Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nasoma comments zao huku nacheka,sijui huwa hawakumbuki walichoandika hata siku 3 tu zilizopita.
Huyo mohamedidrisa789 huwa hayapiti hata massa mawili bila kuleta Raman inayoonyesha Hali ilivyo hapo bakhumut..,Tena kila iitwapo Leo lazima hizo ramani atupie humu,akionyesha jinsi warusi wanavyozidi kusonga mbele.., sijui Huwa wanasonga mbele kuelekea wapi

Jamaa Wana fix sana,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wenyewe wanadai hapo yeyote atayeingia anajitengenezea kaburi
 
Na ndio maana Ukraine nae hataki kuachia hayo machimbo yaende kwa Russia,last week Wagner walifika mpaka hapo Ukraine ikaleta reinforcement wakakimbizwa. Hali inayoendelea itabidi Ukraine ipeleke reinforcement za kutosha la sivyo itakula kwao
Wanadai kapeleka jana usiku.

Ila inaonesha Russia anaitaka Ukraine for resources
 
Duh, kumbe pale bakhmut na soleder kuna network ya underground tunnels, mita 100 chini ya ardhi, hadi vifaru vinatembea huko, no wonder kazi ya kuuchukua hizo miji imekuwa ngumu kama ilivyokua malioupol, [emoji848].
Mgodi mkubwa sana huo
 
Wenyewe wanadai hapo yeyote atayeingia anajitengenezea kaburi
Ila ikitokea Russia wameyakamata wakajificha humo Ukraine kwasasa atakua hana namna ya kuwashambulia Labda ikitokea akapewa bunker buster bombs,lakini swali lingine la kujiuliza hizo bunker buster zitawezekana kubebwa na ndege za zamani za kisovoeti kama ambazo Ukraine inatumia (mf: Su-27)?!!!!!
 
Hahahaha ila Mkuu hapo Soledar hali ni tete,ngoja tuone mpaka Jumapili nini kitajiri.
 
Soledar iyoooooooo[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]



Wagner group wakiwa kwenye jengo la halmashauri kuu ya mji wa Soledar.


Haya sasa na njooni mbishe tena nyie kenge wa blue.

Tuliwambia kuwa Urusi sio Zimbabwe ila hamkutaka kutusikia kabisa.ona sasa mnavyopata aibu.


[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]




 
Pale ni kubaribu entry points na exits tu.
Atayejiloga ingia humo imekula kwake
 
Hahahaha ila Mkuu hapo Soledar hali ni tete,ngoja tuone mpaka Jumapili nini kitajiri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaongea kwa unyonge sana ndugu.ila nashkuru kukubali kuwa hali ni mbaya.ndo ivyo vijana wenu wamepambana ile mbaya ila juhudi zao zimefika mwisho. Usife moyo bado mpambano unaendelea sehemu zingine
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaongea kwa unyonge sana ndugu.ila nashkuru kukubali kuwa hali ni mbaya.ndo ivyo vijana wenu wamepambana ile mbaya ila juhudi zao zimefika mwisho. Usife moyo bado mpambano unaendelea sehemu zingine
[emoji23][emoji23][emoji23] Nyie mnaochukulia serious haya mapigano ndo niwaonee huruma maana hata huo mji ukikamatwa Mimi haunipunguzii chochote,sasa unyonge natoa wapi Shekhe ....Aaaah embu jishikilie wewe!
 
Sidhani Kama Challenger 2 itatoboa kivita Ukraine. Ukraine tofauti na Afghanistan ama Iraq Ni Uwanja wa kivita wenye ATGM za kutisha Sana Kama hiyo kornet. Lakini pia uwepo wa su 25, ka 52, na mi 28 lazima Challenger 2 itabaki scraper.
Merkava 1,
Mekava 2,
Merkava 3
Merkava 4 za kiyahudi zote zilionja Moto wa Kornet. Tusubiri na kuona ugumu wa British armored vehicle, super tank by the name Challenger. Kama zitaingia uwanjani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…