Kama pesa yako iko mkononi mwa serikali ya Tanzania - kweli maskini! Je unaamini kama wataiona tena siku moja?
Kama ingekuwa rahisi basi wangeshaingia mzee....jamaa wanatafakari kabla ya kufanya maamuzi...ingekuwa Somalia au Libya kama walivyofanya kipindi kile wangeshaingia kweli... lakini Russia sio Libya au Syria...Kuna mmoja nilimwambia Jana humu akaishia kuniandika waraka wa Paulo kwa Wagaratia! Yaani kwa sasa ni vyepesi kwa NATO na USA kuingia Ukraine kuliko ilivyokuwa hapo mwanzo kabla ya Uvamizi
Yaani wenyewe wanalalama kwamba 90% ya drone zao zilipigwa ndani ya week moja mpaka mbili za mwanzo toka ziingizweKwamba Ukraine imelalamikia hizo drones, zina uwezo mdogo au nini mkuu.
Sasa kumbe Russia inashindwa kuzuia drones zenye uwezo mdogo mpaka waliozinunua wanalalamika ila Russia yenyewe inateswa nazo.
Snake island hapa air defence system iko hapo hadi kwa camera inaonekana ila imedumaa tu
Sababu sio uchokozi mzee ..fuatilia sababu ya Russia kuivamia Ukraine...wewe unafikiri Putin kichaa aamke na kuanza kuivamia nchi ya watu..kwa nini hakwenda kuivamia nchi nyingine tofauti na Ukraine?Mtu mwenye akili timamu hawezi kushabikia uvamizi dhidi ya nchi hambayo haikuwai kurusha hata jiwe kwenye mipaka ya nchi vamizi,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji631][emoji1205][emoji1255][emoji635]🪖[emoji406]View attachment 2397957
"The West does not have such an air defense system that would protect Ukraine from Russian missiles" – former commander of the US Army in Europe Ben Hodges.
Mkuu, Iran inatumia drones zenye GPS, rejea kusoma vizuri hiyo GPS nimeitaja wakati nazungumzia nini.
Russia wako nyuma kwenye drone technology ndio. Taja drones 3 the best za Russia nikutajie drones tatu tatu kutoka Israel, US, China, Turkey zinazozidi hizo za Russia. Kwani Iran angeleta drones kama Russia anaweza
Hivi hizo drone za Marekani sizilipelekwa mwanzoni mwa mwezi 4 zika shindwa kuonesha matokeo?Mkuu, Iran inatumia drones zenye GPS, rejea kusoma vizuri hiyo GPS nimeitaja wakati nazungumzia nini.
Russia wako nyuma kwenye drone technology ndio. Taja drones 3 the best za Russia nikutajie drones tatu tatu kutoka Israel, US, China, Turkey zinazozidi hizo za Russia. Kwani Iran angeleta drones kama Russia anaweza
unapenda umeme wa mgao ila kwa ukraine ndi inakuuma , huon kuwa ni dalili za ukichaa , unamchek aliyetiw kidol ila ww uliyepumuliwa unaona sw tuWatu wanazungumzia ATHARI za vita,bongo imeoza kila mtu anajua.tujifunze kutokuchanganya mambo
acha kambaSumbawanga hakunaga mgao wa umeme
Yaan sio NATO ni jeshi la Ukraine liliivamia IRAQ , duh hawa wavaa kobaz km wao yupo atawatia kibiriti cha kutoshaNdio Ni sahihi sana kuwachekea tena wachekwe zaidi ya hapo.
Jeshi la Ukraine liliposhiriki kwenda kuivamia Iraq unadhani lilikua linaenda kupeleka umeme na maji pale Baghdad sio?
huyo ni kichaa angalia hata hoja zakeTanzania hakuna umeme na hakuna vita nawezaje kuzungumzia umeme kwenye Nchi iliyo vitani...
Kama kuna watu wana enjoy kuhabarika basi ni wale wanaofatilia siasa za nje mbali ya aina silaha gani zimetumika kwa nani kumpiga nani.
Again!
[emoji298]As reported by Hohols[emoji298]
#Analysis
It should be understood that as soon as Turkey becomes a gas hub, the Ukrainian GTS will immediately cease to have its value.
I must say thanks to the Turks, they take advantage of the situation and simply take the last money cases from Ukraine to themselves. Cool allies.
[emoji2772] Hapo kinacho zungumziwa ni issue ya Turkey kua International Gas Hub for Europe. Hizi Geopolitics are confusing ila ukizielewa unachekelea sana!
ndo mnakumbushwa muache ukichaa , kwenu shida zipo nying ila mapepe meng kweny international forum , au ww umeumbiwa dhiki ?hizo ndo akili za wanaopumuliwa mapepe mengKwanini Sasa upo Kwny 'International forum'?
Twende kule jukwaa la siasa au hoja mchanganyiko ili tukajadili mambo yahusuyo Tz.
acha ukichaa ebu jitahid kutumia hayo mapepe kuipigania nchi isiyo vitan bado kuna mgao wa umeme , yaan tupo jiran na bahari hata recycling kuyapunguza chumv yaletwe majumban.hawawez hlf kimah mmoja yupo busy na UkraineMkuu wewe unaetumia ubongo wako vzr unafanya nini Kwny hii thread?
Mbona Kuna thread kibao tu za mambo serious kama ya Katiba mpya,bwawa la umeme la mwl Nyerere etc unaweza kua huko Mkuu.
unaezaj kuimin nchi iliyokana kutokuwa na mpango wa kuivamia Ukraine hlf wakaja ivamia ndan ya wiki hiyo hiyoWaziri wa mambo ya nje wa Russia jana kaitaka UN ifanye uchunguzi kujua chakula kinachosafirishwa kutoka Ukraine kinaenda kwny mataifa maskini kama ilivyo kwny mkataba au kinaenda Nchi za Magharibi
akigundua kuna mkataba umekiukwa anazuia tena …anataka wafe kwa njaa kabla ya baridi kuwagandisha wazungu kwa kukosa Gas
ule umeme huwa nasikia ni kutoka zambiaSumbawanga hakunaga mgao wa umeme