Hata ukitoa mifano mia hawatakuelewa,hawa na kama nyumbu wakishafuata uelekeo flani basi wanafuata uelekeo huo huo ,iwe mvua liwe jua* mfano mwingine*
Pro russia mpo kuilaumu serikali ya Marekani sikilizeni huu mfano, mtoe mtizamo wenu, ili tujue IQ zenu Imeishia wapi.
Chukulia mfano kuna manzi umekutana nae, manzi ni kigori, and she is naive kwenye mambobya mahusiano, manzi kakuelewa sana mkaanzisha mahusiano. Tatizo moja Ex wa manzi wako ana wivu mkubwa sana, mbaya zaidi ni mkorofi. So siku moja Ex akamtekq manzi na kuanza kumshushia kipigo cha mbwa mwitu huku akichukua watoto wanne waliobaki kwa manzi ( hakuridhika na yule mmoja aliyemchukua hao nyuma ). Manzi analia kwa uchungu akikuomba msaada.
Je, Kama wewe ndio bwana wake mpya utafanyeje?
Seriously haya maneno utakuja kuyala,kwa kuwa inaelekea hujui kabisa unachokishabikia.Unasifu kazi za Shetani,unprecedented.Urusi alijiona ana haki ya kulipua miundombinu ya kijamii huko Ukraine,sio vibaya na yeye akaipatapata,
[emoji1016][emoji1016][emoji1016]Belarus and Russia are recognized as the most unfavorable countries for gays. Hence the conclusion, if you don’t like Belarus or Russia, most likely you are a pidoaras[emoji848] [emoji1016][emoji1016][emoji1016]
Badala ya HAUJAFIKIA unaandika HUJAFIKA wewe ni mwehu.Mkuu hata kuandika tu ni tabu na unaita watu popoma. Unachanganya herufi kubwa katikati ya sentensi na nukta kila baada ya maneno matatu
Hujafika level za kuita watu popoma idiot wewe.!
Hasara pande zoteBBC wanadai inaweza kuchukua miezi mitatu hadi sita.View attachment 2371161
NATO wanaishiwa stock kisha anakuja mbweha anaiponda RUSSIA. Ukraine imejaziwa masilaha kibao . Russia inastahili pushabikii
Ulipaswa umjibu hoja zake,hii ya kukimbilia kuwa mwalimu wa kiswahili kuangalia vijimakosa vidogo vidogo katika uandishi wake maana yake umeshindwa kujibu hoja zake.Bado matumizi ya irabu na silabi ni changamoto kwako.
* mfano mwingine*
Pro russia mpo kuilaumu serikali ya Marekani sikilizeni huu mfano, mtoe mtizamo wenu, ili tujue IQ zenu Imeishia wapi.
Chukulia mfano kuna manzi umekutana nae, manzi ni kigori, and she is naive kwenye mambobya mahusiano, manzi kakuelewa sana mkaanzisha mahusiano. Tatizo moja Ex wa manzi wako ana wivu mkubwa sana, mbaya zaidi ni mkorofi. So siku moja Ex akamtekq manzi na kuanza kumshushia kipigo cha mbwa mwitu huku akichukua watoto wanne waliobaki kwa manzi ( hakuridhika na yule mmoja aliyemchukua hao nyuma ). Manzi analia kwa uchungu akikuomba msaada.
Je, Kama wewe ndio bwana wake mpya utafanyeje?
DUH.... inasikitisha sanaHuyu kijana wa Putin kakanyagwa na kifaru chake mwenyewe. Ajari ya kawaida kwenye majeshi yasiyo na mafunzo na umakini mzuriView attachment 2371311
Hivi kumbe Himars zilibomoa training na launching stations?! Sikujua hiliDrone za Iran zimeisha? Au ndo Himars ilishawaharibia kila kitu baada ya kuua trainers na launching station?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kwahiyo US nae ni supa pawa wa mchongo maana alishindwa kulinds WTO na balozi zake za kenya na TZ hadi zikashambuliwa!"Super power" anatakiwa awe na uwezo wa kulinda mabomba yake kwa intelligensia, teknolojia na majeshi, kama hawezi kufanya hivyo huyo ni super power wa mchongo.
Halafu Putin hawezi kufunga tu mabomba ya gesi kadri anavyojisikia yeye bila severe "consequences"kwa sababu Urusi hawauzi gesi Ulaya kama kuuza nyanya sokoni. Urusi ilisaini mikataba ya kupeleka gesi ambayo mingine ni ya muda mrefu sana. Sio ajabu kabisa Urusi kuwa imelipua yenyewe hilo bomba kwa sababu kuna wakati ilikuwa inakataa kusafirisha gesi pia huku wakiilamu Siemens ya Ujerumani na Canada kuchelewesha turbines zilizokuwa zinafanyiwa matengenezo.
Tatizo kubwa la Russia na utawala wake ni uongo uliopitiliza, kuwaamini ni sawa na ku bet tu.
Kuna exit stratergy muelewe tu boss. Mtu kafika mwisho hawezi tena kujadiliana kaona mlango wa kutokea katoka.Ulipaswa umjibu hoja zake,hii ya kukimbilia kuwa mwalimu wa kiswahili kuangalia vijimakosa vidogo vidogo katika uandishi wake maana yake umeshindwa kujibu hoja zake.