Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Alisikika Kilaza mmoja Toka Kibera AkisemaHehehe kwa kweli mnateseka, hivi mnajua siku za karibuni Urusi itaishiwa wanaume hadi mtakwenda kuwasaidia kwenye kuzaliana.
Acha kujizima Data zelensky anachukua mpaka vichaa kuwapeleka uwanja wa vita wanaume wa Ukrein sasa wanavaa mawigi wakiogopa kubebwaHehehe kwa kweli mnateseka, hivi mnajua siku za karibuni Urusi itaishiwa wanaume hadi mtakwenda kuwasaidia kwenye kuzaliana.
Wengine huja na urupukaji ati aonekane ana comment. Mim hucheka tu maana anachojibu hata hakieleweki na content ya alichoqoute.-lete majibu tuone Kama unaelewa unachoandika hapa, au na wewe huna majibu?!.
Pongezi kwako wewe unaye mpenda inaelekea kwa njinsi anavyo kuvutia lazima umesha dindisha na kumpigia punyeto unawaza namna anavyo kukatikia huku kavaa shangaKuna watu hapa JF hampendi huyu ddogo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vipi kuhusu Gitmo?The United Nations define an act of aggression as the “invasion or attack by the armed forces of a state [on] the territory of another state, or any military occupation”.
UN
Sasa huyo kiumbe mwenyewe anaitwa PAPA ni kitumbua ni tusi toshaWaislamu waoga wa kujadili hoja pinzani!!!!Wanachojua ni kumtukana papa na kutukana wakristo!!!Labda Gavana ndie tunaweza kujadiliana kwa hoja!!!!Wewe unachojua ni matusi na kutafuta huruma ya umma!!!Sawa mdogo wangu
Alisikika Kilaza mmoja Toka Kibera Akisema
Acha kujizima Data zelensky anachukua mpaka vichaa kuwapeleka uwanja wa vita wanaume wa Ukrein sasa wanavaa mawigi wakiogopa kubebwa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Siyo kuangamizwa tu bali zimesha pofushwa macho zinapiga off target....mrusi mtu m badi ...mrussi kaunda kifaa chenye mawimbi ya kijeshi ambacho himars zinarusha makombora kuelekea kwenye icho kifaa bosheniHivi si tuliambiwa humu kwamba HIMARS zimeshaangamizwa na makombora ya Urusi? Uongo utaendelea kujulikana.
Unacho kiandika unakielewa kweli?Ukraine wapo kwao, Warusi wamekwenda kufia nchi ya watu hawana hata fursa ya mizoga yao kurudishwa ikazikwe nyumbani...
Huko Bakhmut sasa moto umekolea katikati ya mji.View attachment 2504539
Ebu tuwekee source za information zako maana unakuwa kama unaleta story za kwenye kahawa hapa. No research,no right to speak! Have a big picture not just talking just because you have a tongueSisi tubaki na ushabiki lakini ukweli ni kuwa wenye hii vita Urusi anaumia lakini hawezi kuachia kuepuka aibu,Ukraine anaumia lakini Kila akikumbuka alipoteza Cremia 2014 anaona mdogo mdogo atamezwa na Urusi.Ugomvi wa Urusi na Ukraine ulianza Toka 2005 pale waukraine walipoanza kutaka kuwa karibu na ulaya magharibi na kuachana na sera za Urusi.
Kwa wenye kumbukumbu baada ya Victor Yanukovyic aliyeluwa Rais wa Ukraine kujiuzulu kwa maandamano na kukimbilia kwa mshirika wake Putin ,nafasi yake kuchukuliwa na Petro Putin alianza kuona anasalitiwa na Ukraine, matokeo yake yakawa 2014 uvamizi wa Cremia.
Zelensiky anaingia anawakuta waukraine wanaotaka kujiunga EU na NATO Hana option zaidi kuitisha referendum watu wa Ukraine wanaamua kujiunga na EU.Putin anakasirika matokeo ni 2022 Russo-Ukrain