwahiyo hizo Kura zikishapigwa ndo nini?! Unadhani itabadili kitu?![emoji23][emoji23][emoji23] Watu washasema silaha zitaendelea kutumwa na counter offensive itaendelea kama ilivyopangwa hakuna cha Kura wala Vodka
 
Usikimbie baada ya referendum uchwara.
Utafurahi mwenywe.
 
Nyerere hakuivamia na kuilazimisha Zanzibar kuwa katika muungano, mfano wako ni wa kipuuzi usiozingatia muktadha.
 
Wamekuwa mateja wa vi-maneno maneno vya Putin, Medvedev na Shoigu. Wakiyasikia tu wanakuwa high[emoji23]
Na wanauwezo mkubwa wa kubadilika ghafla kuelekea uelekeo mpya wa Putin na serikali yake inachokisema.
Ni kama vile watu waliochanganyikiwa hivi🤣🤣 matumizi ya akili wameyakataa kabisa.

Pro Putin wa nyuma kabla ya uvamizi siku hizi hawachangii kabisa kwasababu uhalisia umewafunga, wao walikuwa wakajadili na kuitete Urusi kwa Data za kwenye paper. Walitumia data hizo kujenga hoja nzito kiasi kwamba Pro west walikubali na kusubiri wakati utoe ukweli. Sasa baada ya field nafsi zao zinawasuta, wameamua kukaa kimya.. Sasa kuna kizazi hiki ambacho Pro X Russia hiki hakina hoja, ni matusi na uwezo mkubwa wa kufuata mdundo anaupiga putin na Serikali yake.

Cc: Elungata kama hajabadili I'd bas wakati na uhalisia umemsitaafisha dhidi ya alichokuwa akisifia.
 
Hahahaha utasubiri Sana,hayo maneno tumeanza kuyasikia tangu miaka ya 2000 Leo tupo 2022 na USA is still number one.

World order haiwiset up na maskiniiiii,Russia ni maskini Nani atakubali amfate,atafatwa na failed state kama kina Belarus,NK, Myanmar,na wenzake Ila wenye akili timamu hawawezi mfata mfano mzuri ni Kazakhstan,angalia jinsi anavyojiweka mbali na Russia[emoji23].

Uchumi wa Russia haufikii hata Uchumi wa South Korea ndo aje kushindana na powerhouse kama United States of America!!!!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Vladimir hadi wiki moja kabla ya kuivamia Ukraine alikuwa anakataa kabisa hana mpango huo wakati US wakiwaambia Ukraine wajiandae miezi mitatu kabla ya uvamizi.
 
Umekula ndugu mbona cremea imetandikwa?huyo mruskafanya nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…