Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unajua kila mtu wa kumuongopea.eti Stalin alisema bila Marekani na Uk wasingeshinda vita.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo alikuwa Stalin wa kijichi.

Kiko wapi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unajua kila mtu wa kumuongopea.eti Stalin alisema bila Marekani na Uk wasingeshinda vita.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo alikuwa Stalin wa kijichi.

Kiko wapi
Unamdai alete video ya Stalin akisema bila marekani na UK urusi wasingeshinda Vita...,bila shaka ukiambiwa kinjekile ngwale alipigana vita ya majimaji na penyewe utaomba upewe Link ya video akiwa kwenye uwanja wa mapambano [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Usitupe maneno matupu weka ushahidi wa kuonyesha Warusi walipokea vifaru 13000 vya aina flani kutoka USA na vifaru 5000 vya aina fulani kutoka UK.
Vifaru vilivyopelekwa miaka iyo ilikuwa ni vifaru 4000 aina ya sherman kutoka USA vilivyoenda mwaka 1944 na 1945(mwisho wa vita) na vifaru 300 aina ya Churchill kutoka UK vilivyoenda mwaka 1942.

Tuambie ivyo vifaru vya USA 13000 na vifaru 5000 vya Uk umevipataje pataje.au umezidisha kwa 10[emoji23][emoji23][emoji23].

Na kama walitoa vifaru vingine tofauti na ivi, vinaitwaje ivyo vingine[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ivi kwani bado ujatoka Soba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Yani ufananishe tanganyika ya 1946 na Urusi ya mwaka 1946.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kichaaaaaaaaaaa + saa mgando
 
Hii si uliweka wewe au sio wewe huyu.vifaru vya sherman unajua vikienda lini Urusi.kama ujui basi angalia kwanza alafu urudi tena.naimani kusoma unajua ebu soma vizuri nimekuwekea hapo chiniView attachment 2497395View attachment 2497397
Mkuu, naona heri upumzike kidogo maana majibu yako yanaonyehsa unachanganyikiwa zaidi na zaidi! Kwanza unapinga kabisa msaada kutoka US/Uingereza ulikuwa na umuhimu wowote.

HAlafu nikionyesha picha unadai eti vifaru vilifika tu 1944, mbali na 300 kutoka Uingereza mapema. Nikikuonyesha si kweli unakimbia kujificha nyuma ya aina fulani - sherman ilifika 1944. Unataka kuonyesha nini? Sikusema Sherman ilifika mapema, maana najua ilianza kupatikana tu mwaka 1942, hapa mwanzo wa uzalishaji!

Ona hapa: By July 1942, the imported tanks in the Red Army accounted for 16 percent (2,200 out of 13,500). The vast Soviet lands saw British infantry tanks Mk II ‘Matilda’, Mk II ‘Valentine’ and Mk IV ‘Churchill’, as well as the U.S.’ M3 ‘Stuart’ and M3 ‘Lee’ fighting the Germans.
Cahnzo: How Lend-Lease helped the Red Army win in World War II (PHOTOS)

Menginevyo: naona hadi sasa hujapata chochote kupinga ushahidi wa kiongozi wa umoja wa Kisovyeti nikita Sergeyevich kuwa msaada wa Marekani ulikuwa muhimu kabisa kwa kushinda Ujerumani...
Ila labda hujui Nikita Sergeyevitch alikuwa nani?

Inawezakana . . . . .
 
Huyo jamaa hawezi kukuelewa maana yupo kwa ajili ya kushindana na sio kueleweshana na kujifunza.
 
Sorry mpaka sasa mmechukua heka ngapi urusi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aliyepambana na Ujerumani huko mashariki ni Ussr ambayo ilikuwa imeundwa na nchi za Urusi ya Sasa, Baltic, Georgia na hata Ukraine.

Jeshi la Urusi ya Sasa limeshalemazwa na mwaka mmoja wa Vita, haliwezi kuitisha Marekani kabisa (labda watumie vitisho vya nyuklia).
 
Ni kweli.....US akitaka hivi Vita vimalizike hashindwi...hata Supa-pawa wa mchongo kakiri hili.

Hapa tunaona tofauti kati ya 'Superpower' na 'Supa-pawa'....
Maana yake ili vita iishe ni usa kuacha kuchochea na kwa kupeleka siraha

Wakiacga hata sasa russia atatulia
 
Maana yake ili vita iishe ni usa kuacha kuchochea na kwa kupeleka siraha

Wakiacga hata sasa russia atatulia
Mkuu nikielewa vema MArekani inasaidia Ukaine kujitetea. Je unaona hii ni kosa?

Au nilisahau kama Ukraine ilishambiulia Urusi?
Unaonaje kama Urusi inasema Samahani, tulikosa kuanzisha vita, tunajiondoa na polepole tutalipa mchango kwa uharibifu tuliosababisha?
 
Acheni ushabiki usio na maana. Russia ni kitu Gani mbele ya US? US ndio baba wa hii Dunia.

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Sahihi kabisa.....bila msaada wa Marekani Ussr isingewashinda wanazi wa Hitler na bila Marekani hata China isingewashinda Wajapani..

Na bila msaada wa Marekani, Ukraine ingeshatekwa na dikteta Putin.
Na hapa ndipo umwamba wa marekani katika kuitawala dunia unajidhihirisha!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Unaongea points sn mkuu. Yaani Russia wanaitafakari kwsbbu tu ana silaha za nyuklia lkn km si hivo mapema tu angezabuliwa!

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Ivi kwani bado ujatoka Soba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Yani ufananishe tanganyika ya 1946 na Urusi ya mwaka 1946.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kichaaaaaaaaaaa + saa mgando
Wewe ndiye unaonekana mpumbavu.., na hili kudhihilisha Hilo ,rudia kusoma hiki ulichoandika kisha ujipige kifua mara tatu na kusema " Mimi mohamedidrisa789 ni mpumbavu""

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ujerumani ilishindwa na jeshi la mrusi kabla ya nchi yoyote kumshinda mjerumani, kasome historia ya vita hivyo marekani aliingia kipindi mjerumani kesha poteza nguvu...tena hadi Hitler mwenyewe alikili kuwa jeshi lake limepata pigo kubwa urussi
Unaongelea Russia ipi hiyo ambayo iliwashinda wajerumani? Warusi Zaidi ya milioni 20 waliuwawa na Hitler na ndio sbbu Germany wakitafakari walichofanya Kwa mrusi hawataki Tena kitokee.



Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…