Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu, huoni kwamba unajidanganya? Urusi "kuamua kuchukua Krimea"? Unashindwa kusema "ilishambulia nchi jirani iliyowahi kuiahidi kuheshimu mipaka yake na kutwa ardhi yake" ? Kosa gani kusaidia nchi inayoshambuliwa?
 
Asee hiyo battle hapo ni kali haswa. Wagner sijui kwanini wamekomaa sana na hiyo sehemu. Ukraine akishinda hiyo battle hapo kwingine itakuwa ni kufagia tu.

Ngoja kifurushi kipya kifike tuone matokeo yake yatakuwaje.
Pana kamlima hapo unaweza kuona KILA movement ya wa Ukraine . Vifaru vipya vya Russia ni balaa tupu . Vinapenya KWA kasi ya ajabu . UKRANE wanasubiri baridi iishe
 
Chuma zito hilo litadidimia kwenye tope. Kifaru kipya cha mrusi pamba nyepesi
 
Nina shaka sana na uwezo wako kuelewa mambo
 
Hawa wanashiriki vita hii moja kwa moja ni kuwaua tu
 
Hawa mamruki wataisha huko.
Maana wamepotea,
Nafikili walijichanganya na askari wa Ukraine hawa wamekufa kwenye shambulio la askari 600.
Wanaanza kutudanya hawa , sijui walikuwa soledar sijui bakhmut.
Ukweli ushaanza kuonekana
Walipigwa na wale wengine 600...yaani mishoga miongo hii eti wako hapo for humanitarian ground..mtu ana silaha ya moto anasema ni volunteer dawa ni kumnyandua tu
 
*Waliambia wana chakula cha siku tatu[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]

*Wakambiwa wameishiwa silaha[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]

* Wakambiwa wamepoteza morali[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]

*wakambiwa awana hata uniform[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]

*Wakambiwa wanakimbia wenyewe uwanja wa vita[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]



[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]



Hakika Urusi Katupa somo



 
Option ya mwisho iliyobaki kwa Vikosi vya Ukraine huko Bakhmut ni Kupigana mpaka kifo au kukimbia Bakhmut kabla ya njia ya mwisho kufungwa.

Chaguo ni lao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 

Battle for Bakhmut: Why the City is Key to Russia's Liberation of Donbass​

14 hours ago

© Sputnik / Viktor Antonyuk
/
Go to the mediabank


Subscribe



Ekaterina Blinova
All materialsWrite to the author
All eyes are on Bakhmut (Artyomovsk), a Donbass city-turned-meat grinder for the Ukrainian Armed Forces, which are sustaining heavy losses there. Mark Sleboda, a US military veteran and international affairs and security analyst, has explained to Sputnik why the city is so important for both sides of the conflict.
“First of all, from a level of its significance, one of the Russian military priorities was to secure all the Donbass, to secure the liberation of the entirety there,” Mark Sleboda told Sputnik. “And that being kind of right in the center of the Donetsk region, Bakhmut has often been called the key to Donetsk. So, of course, all of that area has to be liberated (…) Bakhmut is also a major transport and logistical hub because it's got two highways that intersected and railroads that run north all the way to Moscow and then they go through south and then bend around down into Donetsk city.”
Second
, Bakhmut is the linchpin of the entire second line of defense of the Kiev regime, the US military veteran continued.
“After that, there's only one last defensive line in Donetsk of any major node between Slavyansk and Kramatorsk, further to the west,” Sleboda noted.

Wagner PMC near Bakhmut in the Donetsk region
© Sputnik / Viktor Antonyuk
/
Go to the mediabank
Third, taking Bakhmut threatens further advances and flanks in other directions due to its geographical location. Finally, it would allow greater control of the Donetsk-Seversky Canal, which provides water to Donetsk city, according to the analyst. Sleboda pointed out that the Kiev regime cut off the water supply to Donetsk five years ago. “They did it in Crimea as well,” the analyst added. “Cutting off water is what they do.”
 
Putin kasema akiba ya silaha anayotumia kwa sasa ni ya babu yake.bado ya baba na yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
















 
Yalivyo mangombe yatakomaa mpaka yaishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…