kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Ujinga mzigoKwamba Marekani iwaambie leo tunasafirisha silaha msilipue
Leo Rais anaenda Kyiv msilipue
Hebu taja basi hata ukombozi mmoja tu wa miji au vijiji walioufanya wanajeshi wa ukraine basi sio kubwaBwaja tu hapaKipigo kinaendelea [emoji91][emoji1255][emoji1255][emoji123]
[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298] over the past day Ukraine's air force launched 20 strikes on enemy personnel and military equipment clusters.seven strikes on enemy's ant aircraft missiles system, and two more on other important objects [emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255]
Ngoja nijaribu kukujibu na wengine wataongezea au watarekebisha inaweza ikawa ndefu kidogo.Kwanini Urusi wanamruhusu mtu anyewapa silaha adui yao anatua na kuondoka hapo salama ?
Naona twaenda mbele na twarudi nyuma.Kwanini Urusi wanamruhusu mtu anyewapa silaha adui yao anatua na kuondoka hapo salama ?
Hao wanaelewa ila waleta mizaha.Ngoja nijaribu kukujibu na wengine wataongezea au watarekebisha inaweza ikawa ndefu kidogo.
Haya twende kazi;
Kuna kitu kinaitwa Protection of Diplomats Convention (formally, the Convention on the Prevention and Punishment of Crimes Against Internationally Protected Persons, Including Diplomatic Agents). Hii ni United Nations (UN) anti-terrorism treaty ambayo imeelezea principles za kulinda diplomats hususani wanapokua nchi nyingine.
Convention hiyo ilianza kwa kukumbushia:
"Considering that crimes against diplomatic agents and other internationally protected persons jeopardizing the safety of these persons create a serious threat to the maintenance of normal international relations which are necessary for cooperation among States"
Convention hiyo iliunda terminology inayoenda kwa jina la "Internationally protected persons" ambao ime include heads of state, heads of government, foreign ministers, ambassadors, other official diplomats, and members of their families. Na lengo lake likiwa ku criminalize matukio kama mauaji, utekaji au vurugu kwa "internationally protected persons" wakiwa kwenye their official premises, private accomodations au hata vyombo vya usafiri watakavyokua wanavitumia.
Convention hiyo imesainiwa na 180 United Nations member states, including Russia na nadhani ilianza kutumika mwaka 1973.
Sijajua kwa nini Pro west leo wengi wanashangilia Biden kwenye Kyiv kwa sababu Ukiacha na Biden kwenda, wapo viongozi wa nchi mbalimbali ambao wameshaenda Ukraine baada ya vita, tena nchi zao zimepeleka misaada ya kijeshi kwa Ukraine kama ambavyo US imepeleka, na hawajawahi kuguswa na wakatoka salama wakaacha SMO ikiendelea kama kawaida, mfano:
Anthony Albanese- Australia July 3, 2022
Justin Trudeau- canada May 8, 2022
Petr Fiala-Czech republic March 15, 2022
Sanna Marin (PM)- Finland May 26, 2022
Sauli Niinistö(pres)- Finland January 24, 2023
Emmanuel Macron- France June 16, 2022
Olaf Scholz- Germany June 16, 2022
Mario Draghi - Italy June 16, 2022
Andrzej Duda- Poland May 22, 2022
Klaus Iohannis- Romania June 16, 2022
Boris Johnson- UK April 9, 2022 & June 17, 2022
Rishi Sunak -UK - November 19, 2022
Convention hiyo ya UN inawalinda hao Diplomats kisheria na hawawezi kuwa attacked, achilia mbali Biden, hata angeenda Samuel Ruto wa Kenya tu hapo, Angepewa ulinzi mpaka anaondoka bila kuguswa kwa sababu na yeye ni head wa state analindwa na hiyo UN convention.
Russia ni mojawapo ya nchi ambazo zimesaini hiyo treaty na na kwa mantiki hiyo haiwezi kwenda kinyume kwa kuanza kuwashambulia hao diplomats.
Biden kutumia treni kwenda Kyiv inawezekana ikawa kwa protocol zao za kiusalama hususani SMO ikiwa inaendelea ila sio kwamba usafiri wa treni una mask yeye kutoonekana kwenye picha za satellite za Russia wakati anaingia Ukraine.
Kwa mrusi ana shida na biden mpaka arushe mabomuNgoja tuone kama urusi atarusha mabomu kwa mtesi wake namba Moja huko Kyiv [emoji28][emoji28]
Sio kila ziara zinatangazwa tu nyingine ni siri jiongeze mdauWangekuwa wanakwenda kwa ruhusa ya Russia hizo ziara zingekuwa zinatangazwa,acha kupotosha!
Kwa hiyo hii ndo imerudisha zile asilimia ishirini za ardhi ya Ukraine zilizochukuliwa na Russian si ndio Kirat!!Hiki hapa kilichowadodokea na kuwaacha pro Russia wote midomo wazi [emoji28][emoji23][emoji1787][emoji16]View attachment 2524193
MzaramoHayo ni mambo ya kidiplomasia we kirat, mbona unapenda kujitoa ufaham!! Kwani wewe hujaona/kusikia nchi mbili zinapigana vita au makundi mawili hasa hapa kwetu Africa lkn viongozi hukutana kujadili wakati huo huo vita inaendelea, ikiwa hivyo ndivyo kwanini wasipigane risasi hapo wanapokutana kwenye hivyo vikao,, yani we jamaa sijui hata ni kabila gani🤔 unajadili vita hujui hata mambo ya kidiplomasia.
Wa mzenga kijiji kimoja kinaitwa zegeloMzaramo
Uongo.US informed Russia of Joe Biden’s Kyiv visit hours before departure
Details emerge of how White House planned ‘unprecedented’ visit and meeting with Volodymyr Zelenskiyywww.theguardian.com
Sawa, orodha hii hapa[emoji116][emoji116][emoji116]Hebu taja basi hata ukombozi mmoja tu wa miji au vijiji walioufanya wanajeshi wa ukraine basi sio kubwaBwaja tu hapa
Mnajitahidi kweli kuficha hii aibu iliyowapata Leo, lakini ni bahati mbaya sana kwamba imeshaingia hiyo,kuitoa ni ngumu kweli [emoji2][emoji1787][emoji16]Ngoja nijaribu kukujibu na wengine wataongezea au watarekebisha inaweza ikawa ndefu kidogo.
Haya twende kazi;
Kuna kitu kinaitwa Protection of Diplomats Convention (formally, the Convention on the Prevention and Punishment of Crimes Against Internationally Protected Persons, Including Diplomatic Agents). Hii ni United Nations (UN) anti-terrorism treaty ambayo imeelezea principles za kulinda diplomats hususani wanapokua nchi nyingine.
Convention hiyo ilianza kwa kukumbushia:
"Considering that crimes against diplomatic agents and other internationally protected persons jeopardizing the safety of these persons create a serious threat to the maintenance of normal international relations which are necessary for cooperation among States"
Convention hiyo iliunda terminology inayoenda kwa jina la "Internationally protected persons" ambao ime include heads of state, heads of government, foreign ministers, ambassadors, other official diplomats, and members of their families. Na lengo lake likiwa ku criminalize matukio kama mauaji, utekaji au vurugu kwa "internationally protected persons" wakiwa kwenye their official premises, private accomodations au hata vyombo vya usafiri watakavyokua wanavitumia.
Convention hiyo imesainiwa na 180 United Nations member states, including Russia na nadhani ilianza kutumika mwaka 1973.
Sijajua kwa nini Pro west leo wengi wanashangilia Biden kwenye Kyiv kwa sababu Ukiacha na Biden kwenda, wapo viongozi wa nchi mbalimbali ambao wameshaenda Ukraine baada ya vita, tena nchi zao zimepeleka misaada ya kijeshi kwa Ukraine kama ambavyo US imepeleka, na hawajawahi kuguswa na wakatoka salama wakaacha SMO ikiendelea kama kawaida, mfano:
Anthony Albanese- Australia July 3, 2022
Justin Trudeau- canada May 8, 2022
Petr Fiala-Czech republic March 15, 2022
Sanna Marin (PM)- Finland May 26, 2022
Sauli Niinistö(pres)- Finland January 24, 2023
Emmanuel Macron- France June 16, 2022
Olaf Scholz- Germany June 16, 2022
Mario Draghi - Italy June 16, 2022
Andrzej Duda- Poland May 22, 2022
Klaus Iohannis- Romania June 16, 2022
Boris Johnson- UK April 9, 2022 & June 17, 2022
Rishi Sunak -UK - November 19, 2022
Convention hiyo ya UN inawalinda hao Diplomats kisheria na hawawezi kuwa attacked, achilia mbali Biden, hata angeenda Samuel Ruto wa Kenya tu hapo, Angepewa ulinzi mpaka anaondoka bila kuguswa kwa sababu na yeye ni head wa state analindwa na hiyo UN convention.
Russia ni mojawapo ya nchi ambazo zimesaini hiyo treaty na na kwa mantiki hiyo haiwezi kwenda kinyume kwa kuanza kuwashambulia hao diplomats.
Biden kutumia treni kwenda Kyiv inawezekana ikawa kwa protocol zao za kiusalama hususani SMO ikiwa inaendelea ila sio kwamba usafiri wa treni una mask yeye kutoonekana kwenye picha za satellite za Russia wakati anaingia Ukraine.
Mkuu nilikuwa sijakuelewa huyu jamaa sio mzaramo mimi ndio mzaramo,,,, huyu atakuwa ni muha mana waha ni wabishi balaaMzaramo
Aibu gani imetokea leo?Mnajitahidi kweli kuficha hii aibu iliyowapata Leo, lakini ni bahati mbaya sana kwamba imeshaingia hiyo,kuitoa ni ngumu kweli [emoji2][emoji1787][emoji16]