Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

US concerned about Russia-Iran 'deepening alliance' - State Department
[emoji1255][emoji1258][emoji1255][emoji1258]- Iran anajifanya rafiki wa Putin lakini wakubwa wakimbana korodani anamkana urusi adhalani

Huu ni urafiki wa kinafiki[emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 


Ukrainians who have fled the country amid Russia’s military offensive should not return home before spring, Deputy Prime Minister Irina Vereshchuk said on Tuesday. Staying away would protect them from unnecessary risk and help the country “survive” she added.



“I will ask you not to return,
 
Sasa bwana Lavrov kilio cha nini tena,kwani mlitumwa mvamie kanchi Ka watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

West ramps up arms supplies to Kiev in bid to destroy Russia — Lavrov. The top diplomat stressed that the US-led collective West, "obsessed with world domination," had unleashed a "total hybrid war" against Russia:
go.tass.ru/jG3m1

 
Screenshot yako imejaza Marekani dhidi ya Soviet Union. Aya sasa, Soviet Union iko wapi na Marekani iko wapi? Sasa mwenye akili nani hapo, kuna mmoja alitumia nguvu nyingi akili kidogo, mwingine akili kwanza nguvu baadae. Na ndio Urusi imerithi hiyo strategy hata majirani zake inalazimisha undugu kwa kutumia nguvu. Jeshi hata kulinda nchi isivunjike haliwezi sembuse kupigana na Marekani. Jeshi lililoshuhudia jaribio la mapinduzi mwaka 1991 ndio unaringia hapa.

East Germany iko wapi kwa sasa. Si iko NATO na upande wa Marekani. Umuhimu wa nguvu kijeshi uko wapi na nchi yenyewe imewatoroka kuishawishi.

Korea situation ikoje. North Korea si iko kivyao na Russia, South Korea si ndio hii inaizidi Russia kiuchumi.

Vietnam sawa, what about Afghanistan. Mbona USSR ilitoroka baada ya kichapo. Maskini baada ya hapo haikukaa miaka mitatu ikasambaratika. Vita moja serious nje ya nchi, nchi ikapotea ikabaki historia
 
Nato wametoa
1. Silaha
2. Mafunzo
3. Mamluki japo sijui wanajiita wakujitolea ila ni full combat experienced
4. Intelijensia yote
5. Wamewekwa vikwazo kwa urus ambavyo havijawah kutokea

Sasa boss unataka wafanyeje tena ndio uamini wameshirki??
 
Shida sio kumuelewa, tatizo ni mtu mzima kuandika kama mtoto wa chekechea. Na si yeye pekee, wapo wengi sana
Hapa hatuko darasani kuandika imla..,ukimuelewa mtu inatosha tu..,aliyeleta kipengele Cha IMLA katika SoMo la kiswahili alijua wazi kwamba Kuna makosa mengi sana Huwa tunayafanya kila mara katika uandishi

Kama unataka tuanze kuandika imla,sawa[emoji106][emoji106]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Internet ina chochote unachotaka kumeza. Hata ukitaka sehemu iliyoandikwa Mungu hayupo utapata na ukitaka iliyoandikwa Mungu yupo utapata vilevile.

Gulf war Marekani alienda kufanya nini na baadae ikawaje. Lengo la vita ilikuwa nini mpaka useme haikufanikiwa?
Saddam Hussein alirudisha majeshi yake kwake baada ya kichapo akaondoka Kuwait na kuacha kutishia kuivamia Saudi Arabia, na ndiyo chanzo cha Marekani kuwa na military presence pale Saudi Arabia. Au ulitaka vita iishie wapi kwa mapenzi yako wewe.

Kasome Resolution 687 of the U.N. Security Council uone Saddam Hussein alivyokubali kuufyata, kama ungetaka malengo tofauti na coalition forces then ungeenda na jeshi lako ukavamia wewe.

Korea pale Marekani iliombwa na South Korea ikaitetee baada ya North Korea kuvamia na kutaka kuiteka South. Sasa kama hujui nakujulisha, South Korea ilibaki salama na hadi sasa ni mshirika wa Marekani. Kama una lengo tofauti kavamie na wewe.

Iraq si Saddam aliondolewa. Kuna mjadala na hapa?

Afghanistan miaka 20 yote Taleban waliishi milimani. Marekani haikushinda kisha ikaunda serikali ya Amir Karzai? Yani Tanzania haikushinda vita ya Uganda kisha Iddi Amin akakimbia, Milton Obote na Yusuf Lule wakafuatia kuwa marais. Hii ni akili gani hii.

Yemen kuna vita na Marekani? Vita gani hiyo

By the way mbona hujataja failures za Russia kwenye First Chechen na Second Chechen wars? Yani ulinganishe nchi ambayo within hii miaka ya 2000s imepigana yenyewe kwa yenyewe dhidi ya Marekani? Hauko serious
 
Sawa mkuu, itakuwa msaada kwa wengine pia
 
Nzito kama zipi?! Tutajie hata tatu
kijana nachooni wengi wanajadili haya mambo kwa hisia zao mtu anataka kuzijua silaha nzito wakati a Kisika mlio wa Berreta tu anashtuka,dunia ya vita inatisha
Kijana Acha kutumia hisia kwenye intelligence insue haya mambo ni mazito huwezi kuyaelewa kirahisi kumbuka mwisho wa corona virus ndio mwanzo wa Ukraine na Russia tuliza kichwa,shirika la ujasusi ufaransa liltambua hii vita itatokea miaka miwili kabla huku tz watu walijua mwendazake atakuwa wa awamu moja je nikuulize unadhani ni bahati mbaya tazama wapi pa nakufaa utengeze pesa.
 
Hichi ni kituko cha karne Iran drone zake kila kitu ni home made na hakuna taifa lolote pale ulaya linalowafikia hawa jamaa kwenye tech ya drone ukweli usemwe tu jamaa wameshindika
 
Mkuu naomba nikusahihishe kidogo.

Russia military hawatumii GPS Kama unavyodai hapo juu. Russia Wana mfumo wao unaoitwa Glonass . Kwa hiyo hata hizo drones hazitumii GPS. Weka records zako sawasawa.

Pia tambua kwamba, Military hawatumii kabisa Civilian means of Communications.

Pia, vita ina deceptions nyingi Sana, je una amini with confidence kwamba Russia wapo nyuma kwenye Technology ya Drones...?
 
amelalamika wap ? ndio maana mnawalaumu BiBiC S KILA SIKU kwa upumbav wenu wa kupuuzia somo la lugha , Hiyo ni ripoti wala sio lawama au shutuma , na kauli hiyo sio inatolewa kisha hatua inachukuliwa HAPANA inatolewa kauli hii baada ya kuchukua hatua , ila mjinga anafikir Ukraine baada ya kujua wamekimbilia kweny media kupost kabla ya kuwahadhari majemedar wao waliopo front
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…