Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Karibu mirungi mizuri kutoka kenya,inachangamsha mwili
Yafuatayo ndiyo madhara ya kutumia mirungi.
Mtumiaji wa mirungi yupo katika hatari ya kupata vidonda vya tumbo.

Kupungukiwa msukumo wa kufanya tendo la ndoa (low sex drive) na pia kuwahi kumaliza haraka na kutoweza kudumu kwenye tendo la ndoa kwa muda mrefu.

Ukosefu wa haja kubwa (constipation) .

Utumiaji wa muda mrefu husababisha ini kushindwa kufanya kazi,pia meno kubadilika rangi, kudhoofika,fizi kuuma na harufu mbaya mdomoni .

Upungufu wa usingizi.
 
Karibu mirungi mizuri kutoka kenya,inachangamsha mwili
Madhara ya muda mfupi yatokanayo na matumizi ya mirungi (khat)
• Kujiamini kupita kiasi
• Magonjwa ya vidonda vya tumbo (ulcers)
• Shikizo la damu
• Ukosefu wa hamu ya kula chakula (loss of appetite)
• Upungufu wa hayaa na Kukosa usingizi (insomnia)
• Kuongezeka kwa mapigo ya moyo
• Kukosa haja kubwa (constipation)
• Uropokaji, uchache wa adabu, ujuaji wa kila kitu
• Kukosa usikivu na utulivu
• Magonjwa ya akili
 
Karibu mirungi mizuri kutoka kenya,inachangamsha mwili

Madhara ya muda mrefu

• Huzuni/mfadhaiko wa mawazo
• Upungufu wa msukumo wa kufanya jimaa (sex drive). Na pia kuwahi kumaliza haraka na kutoweza kudumu kwenye tendo la ndoa kwa muda mrefu (pre-ejakulation)
• Humpelekea mlaji kutawaliwa nayo (Addiction)
• Msongo wa mawazo
• Kupata njozi zinazojirudia rudia
• Mahangaiko ya akili
• Kushindwa kujizuia kufanya vitendo visivyofaa kwenye jamii.
• Kuwa kwenye hatari kubwa ya kupata Shambulio la moyo

Utumiaji wa muda mrefu husababisha kuharibu utendaji kazi wa ini, na pia kusababisha ubadilikaji rangi meno, kudhoofika, na fizi kuuma na harufu ya mdomo
• Kansa ya mdomo

Athari zisizozuilika
• Kifo
• Kiharusi kutokana na shambulio la moyo
 
Umedanganywa huko tz
 
Leo jumatatu tunataka kumsikia General mashavu akiamka na kikombe cha kahawa kurusha makombora kwenye miundombinu maana ndio siku yao ya kushambulia.Yule General aiyeshimdwa vita[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
NJOONI NYOTE NIWAELEZE KITU.

mnaiona hii helkopta

Hii ni KA - 52 ni moja kati ya helkopta hatari sana " kwenye karatasi"
Sasa niwambie kinini kimeikuta huko vitani Ukraine. Hapo mwanzo zilikuwa kama 100 hivi zikifanya mashambulizi ndani kabisa ya front line. Ukraine army walijilinda kwa kurusha kila aina ya silaha: ant tank missile, air missile, stinger kwa ufupi walirusha kila kitu. Ingawa hizo helkopta zina defense kama frare kutokana na wingi wa makombora zilikuwa zikirushiwa zilikuwa overwhelmed na kutunguliwa.

Takwimu zasema kama 25 zimedunguliwa. Na wanajeshi wa mwanzo ndio walikuwa na experience nayo, sasa warusi waliobakia hawataki kabisa kusikia kwenda operation na hizo helkopta. Maana ni kifo.
 
Hapo sawa na kuoa mwanamke Malaya alipigwa na wanaume Kama Mia halafu unashangilia umepata mke walichoshinda Hapo kipi?
 
Nakukumbusha mkuu wanaosema ni mtego ni marekani na viongozi wa Ukraine

Sasa kama unabishana nao sawa
 
Nadhani jamaa data za Kherson alichukua hapa
 
Nimejikuta nikicheka kijinga Sana na kufikili mbali Sana, jf ni kiboko unaweza kuta mtu unatukanana na boss, Ndugu ,mzazi wako bila kujua, ila mkikutana story ,na tabasam kibao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…