Raia wa moldovia wanataka inchi yao ivamiwe na urusi ili wapate unafuu wa maisha
Yaani mwaka huu una mamboView attachment 2523779
Nikikuita mpumbavu nitakuwa nimekosea? Maana inaonekana una utahaila+ uzuzu+ujuha [emoji848]aisee ww jamaa ni kichwa maji...hadi unaboa..., yaani hata kama hukwenda Shule...ila si kwa upopoma huu...daaah!!!
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Anaenda kushuhudia kipigo kinachoendelea?
Mzee wa nyeto upoSuperpower uchwara na wachuuzi wa gesi baada ya Biden kufanya ziara UkraineView attachment 2524070
Wewe kumbe ni hamnazo kabisa, hata Putin alivyoenda kutembelea lile daraja lazima Biden alifaham na aliwaonya Ukraine wasijaribu kufanya ujinga.Watu wa hivyo hupaswi wajibi kotu unawaacha na imani yao
Mwamba ndani ya Kiev View attachment 2523977
Karuhusiwa awe Kyiv kwa dakika 45 tu.Mbona ameenda kimya kimya bila kutangaza. Kaenda kucheki biashara inaendelea je😂😂😂
Tahaila kama wewe unanipotezea muda wangu kukujibu..,Bora uendelee na biashara yako ya kuuza nyapuaisee ww jamaa ni kichwa maji...hadi unaboa..., yaani hata kama hukwenda Shule...ila si kwa upopoma huu...daaah!!!
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Tahaila kama wewe unanipotezea muda wangu kukujibu..,Bora uendelee na biashara yako ya kuuza nyapuaisee ww jamaa ni kichwa maji...hadi unaboa..., yaani hata kama hukwenda Shule...ila si kwa upopoma huu...daaah!!!
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Wengi wa pro NATO hawafahamu namna diplomasia ya kimataifa ifanyavyo kazi.Wewe kumbe ni hamnazo kabisa, hata Putin alivyoenda kutembelea lile daraja lazima Biden alifaham na aliwaonya Ukraine wasijaribu kufanya ujinga.
Akienda unannounced halafu Urusi wakapiga tukio si WW3 hiyo?
Mimi na wewe ndo labda hatufahamu
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Super pawer wa kwenye makaratasi alipiga mkwara mzito kwamba ataisaidia utawala wa Kyiv atakiona Cha moto..,Cha ajabu watu hawakuishia kusaidia tu,wamepiga mpaka selfie [emoji1702][emoji1702][emoji1702] kwenye viunga vya mji wa Kyiv [emoji56][emoji28][emoji1787][emoji2]Suprise gan wakat Taarfa zimefka kabla ata ya yeye ajafk
Kweli urusi Kawa na adabu[emoji2][emoji1787] USA kamnyoosha .., mpaka amempa uwanja bwana mkubwa kwa heshima na tahadhima Ili afanye mambo yake kisha aondoke salama salimini[emoji2][emoji28]Karuhusiwa awe Kyiv kwa dakika 45 tu.
Na nasikia imewekwa count down huko Uruso sijui wanataka kufanya nini hata..Atakua kaingiza siraha huyu mzee mana walishabanwa njia zote
Urusi ni joka la kibisa tu,Hana jipya Tena, wanaume wameshamwona mdebwedo [emoji28][emoji1787][emoji2]Na nasikia imewekwa count down huko Uruso sijui wanataka kufanya nini hata..
Mtaongea lugha zote lakini haitafuta ukweli kwamba Kwa mara nyingine Tena super pawer wa kwenye makaratasi kapigwa na kitu kizito[emoji28][emoji1787][emoji2]Blog original ya Kiv imeandika kuwa USA Waliwasiliana na Russia kabla ya ziara ya Biden Kiv .
#Сплетни
The Associated Press (AP) has confirmed the gossip we previously published .
Before Biden's trip to Kyiv, the United States contacted Russia to rule out miscalculations that could lead to a confrontation between the two nuclear powers.
Mwambieni aende na Bakmut akakague jeshi lililoko frontline kuleKuelekea maadhimisho ya mwaka mmoja wa Uvamizi wa Urusi nchini Ukraine - Mwamba kakanyanga Kyiv BILA WASIWASI WOWOTE...