kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Jamaa wanajikuta wanajua sana, kumbe utopolo tu [emoji848]Data zako ulizozipata nikuwa urusi anã vifaru zaidi ya 20,000?
Bora na Mimi nimepumzika Sasa.., maana ulikuwa unaichosha akili yangu sana.., nitashukuru kama utakoma kunikwot [emoji120][emoji120]Tuko pamoja ndugu,ila kuendesha mjadala na wewe nadhani imetosha!Nimegundua pia Sina kipya Cha kujifunza kwako!
We jamaa unajidhalilisha unaongea opinions pasipo facts uwe unatupa na citationsJamaa wanajikuta wanajua sana, kumbe utopolo tu [emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Huwa tunawaambia pro Russia lakini wanaweka pamba masikioni..,huyo jamaa punde atajikuta kwenye mikono salama..,muda si mrefuMu - Isael we tulia - hili goma linanyenyuka soon, mtu mmoja hawezi kusumbua ukanda wate, soon he will be sorted.
Ndo maana nilikausha kutojibizana na mtu anakwambia km 1000 max range ya Abrams.Pro lgbtq huwa hawareason kabisa ni empty set kichwani
Huyo katolewa kama chambo..,vita mbaya Sana lakini haiepukiki!!RIP kwa ndugu yetu aliyeishi na kukulia Ukraine. Ameacha mwanamke na mtoto. Jitihada za kumleta nyumbani wakati vita vinaanza zilishindikana na bada ya kifo pia ilishindikana, imebidi mazishi yashuhudiwe kupitia mtandao. Mazishi yamefanyika huko huko na ameshapumzishwa kwenye nyumba yake ya milele.
Kwa tafsir nyepesi na ya haraka artillery ni mizinga.., search Google kwa msaada zaidiSorry chief mimi ni mgeni kabisa kwenye field ya silaha naomba kufahamu artillery ni nini?
Vita mbaya sana ni kweli mkuu.Huyo katolewa kama chambo..,vita mbaya Sana lakini haiepukiki!!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Acheni kulia lia ondoeni silaha kwenye makazi ya watuSupa-pawa wa mchongo kageukia mbinu ya kufanya ugaidi na uhalifu wa kivita dhidi ya raia wema wa Ukraine baada ya kushindwa kuuangusha utawala wa Rais Zelensky..
Ndio njiuliza nia ya Putin ni nini hasa??? Maana jamhuri nyingi tu zilizokuwa sehemu ya soviet socialists hazipo tena kama sehemu ya Urusi. Why Ukraine??Mimi naona ni NATO vs rusia na mpango ni kumuua putin na kuisambaratisha rusia bila kuleta vita na nchi zingine, ndio maana wanaongeza vifaa vikubwa kidogo kidogo huku wakipima upepo kama kutakua na muingiliano wa mataifa mengine kama china iran korea kaskazin au syria au yoyote iliyo mrengo wa upande wa rusia, ndio maana wanaongeza silaha kidogo kidogo ili watu wazoee abaki rusia pekeyake, hapo ndio watamshambulia kwa kasi bila usaidizi popote na watafanikiwa maana wao wanatoa vifaa vita ila rusia akipewa wanapiga kelele na mikwara ya sunctions.
Hapana Majeshi ya Nato yapo Ukraine Kama Majeshi ya kukodi.Ukraine anapewa silaha pekee hakuna watu wanaingia toka nje kumsaidia kupigana, ila russia anapewa wanajeshi wa kukodi toka korea kaskazini, iran, afghanistan na n. K mbona hili husemi?
Bila kusahau russia anakamata hadi wanafunzi wa nchi za kigeni hasa wa kiafrika na kuwapeleka vitani kwa nguvu.
Wapelekaji wenyewe wa vifaru washaanza kuogopa.wanajua kabisa vinaenda kuangukia kwenye mikono ya Warusi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mohamedidrisa niambie kilicho wakuta leopard 2 na Abrams maana wamepoa baada ya kusikia hivyo vifaru vitapelekwa mwezi March na Hapo kategeshewa aanze ujerumani nadhani US atakuwa wa mwisho[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Waukize wenzako kuwa ivyo vifaru Urusi anavyo au hata[emoji23][emoji23][emoji23].Kwani urusi anavifaru vifikavyo idadi hiyo?
Mfano hata awe navyo unaamini atavitumia vyote 20000?
Au unajiongezea tuamini uongo wako? ?
Kwa hiyo tukusikilize wewe mmatumbi au tumsikilize Waziri wa Mambo ya Nje Ujerumani!!?? Ficha ujinga wako....Mkuu unarudia habari Urusi inapigana na nchi 50. Ila mbali ya jeshi la Uktaine hakuna nchi nyingine inayopigana na Urusi. Nchi nyingine zinasaidia Ukraine (sawa na kanuni za Umoja wa Mataifa kuhusu msaada kwa nchi iliyoshambuliwa) lakini hazipigani na Urusi.
Hata nchi hizo zinazosaidia Ukraine zinazuia silaha kali zisifike kraine hivyo Ukraine haipati msaada kupiga vituo vya Kirusi ambako makombora yanarushwa kwa miji ya Ukraine.
Katika vita hii Ukraine vado ni kama mpiganaji anayefungwa kwa kamba asitoke katika eneo fulani, wakati mashambuliaji wake (Urusi) ana kila uhuru kwenda mbele na kukimbia nyuma...
Vita ingekuwa tofauti sana kama vikosi vya NATO vingeingia lakini pia hatari sana maana Urusi katika hali yake ingeweza kukimbilia matumizi ya silaha za nyuklia ambayo ingekuwa hatari kwa watu wote duniani.
Kila taifa lina haki ya kusaidiwa silaha au hata wanajeshi linapovamiwa na taifa chokozi ndani ya mipaka yake!; Putin yeye anatumia mbinu ya kubambikiza waafrika kesi na kuwafunga jela kisha kuwalazimisha kwenda kupigana vitani. Kila mtu na mbinu yakeHii vita ni ya Russia na Ukraine au ni Russia dhidi ya Ukraine na washirika wake? Maana kwa kweli Ukraine hayupo peke yake.
Jana Ujerumani imeidhinisha kutoa vifaru vyake aina ya Leopard kwenda Ukraine. Marekani wanafadhili mifumo ya ulinzi wa anga na silaha zingine.
Australia nao wapo upande wa Ukraine. Majuzi Putin akasema kupitia msemaji wake kwamba kama mataifa mengine yataendelea kuipa Ukraine silaha hili vita inaweza kugeuka kuwa vita ya tatu ya dunia. Where are we heading to?