Si kila Jambo tuige boss!TISS wajifunze, PSU wanamganda sana Rais hata kupumua anashindwa.
Biden kaenda nchi ya vita ila hatujaona walinzi wakikaa nyuma yake na mabunduki makubwa
HAAALabda wanasonga mbele hapa jukwaani..,huko battle front ni mwendo wa kichapo tu Kwa majeshi ya fashisti [emoji848]
Putin ni mtumishi wa Mungu.Asante Mungu kwa kutupatia Rais Putin
Rais wa dunia.. Kiboko ya machoko wa duniani na JamiiForums!!
Hata Biden Jana alienda wataenda wote Ila kipigo kipo palepale.[emoji1255][emoji1255][emoji298][emoji298] Italian prime minister Giorgia melon arrived in Kyiv on Tuesday on her first visit to Ukraine [emoji1255][emoji1255][emoji298][emoji298]
Umemuona fashisti wenu Leo alivyotoa hotuba ya kinyonge??[emoji28][emoji2][emoji1787]Hata Biden Jana alienda wataenda wote Ila kipigo kipo palepale.
Mkuu hayo Ni Mambo ya kijasusi . Kwa fikra zako za kushindana Nani Yuko free zaidi kutembea ugenini ama nyumbani Kati ya Leutenant colonel Putin na Joe Biden we ishu hii umeifanya ya kejeli na mashindano humu but kijasusi hata Bongo, aghalabu wengi ya watu wa kawaida huko wilayani, mikoani no ambao hukutana na kusalimia a na Rais Kama Raia was kawaida huwa Ni majasusi kwa kazi maalum ya kuhakikisha usalama Rais.Huyo ni Biden akiwa nchi ya kigeni. Sasa Putin akiwa nchini kwake mwenyewe anaogopa sembuse aende kwenye vitaView attachment 2524107View attachment 2524108View attachment 2524109View attachment 2524110
Hapa ndio penyewe sasa...."The more long-range systems will arrive in Ukraine, the further we will push the boundaries of the operation." — Putin
Kwani Mmarekani alishapigana vita miaka ya karibuni??Mtazamo wako ni mzuri sana na uko sahihi, ila mwaka jana mimi niliandika humu kwamba Russia itapoteza wateja wa silaha kutokana na sanctions Warusi wakabisha. Niliandika ilipoanza Egypt kusitisha, ikaja nchi nyingine sikumbuki kama ni Indonesia au nani jirani yake, ikaja India kwenye deal la helicopters mwaka jana huohuo, ikaja India Airforce kwenye fighters ikachukua Rafales ikaachana na additional Russian jets probably Sukhoi 30 MKI ilizonazo.
Hata January hii Indian Navy ilinunua Rafales kwa ajili ya carriersView attachment 2525111
Inazo Russian Mig 29K ila haikuzitaka. Na hapo kwa Serbia ulivyosema kama Russia inaanza vita (wanayoita operation) kisha wanashindwa kufanya services ya silaha walizouza kwa wateja basi hao hawako serious. Hutokaa usikie eti Marekani imeshindwa kufanyia service ndege za washirika kisa imevamia wapi sijui. Na hii vita sio ya kufanya nchi inayojigamba ina nguvu kushindwa service ya ndege za wateja, mbona air warfare ni ndogo.
India, China, Egypt ndio wateja wakubwa wa ndege za Russia na hawanunui uko tena. Algeria sijui
Yaani mambo hayo yanatufanya tujue kwann tulisomama na watu waelevu.Hapa ndio penyewe sasa....
Hizo Ni ishu za kidiplomasia brKwanini Urusi wanamruhusu mtu anyewapa silaha adui yao anatua na kuondoka hapo salama ?