Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hayo ni kweli kweli tupu ilaha ukae ukijua kila zama ina kitabu chake!
Hakunaga mambo ya kila zama na kitabu chale kwenye issue kama hizi!! Unajua mchango wa Urusi/USSR kwenye ukombozi wa africa? Yaani wakati hao mabeberu (unao wasifia humu) wakiwachapa fimbo babu zako unajua Urusi alikua na mchango upi katika kuwakomboa?

Siku ukiwa na akili ya kujua hili ndio utajua kwanini Tz na mataifa ya afrika yamekataa mikwara ya west na kukataa kulaani vita ukraine!!
 
Mkuu unafaamu chochote kuhusu Mkataba wa MINSK 1 and 2?
 
Vumilia mkuu, I'm here to stay.., inaonyesha unaumia sana na umeshindwa kuvumilia mpaka ukaamua kunikwot [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
US anazihitaji NATO countries ili asisumbuke kuomba vibali kwenye mission.
Anataka nchi nyingi zijiunge ili aweze contain maadui zake China na Russia na ndio maana huoni akisumbuka na Brazil
 
View attachment 2498374
Kiongozi jisomee mwenyewe hapo juu.. kwamba hao West wenyewe wanatoa misaada ya silaha kwa Ukraine lakini wanaogopa WW III kwa technology za kisasa.. itakuwa ni hatari sana haswa kwa nchi za Ulaya..


Hayo maneno ya Schols ni maneno ya mtu aliyevimbewa pombe (whisky), anadai hataki kuona vita iki escalate huko anampatia Ukraine Silaha !!!, njia ya busara wangemuachia mrusi majimbo aliyoyateka basi halafu wakawekeana mikataba mipya ya usalama hiyo ndio njia ya busara, lakini kwa hatua hizi zinazochukuliwa na NATO kumpa silaha Ukraine ni sawa na ku escalate vita kwani mrusi kimsingi yupo peke yake akipigana kwa pamoja na US na NATO.

Itafika mahali ambapo Russia ataishiwa silaha na yeye kamwe anadai kushindwa kwake ni kifo chake hivyo hawezi kukubali kushindwa ili afe na US na NATO hawatakubali Russia ashinde hiyo vita--- kinachofuatia ni nini??, ni WWW III.
 
Let ushahidi urusi kufuta adhabu Kwa mashoga
Mkuu jambo hili limeshajadiliwa mara nyingi.
In December 1917, after the October Revolution, the Russian Soviet Republic (later the Russian SFSR) decriminalised homosexuality.[10] The decriminalisation was confirmed in the Russian SFSR Penal Code of 1922, and following its redrafting in 1926. However, in 1933, the Soviet Union under Joseph Stalin recriminalised sex between men. Article 121 was added to the criminal code on 7 March 1934 for the entire Soviet Union that expressly prohibited only male homosexuality, with up to five years of hard labour in prison. There were no criminal statutes regarding sex between women.

During the Soviet regime, Western observers believed that between 800 and 1,000 men were imprisoned each year under Article 121.[11] After the dissolution of the Soviet Union, homosexuality acts between consenting males were re-legalised in 1993, removing Article 121 from the RSFSR penal code.[1]

Marejeo unapata kwenye namba.
Ukipenda kupinga, ni rahisi: onyesha kifungu cha Sheria za Jinai za Urusi zinazoharamisha ushoga. Karibu!
 
Supa-pawa kashindwa kabisa kuvimaliza Vita kwa ushindi ndani ya mwaka mmoja......... angekuwa anapigana na NATO huyu Supa-pawa wa mchongo tungeshamsahau kitambo kama aliwahi kuwepo.
Supapawa na washirika wake,mwaka unaisha hawajakomboa hata mkoa mmoja kati ya minne.

Kabla hawajapeleka silaha mkoa mmoja ulienda,walipopeleka silaha mikoa minne ikapotea.
 
[emoji3][emoji3][emoji3]hizo Akili si adi ziwepo ndo zitumike kama hamna je atatumia nin
 
Niliposoma tu paraghraph ya kwanza...nikaacha hapohapo...maana hujui vitu vingi.Yaani umeshindwa kujua matokeo ya vita vya Vietnam wakati maandiko yako mengi ndo uweze kuchambua kinachoendelea Ukraine??

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…