Ukraine wanaenda marundomarundo wanakufa sana.Acha kupiga ramli Wanamgambo wenzako wa Ukraine wanapasuka kila siku Russia anakazi kuchimba shimo moja watu 100
Unatuletea picha ya Askari wa Jiji huo Ujenerali alipewa na Meya wa MjiMajor General Kyrylo Budanov (35yrs old)ni komandoo aliyeshiriki operations frontline ya Donbas tangu 2014. Alishasalimika kuuwawa na bomu la kutegwa kwenye gari mwaka 2019 ambapo agent wa Urusi alitega bomu ila likalipuka kabla.
Budanov ndio Mkurugenzi wa Ujasusi wa Wizara ya Ulinzi. Missions zote za kulipua Kerch bridge, kujua Warusi watavamia wapi, kujua makamanda wa Urusi wako wapi, wapi kuna ammunition depots na troop movements za adui anazisimamia yeyeView attachment 2388905
Zelensky alipochaguliwa aliwaondoa viongozi wengi serikalini na jeshini wenye umri mkubwa. Hawafundishiki na mbinu mpya za kisasa na NATO walipokuwa wanatoa mafunzo wanachukua maofisa wenye umri mdogo. Huwezi tumia gharama kubwa upelekwe UK uko wakati unastaafu miaka 10 ijayo. Na Zelensky anapendelea kuteua watu wenye experience, maofisa wa kijeshi wengi Ukraine walikuwa frontline Donbas na waliongoza sabotage occupied areas. Hata Mkuu wa majeshi ana miaka 49 alafu kazeeka ghafla mwaka huu, kazi nzito.Aiseee mdogo sana kiumri, ila kazi yake si ya nchi hii.
Wanamgambo wa Ukraine wanatumia formation za nyumbu kuvamiaUkraine wanaenda marundomarundo wanakufa sana.
FINLAND na SWED lini walijiunga na NATO!!?Mkuu, natafuta matiki katika maelezo yako.
Yote ninayoona kuhusu utaratibu wa jeshi ni dalili ya uongozi mbaya ukishambulia bila kuandaa nguvu ya kutosha. Tumeona sote jinsi Urusi ilivyoshambulia Ukraine bila kujipanga ipasavyo, hapo sababu za kulazimishwa kukimbia Kyiv mwanzoni, baadaye kutoka jiji la Kharkiv, juzi katika Donbass.
Vilevile zoezi la mobilization ambako maandalizi yalikuwa hovyo.
Naomba sana tusiamini propaganda, wala ya Zelenski au ya Putin.
Naona kasoro hizo zilionekana kwa wote na hapo sababu ya kutoogopa jeshi la Putin tena. Finland waliogopa sana - tangu kuona udhaifu wa jeshi la Putin waliamua kujiunga na NATO, Sweden vivyo hivyo.
Mtahamisha mpaka nzi wote muwapeleke Kremlin Ila battle front mnaipata shughuli . Kipondo kwenda mbeleKipigo kinachokuja mtawahurumia Ukraine,kuna nchi zimeshaanza kuhamisha watu wake
Cheya man kaupiga wakutosha sana sanaaaaView attachment 2388108
[emoji288][emoji635][emoji1099]Chairman of the African Energy Chamber Nj Ayuk-"Europe should not tell us, we resist it, we need a fair and inclusive energy transition…
We need to provide electricity to 600 million people, 900 million people still do not have access to a normal stove to cook food. In Africa, almost 60% of the population does not have access to electricity… We need to build up our partnership with our friends in Russia in order to create sustainable resource exchange chains.… Of course, Russia has a huge potential and experience in this: you are the best in the world at refining and reducing the carbon footprint, implementing infrastructure projects and investing in energy," Chairman of the African Energy Chamber Anjay Ayuk said.
Ayuk believes that the energy crisis in Europe has become a lesson for Africa, showing the need to increase cooperation with Russia.
@T14 Armatamajaribio ya drone version ya kwanza imekamilika successfully . sasa tuko majaribio ya drone version 2 ...
ukraine uwanja wa kutestia siraha
View attachment 2388171
Iranian sources report that Russia has ordered new Arash-2 UAVs from Iran. The warhead of the new drone is much larger than that of the Geran.
RUSSIA ipi chakula chakutafuta [emoji23][emoji16][emoji23][emoji16][emoji23][emoji16]Kuna mtu yuko Russia, ananiambia maisha yamekuwa magumu sana huko.. anasema wanaume wengi sana wanaikimbia nchi.. itafikia muda Russia atasurrender mana atakosa wapambanaji... Watu wanajificha, chakula ni cha kutafuta kimyakimya, hali tete.
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app