Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwa sasa dola imepotea sana kwenye mabenki (sijui sababu ni nini), ukitaka kuagiza kitu kwa dola wanakuomba upeleke proforma invoice ya currency nyingine yoyote isipokua dola.

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Ikipotea ndio thamani Yake inazidi kupanda zaidi.. , fikiria Kila mtu angekuwa na urahisi wa kuipata Hela, nani angemuita boss mwenzie, mwisho hizo Hela zingekuwa takataka tu

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Samahani mkuu,unatokea nchi gani

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kumbe KGB bado ipo

Sent from my itel W4001P using JamiiForums mobile app

Mkuu utabiri kama huu tumeshasikia sana. Tumesikia kwamba kwa huruma isiyoeleweka jemadari mkuu alituma wanajeshi wake bora Kyiv ila kwa sababu hakutaka kuwaumiza Waukraine mno alikubali wauawe na vifaru vyake kubomolewa (au kuachwa njiani).

Tena kwa huruma kuu jemadari mkuu hakuangamiza bado ndegevita zote za Ukraine ILA SI KWA SABABU alishindwa hapana yote kwa kusudi ili anonyeshe huruma.

Pia hakuleta vifaru vyake mpya vinavyohofiwa kote duniani Armata T-14 siyo kwa sababu ni vibovu na vilifaa kwa maonyesho tu, hapana, anatumia akili yake ya juu na kwanza anawapa kazi Waukraine kumaliza risasi kwenye vifaru vya zamani ambazo hazina thamani anyway LAKINI BAADAYE ATALETA!!! (na idadi ya Warusi wanaopenda kuendesha vifaru ni kubwa mno hivyo si muhimu kama maelfu ya askari vifaru wamekufa katika T72 na T62 hizo zote...)

HAdi sasa tuliona huruma tu ILA SASA TUTAONA UWEZO WA KWEEEELI!!!!

Haya, lete.
 
Hizi mig tulinunua sio urusi ilaha China!
Ninachokwambia tuliuziwa heat seaking missiles na mrusi!
Tulizitumia zikaisha!
Tulipo hitaji nyingine akahitaji Hard Cash au tukubalie atukopeshe kwa Mikataba Migumu!
Ref; Kilichompata Samora msumbiji!
Huna sifa wala sababh ya kudanganywa!
Qulu Haqi wainkana [emoji123][emoji106]
 
URUSI inashabikiwa na wanaichukia USA haswa haswa WAARABU na Wachina na KOREA huku Africa wanaisha ikiwa na Waislam njaa wenye chuki na USA
Ni kama marekani inavyoshabikiwa na watu kama nyie wenye chuki dhidi ya uislam na mnaopenda kufihlwah,,,
 
Yaani Ukraine ipigwe nyukilia na Russia alafu NATO wajibu kwa kupiga nyukilia kwenye ardhi ya urusi? Unadhani nini kitatokea kwenye ardhi za Nato? Na vita ya nyukilia utakua na matokeo mabaya sana kwa pande zote.

Sasa ni nchi gani itajitoa sadaka ya nyukilia kwa sababu ya kuitetea Ukraine? Mpaka sasa nchi nyingi za NATO zinatuma silaha pale Ukraine kwa influence ya marekani tu, wala hawana baya lolote na urusi. Yaani wanachezewa shere na USA tu...
 
Kuna silaha ambazo hazitakiwi kutumika mzee.. ila russia akiamua kutumia kila alichonacho kwenye ghala lake la silaha mpaka sasa ukraine ingekua imebaki majivu tu
Unadhani ni kwanini hajaamuwa kuzitumia hizo za kuifanya Ukraine majivu?
 
Mkuu mbona ulichoandika ni tofauti na kilichomo kwenye hiyo link? Ukiandika kiushabiki ni lazima uweke link ya ku sapoti ushabiki wako.

Otherwise this is a misrepresentation.
 
Sasa hapoy anajirinda nin na adui ameshaingia ndani!!! Hapo atumie tu ule msemo if you can beat him,join him ndo itakua salama yake akiendelea kiev nayo itaondoka kabisa,
Anapambana kumuondoa mvamizi na kukuomboa maeneo yaliyotekwa na wavamizi.
 
View attachment 2498374
Kiongozi jisomee mwenyewe hapo juu.. kwamba hao West wenyewe wanatoa misaada ya silaha kwa Ukraine lakini wanaogopa WW III kwa technology za kisasa.. itakuwa ni hatari sana haswa kwa nchi za Ulaya..
Ndio maana wanampa misiraha ya kizaman ili aendeleee kupigika sijui kwann Zele anakua hawezi kulingamua Hilo kwamba wenzie hawamsaport kushinda Vita Bali wanamfanya safisha ghala tu.
 
Kama haya unayoongea ni kweli ni kwanini nchi yetu ilikataa kulaani uvamizi wa Ukraine? Au unataka kutuambia wewe unajua historia kuliko rais na serikali yake?
 
Hiki kichekesho kinapatikana wapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]hivi unamjua nyerere na siasa zake zilikuwa zina shikamana na nchi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…