Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kyiv ingetekwa mwaka jana na ile convoy huenda POTUS asingetua Ukraine.

Ukraine walipambana kiume sana kuzuia mji mkuu kutekwa.
Uliambiwa wltaka kuiteka kyiev?
Ulishaona wapi mtu anaenda kuteka mji Mkuu wakati miji iliyoizunguka bado haijaanguka?
Hata Marekani TU na maguvu yake kwa jinsi mnavyoisema haikuweza kuiteka Kabul siku ya kwanza licha ya kua na uwezo wa kijeshi mara 1000000 dhidi ya Watalaban.
Wala Baghdad mara 100000 dhidi ya Iraq.
Wala NATO kuiteka Belgrade dhidi ya Yugoslavia iliyoizidi mara 10000.
Wewe hukujua plan ya vita ya Urusi,wala Mimi wala NATO.
 
Kwa hiyo ile convoy na ile airborne landing zilikuwa ziara za kitalii ?
 
Unataka kutuaminisha kwamba huko Kyiv Russia alikwenda kupiga selfie, [emoji1702][emoji1702][emoji1702] sio??
 
Hii ni kawaida kabisa na ndo inavofanyika. Asingeweza kwenda kimya kimya bila kuwataarifu Russia kwa sababu hujui what if station unayotegemea kushukia ndo ilikuwa target ya makombora ya Urusi kwa siku hiyo?
 

Mzee pitia pitia news mbona Putin hakuwa na plan ya kumalizana na Zelensky na hilo aliweka wazi PM wa Israel
 
Mzee hapa umemaliza kazi.....Ugomvi wa Urusi na US Ukraine asingejiingiza huko...angekuwa safe....

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Duh ila we jamaa sometimes unajua vitu hadi vinakuchanganya mwenyewe. Yaani Urusi wamtake Zelensky washindwe kumuua! Hawako interested nae au muda haujafika tu ila Urusi hawezi kushindwa kumuua Zele ikilazimika hivo.
Na zelensiky akitaka kichwa Cha fashisti Putin analetewa chapchap tu,sema tu zelensiky Hana hiyo Nia,lengo lake ni kukomboa ardhi yake tu!!
 
[emoji298][emoji298][emoji1255] Russia opposition figure and political prisoner oleksy narvany published 15 principle of his political platform, where he Noted that the border of Ukraine where designated 1991, and that Russia must recognize them [emoji298][emoji298]
 
[emoji298][emoji1255][emoji298][emoji298]US president joe Biden has said that the ukranian capital has captured a part of his heart and that he is glad to return to Kyiv [emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255]
 
Na kukaa kwenye meza ndefu kama uwanja nayo ni protocol? Sasa hapa alikuwa anafanya kikao gani si angewapigia simuView attachment 2524120


Uhalisia wa picha ni Huo hapo juu!Tatizo lenu mmezidi propaganda za uongo!Walau ungeweka meza halisi na sio hiyo ya kuedit!
Ukiangalia picha uliyoweka inaonekana kabisa eneo ambalo meza imerefushwa Kwa editing maana inaonekana ilipopinda!

Mnakosa credibility jukwaani Kwa sababu kama hizi!
 
Hii estonia ina ukubwa gani
 
[emoji1255][emoji631][emoji1255][emoji631] under clear blue skies, president joe Biden walked into downtown Kyiv with president volodymyl zelensiky of Ukraine just as an air raid alarm wailed

Biden said he was in Kyiv on surprised visit to discuss additional US support to Ukraine [emoji1255][emoji631][emoji1255][emoji631]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…