Mrengwa wa kulia
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 1,145
- 3,765
Mkuu, nina wasiwasi sana na leo usiku huko Kyiv. Russia wamezima umeme, Je wanataka kufanya nini usiku? Daaah....Hawakujua maana ya operation, operation ni kuingiza jeshi na asiue hata mbu Ila ukizuia anakuua ,vita ikitangazwa mapigano mpaka serikali itolewe sasa tunasubiri hapo zelesky achague kutorokea uhamishoni au kufia katika ardhi ya mababu zake
😁😁 Zele gaidi, anaua raia wake. Acha apewe kichapo kizuriPicha inaeleza mengi!!!
Makombora hata Urusi yanaweza kutumwa vile vile na Wa Ukraine wanachomzidi Vlad ni mipango na courage ya kupambana.Mkuu, nina wasiwasi sana na leo usiku huko Kyiv. Russia wamezima umeme, Je wanataka kufanya nini usiku? Daaah....
so stop complaining like some cheap stuff, but better, run before it arrives. Run, Zelensky, run without looking back towards the West[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2382483
Kadyrov: [emoji117] “Zelensky complains about arrivals in Kyiv and other cities.
And what did you, sucker-Zelensky, think: you can, but others can’t?
That is, for eight years it was possible to bomb civilians, destroy the infrastructure of the cities of the LDNR, cover a nuclear power plant with shells, blow up bridges, fire at important objects, but when it came to your head, suddenly it became impossible for anyone?
We warned you, Zelensky, that Russia hasn’t really started yet, so stop complaining like some cheap stuff, but better, run before it arrives. Run, Zelensky, run without looking back towards the West. Now I am 100% satisfied with the SMO”
Nimeweka picha kubwa ya Vladimir Putin ukutani kwa ukumbusho wa watu wote waingiao ndani kwangu kuwa DUNIA KUNA MWANAUME
Na aliyepiga hii picha alaaniwe pia [emoji16]Aliyepiga hii picha ya Zele leo kwenye press Conference ashitakiwe kwa hujuma zake [emoji23].
View attachment 2382628
maneno tu ya kujifariji baada ya mambo kuwa mazito,,Urusi amepoteza wanajeshi wangapi ,na silaha kiasi gani hadi sasa??ameshatimua majenerali wangapi hadi leo??tena kwa sasa Ukraine ameshapata zana bora sana toka NATO,ndio maana na yeye sasa anaweza kushambulia.Hawakujua maana ya operation, operation ni kuingiza jeshi na asiue hata mbu Ila ukizuia anakuua ,vita ikitangazwa mapigano mpaka serikali itolewe sasa tunasubiri hapo zelesky achague kutorokea uhamishoni au kufia katika ardhi ya mababu zake
Mchina yupi huyo unamzungumzia???? Huyu ambaye uliyempelekea pelosi Taiwan I?????Mr Majanga ficha majanga yako Wachina, EU na Wajapan wakikusikia watakucheka sana[emoji16].
Kuvunja daraja ni ugaidi na anaye vunja barabara,hospital, majengo ya makazi ya watu ni nani?Mnaanza kulialia sasa eeeh
Haya ndio matunda yakuripua daraja halaf wale wapuuzi wakaanza kuvimba
Sasa daraja lile litawagharimu sana
UKRAINE ndio mfadhili MKUU waugaidi nyuma ya US
Sent using Jamii Forums mobile app
🤝🤝🤝🤝👏👏👏👏🤣🤣😂😂😂🤣😂😅😅Inasemekana hapo yupo anatest mitambo tu, Mission yake itaanza rasmi msimu wa baridi ukishaanza.
Na inasemekana Mwamba mission zake za OP huwa havushi miezi mitatu ashamaliza kazi na kuendelea na majukumu mengine ya kitaifa.
Inasemekana target zake nyingi huwa decision centers ndo maana unaona kaanza na kyiv center walipo decision makers wengi. Anaamini Mwili ni kichwa nasiyo Mkia, hivo huwa anaanza kupiga kichwa kwanza ndo anamalizia mkia.
Inasemekana huwa anatembeza moto kwa kutumia bombers na missile nzito kiasi cha kwamba hadi opponents wake huenda kwenye commanding center yake kuomba yaishe. (Mfano hai ni Makamanda wa USA huko Syria).
Call him General Sergei Vladimirovich Surovikin
#The hero of Russian federation [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Tunahitaji russia imara kwa sasa kuliko wakati wowote.Sawa tu. Tunahitaji russia imara kwa sasa kuliko wakati wowote.
Shughuli ipo naona Ukraine wanasonga mbeleZaidi ya Kamikaze drone 48 zimeondoka Belarus dakika 20 zilizopita, uelekeo ni Kyiv...
Ukraine wameingia Moscow tayari, wameshikilia miji kadha wa kadha ya Russian, Putin kakimbilia uhamishoni Burundi 🤣🤣🤣Shughuli ipo naona Ukraine wanasonga mbele
Ni Comedian ZeleKuvunja daraja ni ugaidi na anaye vunja barabara,hospital, majengo ya makazi ya watu ni nani?
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Utakuwa muendelezo wa alichokianzisha February.Kikao kizito cha Baraza la Usalama la Urusi kinaendelea mda huu chini ya Mwenyekiti wake Rais Putin.
Inatarajiwa Rais Putin atatangaza vita rasmi na Ukraine baada ya kikao hicho.
Habar njema sana hiiiLukashenko, Rais wa Belarus katangaza kuingia vitani dhidi ya Ukraine, akiituhumu Ukraine kutaka ivamia...
Ataungana na UlUrusi kuunda jeshi la pamoja dhidi ya Ukraine