Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Haya hawa wajeda walisalim amri mjinga mwezao alijifisha akataka kushambulia wanajeshi wa Ukraine ndio ikawa mwisho wao wote
 
Na hapo,Gen ameongea kwa busara sana ili asionekane msaliti au kuitia aibu Serikali yake kwa kua yenyewe ndio kinara wa kupeleka silaha Ukraine amabazo kwa kweli zinaliwa na moto wa Urusi.
Sasa akiusema ukweli kabisa nchi yake itamwita ni muoga na dhaifu dhidi ya Moscow.
Katumia lugha ya busara mno.
 
Du!
 
Mrusi alishapigana vita zaidi ya miaka 8!
Mwanzo walisema Urusi hawezi tonoa Miezi 6,Sasa wanakuja na kauli uchwara!Jiandaeni tu kisaikoloji,yaani mrusi anaweza pigana hii vita mpaka mtoto aliyezaliwa Leo anaenda kuanza darasa la kwanza!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ungemuacha tu MKUU usingempa hii elimu ya bure ungemuacha tu ajione mach noo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana, kumbe Russia na wao wana surrender
 
Muda mwengine muwaache na kujua kwao wakat hawajui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mrusi alishapigana vita zaidi ya miaka 8!
Mwanzo walisema Urusi hawezi tonoa Miezi 6,Sasa wanakuja na kauli uchwara!Jiandaeni tu kisaikoloji,yaani mrusi anaweza pigana hii vita mpaka mtoto aliyezaliwa Leo anaenda kuanza darasa la kwanza!
Waache wangojee RUSSIA kushindwa kwakuishiwa silaha [emoji16][emoji23][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua kusoma?hao wanazi wameua wanajeshi waliosalimu amri watalipia hiyo damu.
Warusi wanaojisalimisha wanalambishwa mchanga kila siku bwashee,Wala hao sio kwanza.., tunaposema dikteta Putin lazima alipie ghalama ya uvamizi ndo kama hivyo.., lazima wapigwe kama mbwa..,Wala hawastahili kupewa hadhi ya ubinadamu.., ubaya waliuanza wao,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ndio ndio ghalama ya uvamizi hiyo.., viongozi wa dunia walipokuwa wakipishana mascow wakimsihi Putin asivamie ..,yeye alijawa kiburi na kujiona kidume, kumbe watu wameshapitia vita na wanayajua madhila ya vita, apambane na Hali yake Sasa[emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…