Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu,rekebisha mwandiko!Namna hii inaumiza macho!
 
China ana akili nzuri Sana, kujizuia kwao kuipa silaha Urusi wamecheza huu mchezo vizuri mno.


Au NATO wamejishtukia baada ya kuona Ukraine imegoma kujisalimisha, response ya serikali na raia ni nzuri na wana spirit ya kupambana. Kwahiyo hata wakitoa silaha watumiaji wapo.
Hapo awali walisita mno kutoa silaha kasoro Poland Ila Sasa wanashindana kupeleka silaha.
 
Japo mvamizi alikurupuka ( inasemekana askari wengi wavamizi hawakujua mpaka dakika ya mwisho kuwa wanaenda vitani).....

Lakini alianza vizuri Sana siku ya kwanza ya uvamizi aliteka maeneo mengi mno kwa kasi Ila Vita kama chess tu, mchezo umegeuka kabisa
 
Zina tofauti gani na vifaru vya kawaida ? Au ni kusafirisha tu askari na kutoa 'cover up' kwa infantry ?
Ni heavy zaidi Kama hizo Bradley but Humvees Ni za kawaida. Hizo mashine zote zikikutana na Konet ATGM Hakuna usalama.
Pia zikikutana na amunition kutoka Su 25, su 34, ama gunship ka 52 hazitatoboa.
Nb.
Tusubiri na kuona.
 
Russian airforce Ni pamoja na uwepo TU 160 , TU 95, TU 22 zikirusha makombora kutoka Russia kuelekea Ukraine.
Drone pia Ni airforce ya Urusi. Ninashangazwa na Jambo la we'we kusema Russian airforce Ni Kama haipo.
Nb.
Helicopter pia Ni part ya airforce ndo maana ka 52, mi 28 ziko vitani kila siku.
 
Ebu labda muulize yeye anataka mpaka wafanye nini.au kuwe na base ya ndege juu ya anga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hua. Me siwaelewagi Hawa watu wa upinde ..cjui wanataka ukraine ipgijwe ndio waone inapigwa ...fact zote wanafungia macho wao wako na ubishani wa kitoto kabisa ...urusi inacheza na air space ya Ukraine kila leo hawaoni ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…