Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sijui Moscow Times wamepata data wapi ???

The World Bank has improved its 2022 Russian GDP outlook and now expects a drop of 4.5% instead of the 8.9% that it was forecasting in June. The Russian economy might fall 3.6% in 2023 instead of 2% and grow 1.6% in 2024, less than the previous forecast of 2.2%, the World Bank said in its latest Europe and Central Asia Economic Update on October 5.

Russia's Economic Development Ministry forecasts the country's GDP to contract 2.9% in 2022 and 0.8% in 2023, and to grow 2.6% in both 2024 and 2025.

The Central Bank of Russia's current forecast, unveiled in July, is for a 4-6% decline in 2022 and a drop of 1-4% in 2023 but growth of 1.5%-2.5% in 2024. The forecast will probably be updated and improved at the next meeting of the CBR board of directors on October 28.
 
Daaah kweli we jamaa uko unawaza kivyako!Inamaana hujaona video niliyokuwekea ya majaribio ya space x ya kudaka hizo boosters Ili zije kuwa reused???Aisee
Tuko pamoja kwamba booster kadhaa zilichukuliwa kutoka baharini. Ila kweli kwa matumizi tena au kwa uchunguzi? Lini, mwaka gani, wapi?

Maana kama kweli ilikuwa ya Space-X ni mfano kinyume chako. SPace X walitaka kutumia booster, walifanya majaribio, waliacha kwenye Falcon. Hawatumii tena. Kwa SPACESHIP wanapanga tofauti wako kwenye majaribio tayari.

Kama huna mfano tofauti na Space-X - huna mfano.
 
Ka kampuni ka ulinzi kanapigana na NATO,kanachukua maeneo.

Hivi Urusi yenyewe ingeingia ingekuaje?
Urusi haingizi her regular soldiers for a good reason - wanafanya hivyo makusudi ili waje kutumiwa in case NATO/US wakihamua kujiingiza vitani moja kwa moja - wanaopigana huko Ukraine kusini ni wanamgambo ethnic Ukranian Russian from eastern Regions of Ukraine.
 
Teknolojia ya kale inayofanya kazi vizuri.
Je Kuna teknolojia ya kisasa inayofanya vizuri zaidi ya Soyuz?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Hawa masela WAGNER yani utafikili malaika mtoa roho ni msela wao kwahiyo wanamsaidia kazi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


Uraaaaaa πŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί WAGNER
 
Mig ni kampuni ya Warusi.kwa iyo ukishajua ilo uwezi ukaumiza kichwa.Israel katengeneza F-35 kwake.kwa iyo F-35 tutasema zipo mbili.

F-35 ya Marekani na F-35 ya Israel[emoji23][emoji23][emoji23]
Mfano wako tofauti kabisa.
F 35 za Israel zimefanyiwa modernization kwenye avionics nk but ni American made wakati j7 Ni version ya mig 21 inayotengenezwa na mchina.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Wimbo wa USHINDI HUU......πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯ nakupenda urusi inchi yangu...


Hakika siku itafika kila mtu atakula na kusaza bila hofu ya Dunia..

PUTIN jina linaendana na MTU mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…